kiserikali

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. MSAADA KUNA ULAZIMA WA KUCHANGIA UJENZI WA OFISI ZA KISERIKALI

    Wakuu niko dodoma mjini hapa mitaa ya changombe kuna kijana anapita akichangisha fedha za kujenga ofisi ya serikali za mitaa anataka buku kila frame za kubeba matofali naomba kujuzwa nikimtimua kisheria ni kosa au maana buku ni ndogo ila hii serikali imeshatuona wananchi wake ni nyumbu kuna...
  2. Kama hakuna chochote kiserikali kumkumbuka Magufuli na sisi hatuna habari na mwaka mmoja wa Rais Samia

    Tunaona tu watu wakisifia mwaka mmoja wa rais Samia utafikiri Magufuli alikufa ili Samia awe rais. Juhudi zozote za aina yoyote kumpotezea Magufuli haziwezi kufanikiwa. Magufuli ametufunza na kutuongoza kwa mengi yenye uzalendo mkubwa. Ajabu hata wale vigogo waliyoimba kumsifia kama ndege...
  3. Kwenye msafara wa Kiserikali wa Rais Dubai, Shaka ana nafasi gani?

    Kuna jambo limenistua kidogo japo linaonekana la kawaida lakini ni kubwa sana katika siasa na uadilifu, Huyu Mwenezi wa CCM Bwana Hamdu Shaka, ana role gani kwenye ziara ya Rais huko Dubai katika mkutano huu wa kibiashara? Mlinzi? Mwekezaji? Mfanyabiashara? Mjasiliamali? Machinga? Kangomba...
  4. Serikali iivunje GPSA au iwaondoe viongozi wa ngazi za juu ili manunuzi ya Kiserikali yasisuesue

    GPSA au Wakala Wa Manunuzi Serikalini ni miongoni mwa taasisi zinazoikwamisha serikali katika kupiga maendeleo ya haraka. Siku nyingine nitakuja kwaajili ya taasisi nyingine lakini leo twende na GPSA. Hii Wakala ni mhimili muhimu sana katika gurudumu la maendeleo hapa nchi ila Lina mauzauza...
  5. Makosa ya kiserikali ya 2019 yanayoendelezwa 2021. Nini kifanyike?

    Unaliona hilo bango? Linanikumbusha Tarehe 5 December 2019 niliandika makala nikionya matendo ya serikali ambayo yalikuwa yanakinzana na dunia ya ushindani inavyokwenda, Nilionya baada ya kujiridhisha kwamba Tanzania inaenda kushoto huku Watani zetu wa Jadi Kenya na dunia kwa ujumla wanakwenda...
  6. Je, wasanii wanaposhiriki kutoa burudani kwenye matamasha ya kiserikali huwa wanalipwa?

    Nianze kwa kukiri wazi kuwa, Tangu Nianze kufuatilia Matamasha ya Wasanii wanayo yafanya kwenye Jamii, Nimeona WASANII WA KITANZANIA wanaongoza Sana Kufanya PERFORMANCE zao Kwenye Matamasha/Mikutano Ya Kiserikali Kuliko Nchi Yoyote Ile Duniani. Mbaya Zaidi na Zaidi, Nimeona WASANII WENGI WA...
  7. U

    Ili uwe na nguvu nchini unahitaji hivi vitu vitatu

    Kwahiyo pambana sana kijana, hili ni somonhasa kwa vijana lazima uwe na nguvu tatu muhimu uweze kuheshimika 1. Nguvu ya kiserikali, lazma uwe karibu na serikali na watu wake wa juu ikiwemo Rais, waziri, rcs , wabunge, igp, mabeyo, 2. Nguvu ya uchawi - maadui ni wengi unahitaji ulinzi wa...
  8. Uongo wa kiserikali umefika mwisho, tujisahihishe kwa Mbowe tujenge nchi

    Mwezi April 2021, Baada ya dakika chache tu ya kufariki Rais Magufuli aliyekuwa mfuasi kindakindaki wa hayati John Magufuli bwana Job Ndugai aliyeapa kumuongeza muda wa kutawala kidikteta Tanzania atake asitake, alimgeuka mchana kweupe na kulitangazia taifa kuwa serikali ya Rais John Magufuli...
  9. Ziara ya Rais Samia mkoani Arusha ni ya Kichama au Kiserikali?

