kisasa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Kilimo cha maembe ya kisasa

    Katika hekaheka za kujiandaa kustaafu miaka 7 baadae nimeamua nipande miche kama 500 yaani ekari 10 za maembe kisasa. Shamba lipo Tabora kwa sasa naendelea kuchimba mashimo. Nitapanda bila mbolea ya samadi ila taweka NPK baada ya miezi 3 ikiwa imeshika. Mpango wangu miche 450 ipone ili...
  2. Mbunge Mavunde Akabidhi Uwanja wa Michezo wa Kisasa Shule ya Sekondari K/Ndege Dodoma

    Ni wa michezo ya Mbunge wa Jimbo la Dodoma Mjini Mh. Anthony Mavunde amekabidhi kwa uongozi wa Shule ya Sekondari Kiwanja cha Ndege kiwanja cha kisasa cha michezo ya mpira wa kikapu,pete na wavu kama sehemu ya kukuza na kuendeleza vipaji vya wanafunzi wa Jijini Dodoma. Tukio hilo limefanyika...
  3. Wamachame wamesusa shule za umma? Au uzazi wa kisasa? Watoto ni chini ya 25 kwa Darasa karibu shule zote wilaya ya Hai

    Niweke wazi kuwa nina maslah ya moja kwa moja na huu uzi. Nimezaliwa, nimekulia, nimesoma Machame, nimetoka nikiwa mtu mzima kidogo.. Kipindi tunasoma tulikuwa si chini ya Wanafunzi 40 kwa darasa... During may be more than 20 years ago, Kwa sasa ni chini ya wanafunzi 20 Kuna shule nyingi...
  4. Plot4Sale Plot, House for sale

    PLOT FOR SALE MBWENI Plot safi kabisa hii hapa Inauzwa Iko Mbweni mpiji inagusa lami Ni sqm 1000 📌🗒Ina Hati safi kabisa 📌Ni pazuri sanaa Kuna nyumba pia kama unavyoiona kwenye picha hapo 📌Plot inataka milion 150 maongez kidogo NB; ZINGATIA PLOT INAGUSA BARABARA KUBWA YA LAMI, PATAFAA SANAA...
  5. Mitambo ya THAAD ishaanza kufanya kazi Israel ,huku Hezbollah wakisema wataanza kushambulia kwa makombola ya kisasa zaidi

    leo ndio mtambo wa ulinzi wa anga wa THAAD unaanza kufanya kazi Israel. Huku kundi la Hezbollah wakijibu kauli ya msemaji wa Idf aliyesema watashambulia benki na mali zinazohusiana na Hezbollah,, Kundi la Hezbollah wamesema watarusha makombola ambayo hawajaanza kuyatumia Tel Aviv huku...
  6. Alan Turing: Baba(pioneer) wa computer za kisasa aliyeishi maisha ya utata kama shoga na kufa kifo tata kilichohusisha ushoga wake

    Alan Turing anachukuliwa kama baba(mwanzilishi) wa computer za kisasa, Muingireza aliyezaliwa mwaka 1912 na kufariki mwaka 1954 katika kifo chenye utata mkubwa akiwa na miaka 41 tu. Huyu ndiye aliyepangilia na kurasimisha nadharia za ufanyaji kazi wa computer za kisasa na pia kutengeneza Turing...
  7. Natafuta tender ya ku supply mayai ya kisasa

    Wakuu habari. Mimi ni muuzaji wa mayai ya kisasa , nauza Kwa bei ya jumla. Natafuta tender ya ku supply kwenye shule, hotels , dukani, kwenye malls , au popote pale. Naweza ku supply Kwa idadi yoyote utakayo hitaji.. Ofisi ipo mbezi malamba mawili, Dar es salaam, kama upo Dar nafanya free...
  8. Karibu ofisini kwetu ujipatie Makonteina bora na ya kisasa

    Sisi ni wauzaji wa container bora na ambazo zipo katika hali nzuri. Tuna makonteina Ft 20 na Ft 40. Ft 40 zipo katika grade Kwa sasa tupo katika Ramadhan offer Bei zipo hivi kwa ft40 Grade A 7M Grade B 6.8M Grade C 6.5M Grade D 6.3M Na bei za 20Ft ni hizi hapa Grade A: Tsh 4.2M...
  9. Picha: Haya mabasi ya kisasa yanatufanya tuwe wastaarabu sana

    Ambao mmewahi kusafiri humu, hivi ukitaka kununua kitu kwa winga Dirishani unafanyeje? Wale wenye uroho na walafi wa Kulakula hovyo wananunuaje mayai,karanga,mahindi na maembe? Au abiria wa haya mabus ni wastaarabu ambao wanapaki supermarket kununua mahitaji ya njiani.. Mabus yanafanana na...
  10. Mlioishi Ulaya na Amerika, eti huko wazungu wanakula kuku wa kienyeji au wa kisasa?

