Habari wana JF. Mimi ni ME wa humu JF. Tatizo langu kubwa, nimepoteza hamu kabisa ya watoto wa kike. Ninapokuwa karibu yao ndo napata muwashawasha wa kuwa nao kwenye sita kwa sita. Ila ninapowapa mgongo, habari zao kwisha
Sijiskii kabisa kuwa kwenye mahusiano, na si hivyo tu, bali hata...