    Kwanza nadeclare interest, namuunga mkono mama na nina imani naye. Ila nikifuatilia hii ziara yake ya Arusha napata shida kidogo kama wenzetu wenye madaraka wanaelewa vizuri tofauti ya shughuli za kichama na za kiserikali? Hakuna ubishi CCM ndio inaunda serikali lakini hakuna ofisi ya CCM...
  10. U

    Hivi mpangilio wa madaraka Kiserikali ukoje kiprotokali?

    Kwa hii nchi yetu kumekuwa na stori nyingi za vijiweni , yaani Nani anariport kwanani Nani ni mkuu wa majeshi, Sasa leo nimekuta mabishano kijiwe Cha drafti, yaani wakuu watano wa hii nchi ya muungano ni Nani namba 1,2,3,4,5, hata Rais Samia aliwahi kusema hapo nyuma kabla ya kuwa mkuu wa nchi...
  11. Napendekeza serikali iweke kipengele cha cheti cha JKT kwenye matangazo yote ya kazi katika Taasisi za kiserikali na utumishi

    Napendekeza serikali iweke kipengele cha cheti cha JKT kwenye matangazo yote ya kazi katika Taasisi za kiserikali na utumishi. Hii italeta maana ya vijana wetu kupitia, mafunzo haya ya JKT. Na italeta hamasa kwa wale ambao hawapendi kwenda kulitumikia Taifa huko JKT. Mimi nimetoa pendekezo tu,
  12. Rais Samia awa mgeni rasmi katika Mkutano wa mwaka wa Jukwaa la Mashirika yasiyo ya Kiserikali (NGO) Dodoma

    Rais Samia: Nakushukuru Waziri wa Maendeleo ya Afya, Jinsia, Wazee na Watoto pamoja na Uongozi wa baraza la Mashirika yasiyo ya kiserikali kwa kunialika kwenye mkutano huu wa mwaka wa Mashirika yasiyo ya Kiserikali nataka nikiri kuwa nimefurahi sana kushiriki katika mkutano huu. Rais Samia...
  13. G

    Watu wenye uzoefu wa kusimamia na kuongoza miradi na shughuli za shirika lisilo la kiserikali

    Habari za wakati huu wakuu Naomba kuwasiliana na watu wenye uwezo na uzoefu wa kusimamia na kuongoza miradi ya shirika lisilo la kiserikali. Kwa wale watu ambao waliwahi kufanya kazi kwenye mashirika kama wafanyakazi ,wasimamizi ,viongozi nk, naomba tuwasiliane pls , Pia naomba ushauri na maoni...
  14. Serikali wekeni dini mbali na mambo yenu ya Kiserikali ili nyote muwe huru

    Wiki hii watu wametokwa na povu sana kutokana na matukio mbalimbali yalioashiria mwanzo wa kuanza kutomaswa tomaswa kwa dini zao ambazo zilikuwa zimepewa hadhi maalum ya kuwa zisizogusika au 'untouchables' kwa muda mrefu. Mzee wa Upako ni mmojawapo wa watu waliotokuwa na povu hilo hadi kufikia...
  15. Msaada kuhusu utaratibu wa kufunga ndoa ya kiserikali

    Wakuu habari za majukumu. Tafadhali kwa anayefahamu utaratibu wa kufunga ndoa ya Kiserikali naomba anieleweshe Gharama zake zipoje na ni vitu gani vinahitajika ili niweze kufanikisha Ninachohitaji zaidi ni cheti cha ndoa kama kuna member anafahamu utaratibu mwingine wa kupata cheti cha ndoa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…