Jeshi la M23(siliiti kundi tena, kwa walivyofanya, wana hadhi ya kuitwa wanajeshi), huko Kivu kusini, limezitaka taasisi zote za kiserikali kuendelea kutoa huduma kama kawaida.
Kuna taasisi ambazo, wafanyakazi walikimbia na kwenda mikoa au nchi jirani, wengine wakienda Kinshasa jijini. Baada tu...
Binafsi nimuombe Rais Samia S. Hassan aongeze kasi ya kuijenga Dodoma ili shughuli zote za kiserikali including zake mwenyewe zifanyikie Dodoma.
Dar es Salaam tuiache ipanuke kibiashara zaidi.
Mikutano yote ya kitaifa na kimataifa ya kiserikali ifanyikie Dodoma.
Marais wakija Tanzania waende...
Wadau hamjamboni nyote?
Tuko Kijiweni muda huu hapa maskani
Kuna chaji ya simu ipo hapa mezani Ina rangi nyeupe tena ya gharama kubwa imeachwa na mteja mmoja aliyekuja mapema leo asubuhi
Hatujui kaisahau kwa bahati mbaya au la na pia hakuna amjuaye mtu huyu anatokea wapi
Waliomuona asubuhi...
BODABODA WAMCHANGIA RAIS SAMIA 3,170,000/= ZA KUCHUKUA FOMU YA KUGOMBEA URAIS MWAKA 2025
Na. James K. Mwanamyoto OR-TAMISEMI
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe. Mohamed Mchengerwa amepokea mchango wa shilingi 3,170,000/= wa madereva bodaboda nchini...
Nimejikuta katika wakati mgumu wa kuiamini taarifa inayosema eti rais Ruto wa Kenya ndie rais wa kwanza kufanya ziara rasmi ya kiserikali nchini marekani kwa kipindi Cha miaka 15 iliyopita.
Swali ni je Hawa Marais wengine kutoka afrika ambao kwa mamia walioitembelea marekani kwenye hicho...
1. 0 UTANGULIZI.
Habari zenu watanzania na wananchi wenzangu wa nchi yetu pendwa ya Tanzania? Nawasalimu nikiwa na furaha kubwa sana na nikiwa na lengo la kuchangia mawazo yangu kwaajili ya kuboresha zaidi huduma za serikali dhidi ya wananchi wa Tanzania ambao ndio sisi (Mimi na Wewe). Wengi...
Habari zenu wakuu.
Tarehe 02/04/2024 kulikuwa na tukio la kuwasha mwenge wa uhuru mkoani kilimanjaro na mgeni rasmi alikuwa ni waziri mkuu Mh. Kassim Majaliwa.
Kama ilivyo kawaida kwa shughuli yeyote ile lazima yawepo maandalizi mazuri ili kuweza kufanikisha kwa ufanisi mkubwa.
Moja ya...
Serikali ina bajeti iloyotengwa ya kufanya sherehe za kumbukumbu za vifo kwa viongozi wa taifa waliofariki ?
Ni viongozi gani waliofariki ambao wanakidhi vigezo vya kufanyiwa kumbukumbu za kiserikali kwa bajeti ya serikali?
Wizara gani inasimamia ufanyikaji wa hizo kumbukumbu?
Wahandisi wanaoajiriwa Halmashauri na Taasisi zingine za kiserikali wanautofauti gani na Kwanini wanasimamishwa sana?
Serikali inajitahidi kuajiri wahandisi (engineers) kwenye taasisi zilizopo chini ya TAMISEMI hasa HALMASHAURI kwa lengo la kusimamia Miradi ya ujenzi ambayo serikali inatumia...
Idadi klubwa ya wananchi ni dhofu hali na pangu pakavu hivi hizi kauli za madktari kuwalingania wananchi kuwa wapime afya zao kila wiki wanakuwa wakifikiri kuhusu pato la kila mmoja?wapo viongozi wengine wa kiserikali wanatumia kauli za kuwaaambia vijana wajiajiri ila wao ndiyo kwanza wapo...
SHIRIKA LA KISERIKALI LA CTG - CHINA KUSHIRIKIANA NA TANZANIA KUTANGAZA UTALII
Shirika la Kiserikali la China linalosimamia utangazaji wa utalii na uwekezaji (China Tourism Group - CTG) limeonesha nia ya kutaka kutangaza vivutio vya utalii vilivyoko nchini Tanzania pamoja na kuwekeza katika...
Hongera China kwa hiki mnachokifanya, hakika nchi yenu itabaki na amani kwa kudumisha tamaduni na dini zenu.
Endeleeni na hizohizo dini zenu za Confucianism and Buddhism, waachieni waarabu na tamaduni zao.
Chinese authorities have decommissioned, closed down, demolished, and converted mosques...
Waziri wa Nchi, @ortamisemitz Mhe. Mohamed Mchengerwa amekabidhi magari ya usimamizi shirikishi wa shughuli za Afya kwenye Halmashauri za Mkoa wa Kilimanjaro.
Mhe. Mchengerwa amekabidhi magari hayo baada ya hafla ya uwasilishaji wa tarifa ya utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya CCM 2020 - 2025...
SHIRIKA lisilo la kiserikali la Star Entrepreneur General kwa ufadhili wa Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Singida, Mhe Aysharose Mattembe, limetoa mafunzo kwa wajasiriamali katika wilaya zote za mkoa huu ya namna ya kuendesha biashara zao kwa ufanisi na weledi ili waweze kujikwamua kiuchumi...
Kwa sasa naona tumekumbwa na wimbi kubwa la Influencers kutumika katika masuala ya kiserikali. Mathalani hivi karibuni, ndugu Mwijaku alikuwa na deal ya utalii na kukawa na shida ya nani anamlipa, serikali kuitia bodi ya utalii au namna gani.
Hata hivyo, hii sio tukio la kwanza watu wengi...
Hizi ni dini za mchongo zilizojaa unafiki na utapeli, zimekuwa zikimantain wafuasi wake kwa kuwajengea hofu ya kutokuswaliwa pindi watakapokufa.
Tumeona hili limekuwa likileta sitofahamu kubwa sana kwenye jamii pale ambapo kiongozi wa dini kwa makusudi kabisa anakataa kumfanya ibada ya msiba...
Mwigulu Nchemba amependekeza kwenye sheria mpya ya manunuzi serikali inunue ndege, vichwa vya treni, mabehewa ya treni, meli zilizotumika badala ya kuagiza mpya, na wabunge wanasherehekea bungeni kwa nguvu sana.
Yani baada ya vichwa vya treni mitumba kukosolewa na wananchi kwa nguvu sana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.