Mpo wana MMU.
Sikujua kama moja ya mambo wasiyoyapenda wanawake ni kuwa na Chogo, siku ya tatu leo amenipiga Pini kisa kumwambia anachogo, ni Mdada Pisi yakwenda, sikujua akinyoa kichwa chake ndio kipo vile.
Sikumsema kwa nia mbaya, nilikuwa namtania huku nikicheka, kumbe Manzi kamaindi...