Habarini,
Nilikuwa na mke tuliependana sana kwa muda wa miaka 9. Mwanamke alibadilika na kuondoka, alinichenga sana alipo mpaka sasa ni miezi 6 hataki kuwasiliana, nami ameamua kudanga.
Nataka nimtafute mchumba mpya nioe, je, nikitafuta wa jina kama la mke wangu itanipa shida? Mke wangu...