Kuna ule usemi maarufu ya kwamba "Ukitaka kazi ya jeshi basi lazima ugangamale".
Hivyo kwa mchezaji yeyote wa timu ndogo anapopambana na kuonesha makali ili afanikiwe kuwashawishi timu kubwa kumpa kazi, basi ajiandae pia kwa maisha ya upande wa pili wa shilingi, ambako kuna maisha ya presha...