Nimeona tamko la Nape, nikajiuliza yeye anayo mamlaka yakutoa tangazo kama lile?
Kwanini kukamatwa na kuwekwa mahabusu watuhumiwa iwe jukumu la Nape kutangaza?
Mfumo wa serikali upo vipi?
Mashirika yasiyo ya Kiserikali (NGO's) 200 kati ya 613 mkoani Mwanza, yamewekwa chini ya uangalizi wa Ofisi ya Msajili wa Mashirika yasiyo ya Kiserikali kutokana na kutowasilisha taarifa za utendaji kazi na kutolipa ada kwa wakati.
Taarifa hiyo imetolewa na Mkurugenzi Msaidizi wa usajili wa...
Utangulizi
Uwajibikaji katika taasisi za kiserikali ni muhimu sana katika kuleta maendeleo endelevu katika jamii. Makala hii inalenga kuchunguza umuhimu wa kuwezesha uwajibikaji katika taasisi za kiserikali na jinsi utawala bora unavyoweza kuleta mabadiliko chanya katika jamii. Tutajadili pia...
Uboreshaji wa Mfumo na Muongozo wa Utoaji wa Taarifa za Serikali nchini Tanzania.
Utangulizi.
Habari ndugu wana JamiiForums! Karibuni tujumuike katika chapisho hili lenye lengo la kuchunguza na kutoa mapendekezo kwa nia njema juu ya taifa letu, hususani katika sekta inayohusika na utoaji wa...
Kuna upotoshaji mkubwa kwamba kilichopo sasa ni MoU na Mkataba wa Awali tu hivyo hatuwezi kujadili kwamba Serikali imeingia mkataba na Dubai. Nafikiri tuwekane sawa kidogo na tupate tafsiri ya hayo maneno yana maana gani hasa.
Maana na Tafsiri halisi ya MoU - Memorandum of Understanding au...
TANGAZO KWA MASHIRIKA YASIYO YA KISERIKALI
Msajili wa Mashirika Yasiyo ya Kiserikali anayatangazia Mashirika Yasiyo ya Kiserikali kuwasilisha taarifa zao za mwaka 2022 na kulipa ada.
Mwisho wa kulipa ada na kuwasilisha taarifa ni tarehe 15 Aprili, 2023. Baada ya tarehe hiyo malipo yote ya...
Nategemea na hata Sikukuu ya Idi (ya Wiki Mbili zijazo) na ile ya Krismasi bila kuisahau ile ya Idi al Haji na zenyewe pia Rais Samia ataendeleza huu Utamaduni aliouanzisha leo wenye kutuachia Maswali mengi Vichwani wale Binadamu Wachache sana tuliobarikiwa Akili Kubwa na Mwenyezi Mungu.
Je...
Wana jamvi habari za usiku huu,
Leo nimeona nilete hii habari kwenu, najua fika kwa wengi wenu sio habari mpya na kwa wengine na habari mpya kabisa.
Na kuna wengine habari hii sio mpya ila wamejisahau kiasi kwamba wanabana na kuvunja sheria na taratibu zilizowekwa na serikali kuhusu kima cha...
Serikali imeyafuta mashirika yasiyo ya kiserikali 4,898 kati ya hayo yapo yaliyoomba kuacha shughuli zao kwa hiari.
Taarifa ya kufutwa kwa mashirika hayo imetolewa Januari 24, 2022 na Kaimu Kitengo cha Mawasiliano Serikali, Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum...
Uongozi huo wa Afghanistan umedai kuwa sababu za kufanya hivyo ni kutokana na mavazi wanayovaa katika taasisi hizo kutozingatia maadili yao.
Katazo hilo ambalo limekuja siku chache baada ya Wanawake kuziwa kusoma Chuo Kikuu limekosolewa na Umoja wa Mataifa (UN) wakidai kuwa inakandamiza haki za...
Wasalaam,
Wakuu kwa wale wenye uzoefu wa masuala haya, mwanzoni wa mwaka jana tulifanikiwa kusajili NGO yetu wizarani, na kwa bahati mbaya kwa sababu zilizo nje ya uwezo wetu hatukufanikiwa kufanya shughuli yoyote ya taasisi kwa mwaka mzima ikiwa ni malengo yetu kwa mwaka ujao kuwa active...
Yawezekana ndiyo maana kama taifa hatutoboi. Kila siku tunaogelea kwenye mabalaa na majanga. Ni kwasababu tunamdhihaki Mungu wetu wa mbinguni.
Hawa hawa viongozi wetu ambao ni wafujaji wa kodi zetu, wezi wa mali ya umma na wala rushwa wakubwa ndiyo kila wakikutana kwenye mikutano, warsha na...
Utamkuta Waziri, Mkuu wa Mkoa na Wilaya pamoja na Watendaji wengine kila wakiwa wanatolea Ufafanuzi wa Jambo fulani wakiwa Wanahojiwa na Waandishi wa Habari ni lazima tu Watalazimisha kumtaja Rais wa Nchi (mfano wa sasa Samia) na hata kwa Wengine waliotuongoza Watanzania huko nyuma.
Hivi kwani...
Habari za leo wana jukwaa,
Kama kichwa kinavyosomeka, Rais wa DRC amewasili nchini kupitia Zanzibar ambako atapumzika na kisha kuanza ziara rasmi ya kiserikali nchini ya siku 4.
Pamoja na mambo mengine atatembelea bandari ya Dar na kufanya mazungumzo na mwenyeji wake Rais Samia.
Ikumbukwe DRC...
Wiki moja iliyopita, viongozi wakubwa wa kimataifa walikusanyika London kwa ajili ya mazishi ya kiserikali ya Malkia Elizabeth II wa Uingereza. Sasa wengi wao wanaelekea upande wa pili wa dunia kwa mazishi mengine ya kiserikali ya Waziri Mkuu wa zamani wa Japan aliyeuawa, Shinzo Abe.
Lakini...
Eneo la Loliondo ni eneo pekee Tanzania lenye idadi kubwa ya mashirika yasiyo ya kiserikali (NGOs) yanazojishughulisha na masuala ya Ardhi na Haki za Binadamu nchini. Kwa sasa kuna jumla NGOs 17 katika eneo hilo. NGOs hizo zimekuwa zikifanya upotoshwaji kwa jamii kuhusu masuala yanayohusu...
Ni aibu kuona chombo kikubwa kama hiki ndani ya serikali kikiendeshwa bila weledi na sembuse kisichopenda kuwajibika litokeapo kosa kati ya matawi inayoyasimamia.
Mfano hai ni hiki kinachoendelea sasa kwenye mgogoro kati ya watoa huduma na wateja juu ya upandishaji holela wa bei za data...
Mkurugenzi wa Taasisi ya Media Convergency, Asha Abinallah, akizungumza wakati wa uzinduzi wa mradi wa #DigitalNGO ambao unatarajiwa kuwa kichocheo cha mabadiliko na mapokeo ya kidijitali kwa mashirika yasiyo ya kiserikali nchini Tanzania. Hafla hiyo ilifanyika katika Hoteli ya Serena jijini Dar...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.