    Nachojua mzungu ana hela nyingi na kama ni kula daima anapendelea kula vilivyo bora sijajua kwa maendeleo tulionayo hapa duniani kiasi cha kuanza kufuga broiler wa biashara na wanaliwa kwelikweli. Nachojua hii teckonolojia ni ya kwao mataifa yaliyoendelea sasa swali ni je na wao wanawatafuna...
  11. Mbunge Aloyce Kwezi Atoa Milioni 2 Kujenga Choo cha Kisasa Shule ya Msingi Mwamanshimba, Kaliua

    MBUNGE ALOYCE KWEZI ATOA MILIONI 2 KUJENGA CHOO CHA KISASA SHULE YA MSINGI MWAMANSHIMBA Mbunge wa Jimbo la Kaliua, Mhe. Aloyce Kwezi tarehe 04 Oktoba, 2024 akiwa kwenye mahafali iliyofanyika katika Shule ya Msingi Mwamanshimba, Kata ya Ushokola Wilayani Kaliua. Mhe. Aloyce Kwezi akiwa katika...
  12. Nauza mayai ya kisasa

    Wakuu habari Nauza mayai ya kisasa Kwa bei ya jumla . Napatikana , dar es salaam kigamboni, hata ukiwa mkoani naweza kukutumia mzigo na unafika salama kabisa Kama upo dar , nafanya free delivery, nakuletea mpka ulipo. Bei Huwa inabadilika badilika , ila Kwa bei ya Leo ni 8000 Kwa trei...
  13. M

    Natafuta fundi wa kutengeneza bembea za kisasa kwa michezo ya watoto

    Habari zenu wakuu. Natafuta fundi ambaye anaweza kutengeneza bembea za kisasa Kwa michezo ya watoto. Location. Morogoro mjini
  14. Namba makadirio ya ujenzi wa nyumba yenye bedrooms 3 na master 1

    Naomba msaada wa kunifanyia makadirio ya nyumba ya kisasa yenye bedrooms 3 plus master room 1 ambayo itakuwa basement planned to be a kitcheni. Tukianzia kwenye boma lake itachukua sh ngapi Mahali ni Dar es Salaam
  15. 2 Samweli 2:26: Samia na Free Man Mbowe: "Msigombane Njiani" katika Muktadha wa Kisasa,

    Katika historia ya siasa za Tanzania, viongozi wawili, Samia Suluhu Hassan na Freem Mbowe, wamekuwa katika mazingira ya kisiasa yenye changamoto na mabadiliko. Mstari wa Biblia, 2 Samweli 2:26, unaongelea umuhimu wa umoja na ushirikiano, ambapo Abner anasema, "Msigombane njiani." Huu ni mwito wa...
  16. Nani supplier mkubwa wa mayai ya kisasa dar

    Nahitaji kufanya biashara ya mayai, nani supplier au mzalishaji mkubwa. Niko dar
  17. Nina laki 1 nataka mashine moja ya kisasa ya kunyolea kampuni bora tafadhali.

    Sitaki hizi mashine za et 20k,25k,35k,sijui 50k hapana nimeona bora nichukue Mashine moja kali ambazo haipati moto kirahis. Nimeona fursa hapa mtaa ya saloon. Asanteni. Nielekeze kampuni bora ya mashine za kunyolea.
  18. Mbeya tunauhitaji wa uwanja wa kisasa

    Sitaki kuongea mengi sana, ila kwa heshima ya mkoa wa Mbeya, hakika tuna uhitaji wa uwanja wa kisasa. Uwanja wa michezo wa kisasa Kuna faida nyingi kuliko hasara, ila uwanja wa kisasa ni muhimu kwa mkoa wetu huu wa Mbeya
  19. Handbag home! Kisasa zaidi.....

    Nina imani tu sote wazima Kama ilivyo ada, kijana wenu nimepata fursa kwa bos wangu... huu uzi maalum kwa ajili ya handbags (pochi) za kina dada. Duka lipo kariakoo mtaa wa Aggrey na Kongo Huu uzi nautumia kutoa updates na kazi mpya zitakazokuwepo dukani. Delivery services (dsm only 5000tsh)...
  20. L

    NYUMBA YA KISASA GOROFA MOJA INAUZWA KWA BEI NAFUU

    NYUMBA YA KISASA(HEKALU) INAUZWA. Location : Goba TAARIFA ZA NYUMBA 1) GOROFA YA JUU --- V.I.P Masterbedroom yenye ukubwa wa 30sqm na imezungukwa na balcon upande wa kulia, kushoto na upande wa kichwa. ---GYM yenye CHUMBA na CHOO ndani yake.Ukiwa unatoka nje ya Gym kuna balcon nyingine...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…