kisayansi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Jidu La Mabambasi

    Mbio za Mwenge: Wakimbiza Mwenge watumie vigezo vya kitaalam kukagua miradi

    Katika miaka ya karibuni tumeshuhudia mambo ya ajabu katika ukimbizaji mwenge wa uhuru. Wakimbizaji mwenge siku hizi wamegeuka kuwa TASK FORCE ya ukaguzi wa miradi. Sina uhakika kama wakimbiza mwenge ni wahandisi au wataalam wa kukagua miradi na usimamizi wake. Kama picha hapo juu eti mkaguzi...
  2. kavulata

    Mwezi wa Ramadhan: Zifahamu faida za kisayansi za kufunga kula chakula wasizozifahamu wafungaji

    Kuna Kwaresima na Ramadhan miezi ambayo waumini wa Kikristo na Kiislam wanafunga kama sehemu ya imani zao kwa lengo la kumpendeza Mungu wao ili awasamehe dhambi au awape kibali cha kuingia peponi. Kwenye upande huu wa dini sintakuongelea zaidi kwakuwa imani ya mtu ni package ambayo haiko wazi...
  3. LIKUD

    Sababu za Kisayansi kwanini Tundu Lissu alikuja Tanzania kugombea Urais mwaka 2020

    It was a part of his healing process. Alikuwa ana fanya therapy ya kuiponya nafsi Na akili yake Kwa trauma ya tukio la Septemba 7.(Eidha Kwa kujua au Kwa kutokujua) Kwa kutaja madudu yote ya serikali ya awamu ya Tano, kutamka hadharani Nani aliye toa amri ashambuliwe Kwa risasi, Lissu...
  4. LIKUD

    Sababu za kisayansi kwanini Sarai mke wa Nabii Ibrahim alikuwa na shida ya Uzazi/ Uzazi mgumu

    Vitabu vitakatifu vya Dini zetu pendwa vinamtaja Sarai ama Sarah kama mwanamke aliye kuwa anakabiliwa na changamoto ya UZAZI. Vitabu hivi vinatueleza kwamba suala la Sarai kuwa na matatizo katika UZAZI lilikuwa ni suala la kiroho. Hata hivyo suala la Sarai kuwa Na changamoto ya UZAZI linaweza...
  5. M

    Hii ya Mtoto kufa baadae kuonekana hai tuiitaje

    Mtoto mwenye miaka 11 mkazi wa kijiji cha Ngemo kata Ngemo Wilaya ya Mbogwe mkoani Geita amezua taharuki kwa kuonekana hai tena baada ya kufariki miaka minne iliyopita. Akizungumza na waandishi wa habari Kamanda wa jeshi la polisi mkoa wa Geita, Kamishana msaidiizi Henry Mwaibambe amesema mtoto...
  6. Sam Gidori

    #COVID19 Ramaphosa: Hakuna sababu za Kisayansi za kuweka marufuku ya kusafiri kwa nchi za Kusini mwa Afrika

    Rais wa Afrika Kusini, Cyril Ramaphosa ametoa wito kwa nchi za Ulaya na Marekani zilizoweka vikwazo vya usafiri kwa Mataifa ya Kusini mwa Afrika yaliyobainika kuwa na maambukizi ya aina mpya ya Virusi vya Corona kuondoa vikwazo hivyo. Katika hotuba yenye urefu wa dakika 29, Rais Ramaphosa...
  7. B

    Kesi ya Mbowe: Madai Mahakamani yathibitishwe Kisayansi

    Leo kumekuwapo shahidi mahakamani kuonyesha Ling'wenya hakuwahi kufikishwa Tazara Polisi. Shahidi huyu ana anayodai kuwa ni detention register kama ushahidi. Baadhi ya kurasa zake zimenyofolewa na nyingine zimeongezwa. Si mageni kusikia polisi wamebambikizia watu kesi, wamewaweka watu rumande...
  8. beth

    Rais Samia aagiza kushushwa tozo kwenye bidhaa za mafuta

    Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan ameelekeza tozo zinazotozwa na Taasisi mbalimbali kwenye bidhaa za mafuta kupunguzwa ili kuwapa unafuu wananchi Baadhi ya Taasisi zinazoguswa na maelekezo hayo ni Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (Tozo ya udhibiti), Mamlaka ya Bandari (Tozo...
  9. Z

    Tumjibu Askofu Gwajima Kisayansi na si Kisiasa, tuache kumshambulia na kumtishia. No research no right to speak

    Kwanza kabisa tuache kutishiana kuhusu covid 19 japo kama una kinga dhaifu au kama una other risk factors ya kuambukizwa na kufa kwa ugonjwa wa uviko 19 jaribu kukaa mbali na watu ambao unahisi wanaweza kukuambukiza covid 19 au kama una hiari ya kupata chanjo ya covid 19 nenda ukachanjwe . Risk...
  10. beijing_07

    #COVID19 Gerson Msigwa: Watanzania wawasikilize wataalamu, chanjo za COVID-19 zinahakikiwa na TMDA na Mkemia Mkuu

    Mtangazaji: Tuanze na suala la chanjo, tumepata taarifa kesho Rais Samia Suluhu atazindua utaratibu wa chanjo na yeye atachanjwa. Utaratibu utakuwaje kama umeshawekwa na Serikali? Msigwa: Baada ya kuwasili dozi za chanjo zaidi ya milioni 1, kesho asubuhi mheshimiwa Rais atazindua zoezi la...
  11. R

    Rais, Mama Samia ni kweli tuna utaalamu na wataalamu wa kisayansi kujiridhisha kama chanjo za corona zinafaa au hazifai?

    Simply hatuna wataalamu wa kubaini kama chanjo inafaa au haifai kwetu! Haya mambo siyo rahisi kama wanavyokuaminisha. Hatuna Investigators brochure (IB) za hizo chanjo, then how do you judge the safety of an investigational product? (sidhani kama J&J, Moderna, Pfizer utawalazimisha wakupe hizo...
  12. Tabutupu

    Kisayansi ubongo wa Mwanaume Vs Mwanamke

    Jana muheshimiwa Rais alisema hakuna tofauti kati ya ubongo wa mwanamke na ule wa mwanaume.. Naafiki kauli yake lakini wanasayansi wanasema kuna tofauti. Kuna mmoja ameniambia ubongo wa mwanaume ni mkubwa kuliko ule wa mwanamke. Wanasayansi mliopo humu naomba tusaidiane maana nasikia ubongo wa...
Back
Top Bottom