Tuendelee kuwekana wazi Wazazi walezi na vijana. Miaka michache nyuma ilikuwa kwenda kusoma chuo ni kama "Geti" la mwisho kuingia ktk ajira za serikali. Ilikuwa ukimaliza Certificate Diploma au Degree haizidi miaka 2 unapata ajira serikalini na hata ktk taasisi na makampuni binafsi.
Nakumbuka...
Wanasimba niwaibie tu Siri licha ya Mo kutapa kuwa anataka ubingwa wa Africa ili jamaa ni bahili balaa.
Misimu uliopita alileta ubahili akaleta wachezaji wa bei chee tukachemka, msimu huu yatajirudia yaleyale, ukiwatizama viongozi wetu unawaona kama wapo serious vile kumbe hawana lolote.
Kwa...
Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Watoto (UNICEF) limeripoti kuwa vita inayoendelea Nchini Ukraine imekuwa na madhara makubwa kwa watoto, ambapo wengi wao wanahitaji msaada wa kisaikolojia.
Watoto zaidi ya milioni moja wa Ukraine kwa muda wa miezi miwili wamekuwa katika mateso kutokana...
Nasalimia kwa adabu zote stahiki. Bahati mbaya kiswahili chetu hakijawa na salama "universal" na mjadala wa "shikamoo" hatujawai kuufunga!
Ila bado napigia chapuo...salaam aleikhum!
Humu JF ni familia. Tunawekana sawa kila mtu na karama yake, elimu, maarifa na ujuzi!
Hoja yangu ni huyu binti...
Ikitokea Simba SC yangu ikashinda au hata tu kutoka Sare / Suluhu na RS Berkane Keshokutwa ( Jumamosi ) nitakuwa ni mwenye Furaha Kubwa kwani Lengo letu Kuu litakuwa limetimia hasa kwa Mechi za Ugenini ( Away )
Hata hivyo nisiwe Mnafiki au Muongo kwa wale Wabobezi wa Communication Psychology na...
Job Ndugai alitoa sintofahamu yake kuhusu mkopo na tozo Kwa pamoja Kwa ajili ya utatuzi wa Jambo Hilo Hilo moja kinyume na mpango kazi wa awali, ambao ulibainisha tozo ndio zibebe huo mzigo badala ya kukopa kopa.
Alikuwa sahihi kabisa kikatiba, hata hvyo hoja yake imeleta matokeo ya kushangaza...
Takwimu za Asec mimosa ligi kuu
mechi 7 win 7 point 21 na wanaongoza ligi
Huku upande wa simba mambo yako hivi.
Morrison
Lwanga- injury
Chama
Mugalu
kibu denis- injury
Hawa ni wachezaji watakao kosekana mechi ya shirikisho zidi ya Asec mimosa.
Mimi ni yanga damu ila Kusema kweli simba hawatoboi
Kuna dada mzuri nikisema mzuri ni mzuri kweli. Aliolewa na mume mwenye kipato cha kawaida na waliishi maisha ya kawaida. Nikimaanisha hakutumia usafiri wa wote mume wake alimnunulia gari, shopping ya nguo za kazini akifanyiwa. Kwakua alikua mzuri alipendeza sana.
Sasa kuna mazee mafisi...
'Mwanangu usiwe na matarijio makubwa utakayoshindwa kuyatimiza na kuumuza moyo wako', ni nukuu ya maneno kutoka kwa wazazi wangu wakinisihi juu ya jambo. Ingali kauli hiyo ilitolea zamani sana lakini bado naikumbuka mpaka kesho I we usingizin au penginepo. Kutokana na usia huo naweza kusema Mimi...
Inasikitisha sana sijui ni kwanini hata nimejikuta nimekwisha tumbukia kwenye ulevi wa kutisha kwa hali niliyofikia ni hatari kwani nakunywa pombe karibu kila siku bila ya kupumzika.
Nimeshakunywa za kienyeji karibu zote, pombe kali zote na kwa sasa nimezamia kwenye bia yaani speed yangu kwa...
"Haiwezekani Mtu unasali Kuanzia Saa 12 asubuhi hadi Saa 12 Jioni au hata kwa Masaa 8 mfululizo ukawa Salama Kichwani mwako.
Napenda mno Ratiba za Ibada za Waislamu na hata Madhehebu mengine ya Kikristo ambapo zimepangiliwa kabisa muda na hauzidi dakika 45 mpaoa dakika 90 au 120 tu na hazizidi...
Jana wakati fulani nilimwona PM Majaliwa akishuka kwenye gari huku uso wake kwa hakika ukionyesha ni mtu mwenye mawazo.
Huenda PM ana stress zake binafsi.
Lakini mimi kama mtu mzima nahisi ndugu yangu yule hayupo sawa tena sana!
Tumwombee.
Joto ni moja ya kichocheo kikubwa sana kinachoweza kuharibu mfumo wa kufikiri.
Wataalam wa saikolojia wanathibitisha kupokea migogoro mingi sana ya ndoa kipindi cha joto Kali la hali ya hewa!
Ukiachilia mbali wanasaikolojia!
Taarifa za kipolisi zinaeleza matukio mengi ya kikatili huongezeka...
Nyoka kikawaida ni muoga sana, anatumia mbinu rahisi sana kujilinda yaani kukimbilia kichakani, akiamini kwamba yupo sehemu salama na akifuatwa na adui atatumia werevu wake kumshambulia adui.
Katika mchakato wa kuua nyoka kichakani muuaji pia anatakiwa mbinu ya kuchoka kichaka ili hata wadudu...
Nasema hivo kutokana na ukweli kuwa chama cha mapinduzi 2015 wananchi walikuwa wameshakikataa kwa kuchoshwa na rushwa iliyokithiri ya utawala wa kipindi hicho!Ujio wa Magufuli ambaye tayari alikuwa ameshajipambanua kwa wananchi kwa uchapakazi wake kuliwafanya baadhi ya watanzania kurudisha moto...
Hapa nilipo nchini Somalia katika Mji maarufu wa Hargeisa kuna Mwanasiasa Mmoja maarufu aitwae Mahmoud Salim kaenda Jela miaka mingi tu ila kuna mwingine nae pia ni maarufu na Kipenzi cha wengi aitwae Tariq Masoud muda wowote anaenda Jela.
Bahati nzuri wote hawa ni Marafiki zangu wakubwa Mimi...
Tukijaribu kukumbuka jinsi alivypendwa kuabudiwa, kutisha watu, kuzusha uongo mfano mabeberu sio watu wazuri kumbe wamemfungia betri ili aweze kuishi, uongo kuponda serikali zilizopita wakati hata yeye alikuwa sehemu ya serikali tangu 1995.
Uongo kuwa alilishwa sumu akiwa waziri wakati yeye...
Najua hamuamini hili refa anaingia uwanjani na redi kadi yenu kapewa maagizo wapi sijui
Ushauri
1) Wachezaji mjitahidi sana kushinda magoli mengi kipindi cha kwanza
2) Wachezaji mjitume dakika zote tisini mkijua hamchezi na wenzenu 11
3) Kama kuna mechi kucheza kwa nidhamu zote ni kesho...
Mwenzenu kila nikisikia neno CCM napata kichefuchefu. Nikiona mtu kavaa nguo za CCM huwa nahisi kutapika. Nikisikia mtu anaongea kwa kuonyesha kuipenda CCM huwa naziba masikio, kama nipo kwenye daladala huwa nashuka kituo kinachofuata hata kama kituo changu cha kushukia hakijafika ili...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.