Twime TUBITE
"Hakuna mfano nyuma ya mfano,nyuma ya mfano Kuna Imani"
MAPACHA 3 wa Siri wanavyoifanya Dunia watakavyo, MAPACHA wenyewe kwa nje wanaonekana kama maadui na jamii kubwa inaelewa hivyo Lakini kwa Siri sana wanashirikiana kugawana makundi ya watu.
DINI,(religion) SERIKALI...
Jipatie chanuo la umeme kwa bei nafuu ya Tsh 45,000 tu
Bidhaa hii inatatua changamoto zifuatazo:
1. Kuzuia nywele kuwa ngumu:
• Inafanya nywele kuwa laini na , hata katika hali ya hewa yenye unyevunyevu.
2. Kung’arisha Nywele:
• Inaongeza mng’ao kwenye nywele, hivyo...
Elimu yetu inahitaji marekebisho makubwa sana tusiendelee kutoa elimu ya kuchora panzi tu tuendelee kutoa elimu kwa vitendo ili tusiendelee kuwa na vijana wengi waliokosa ajira mitaani.
Nilikua naamka usiku wa manane kuchora hii panzi kwa ajili ya mtihani, ila mpaka sasa sijaona application ya...
Kutokana na ukosefu wa ajira katika nchi yetu ,Elimu ya ufundi stadi imekuwa mkombozi wa vijana wengi sana ndani ya nchi yetu kwani wamejengewa uwezo wa kazi mikononi mwao lakini uwezeshwaji wa vijana kimitaji ili waendeleze shughuli zao za kiufundi kwa kufungua karakana zao binafsi na kufanya...
anthony mavunde
bodi ya mikopo elimu ya juu
fani
kisasa
kuendeleza
kuwawezesha
mfano
mfumo
mitaala
nyenzo
serikali
teknolojia
ufundi
veta
vijana
vyuo
wahitimu
wahitimu wa vyuo
wizara ya elimu
zao
Ukraine bado wanaendelea kumtia aibu supapawa wenu, sasa sijui nani atawaokoa maana juzi hapa tuliona hata Iran kubwa lenu alishindwa kufanya chochote kwa Israel hata baada ya kutuma makombora 300, yeye alipigwa moja tu ndani kwa ndani.
Urusi ambayo huwa mnaitegemea iwalinde imeshindwa kufumua...
Kilimo ni maisha na maisha yetu ni kilimo na chakula.ni serikali Sasa ifike mahali iache longolongo hasa linapokuja suala la kilimo chenye tija Kwa mkulima wa chini.
Kuna mambo machache serikali inapaswa kuyaboreaha Kwa vitendo ya majaribio sio matendo ya kisasa Kwa vifaa kila mwaka wa kilimo...
Wengi wetu tumekuwa tukiogopa kufuga kuku sababu ya magonjwa.Ni kweli kuku wa kisasa ni rahisi kupata magonjwa.
Sababu ya ufugaji wa kuku wa kisasa unaonekana ni mgumu kutokana na maeneo na chakula ila hapa nitaweka kuhusu maeneo.
Maeneo ya kufuga kuku yanataka sehemu kubwa kuanzia heka 1...
UTANGULIZI.
Majanga ya moto ni miongoni mwa majanga ambayo hayatabiriki na huleta athari kubwa sana katika jamii kama vile watu kupoteza maisha na mali,kwa Tanzania majanga mengi ya moto yamekuwa yakileta maafa makubwa kipindi yanapotokea hii nikutokana na sababu mbalimbali ikiwepo ukosefu wa...
Tunapenda kukutaarifu ya kuwa zile mashine za kupukuchulia mahindi tayari zimeshafika ofisini kwetu.
(Maize sheller machine)
✓Inauwezo wa kupukuchua (GUNIA 25 KWA SAA)
✓Inapukuchua magunzi saize Tofauti Tofauti.
✓Hutumia umeme wa majumbani single phase (Ac)
✓Inahamishika kirahisi kutoka Sehemu...
Hujambo ndugu mwana JF.
Karibu AcademiazSoft.
RAhisisha na kuboresha namna ya uendeshaji wa shughuli zako za kila siku shuleni kuwa kisasa zaidi.
Mfumo wa wa kidigitali wa AcademiazSoft, unakupa fursa ya kufanya masuala yote yahusuyo uendeshaji wa shule yako katika platform moja iliyoboreshwa...
“Helikopta ya parade la ubingwa itaanza safari yake majira ya saa nne asubuhi ikiwa imebeba kombe, itapita maeneo mbalimbali jiji la Dar Es Salaam. Tumempa Rubani maelekezo kuna maeneo akifika pale Kariakoo, aishushe chini kidogo ili kila mtu ashuhudie parade la angani. Baadae mchana Helikopta...
UTANGULIZI
Wizara ya elimu imezindua mtaala mpya wa elimu karibuni wenye maboresho mbalimbali ambayo binafsi naona bado hayakidhi matakwa ya kasi ya sasa ya ulimwengu kisayansi na kiteknolojia. Bado tumelenga kuzalisha kundi kubwa la wasomi wasio na uwezo wa kuendana na maendeleo ya sayansi na...
Nasemajeeee?
Huu ni ukweli ambao wengi wetu kwa kujua ama kutojua hatuusemi.
Ukiacha mila za jando na unyago, hizi kitchen parts zimethibitika kukosa msaada wa kutosha kuimarisha ndoa.
Tumeiga mifumo iliyofeli kutokea huko ilikotoka, tukaikumbatia na kuacha mifumo yetu.
Sasa basi, unaambiwa...
Tanzania ina fursa kubwa ya kusimama kama nguvu ya kilimo na ufugaji wa kisasa ambao unaweza kuhakikisha usalama wa chakula ndani ya nchi na kusaidia katika kutoa mchango wa kipekee katika kuilisha dunia ndani ya miaka 15 ijayo . Kufanikiwa kwa malengo haya kutahitaji mazingira ya kisiasa yenye...
MREI Company Limited ni watengenezaji na wauzaji wa nishati safi ya kupikia inayotumia Oil chafu, lakini pia wanahitaji support kutoka kwa wadau na serikali ili kuweze kuiendeleza technologia hii ili iweze kua na matokeo chanya katika uchumi wa Taifa, utunzaji wa mazingira, uondoaji wa...
Jf salaam
Huwa nashangaa sana mtu kuanza kuinadi hii miti ya kisasa akiiponda ya kienyeji (asili).
Ukweli ni kwamba miti ya matunda ya asili inazaa sana iwapo itatunzwa kidogo tu!
Na daima ni mitamu sana na mivumilivu mno katika Hali zote!
Hii yenu hii iliyoibuka hata nusu haiwezi fikia...
MAONESHO YA TEKNOLOJIA ZA KISASA KWENYE KILIMO KUANZA KESHO DODOMA 30 APRIL, 2024
Katibu Mkuu Wizara ya Kilimo, Mhe. Gerald Geofrey Mweli leo April 29, 2024 Jijini Dodoma ametembelea na kukagua maandalizi ya maonesho ya kilimo yatakayoanza kesho katika Viwanja vya Bunge.
Maonesho hayo yenye...
Kwa mtu yeyote yule ambaye ameondowa tongotongo na kutembea nchi za kimagharibi au hata South Africa atakubaliana na hoja yangu.
Unakwenda club au Pub lakini cha kushangaza unakuta mziki wa wavuta cocaine wa ulaya ndio unapata air time na vijana vibe lao linakuwa kubwa, huwa sielewi
Kwa mtu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.