kisheria

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mafundi simu msaada wa kisheria

    Wakuu habar za uzima najua tupo kwenye pilika pilika kwa ajili ya maandalizi ya sikukuu. Nilikua naombeni msaada wa kisheria kwenye ufundi simu upande wa software je kuremove password kwenye simu ni kosa kisheria? Na kipi ukifanya ni kosa na kipi so kosa wakuu. Ngoja niwape kisa...
  2. Jeff Bezos akiwa mdogo alikataliwa na baba yake mzazi na akamrithisha kwa baba mwinginekisheria" leo ndiye tajiri namba moja duniani

    Imeandikwa na Ngusa john kutoka Facebook Ted Jorgensen, alipokuwa na umri wa miaka 17, alikutana na binti mrembo aliyekuwa akisoma naye shule moja, Jackyn Gise, aliyekuwa na umri wa miaka 16. Wakapendana. Wakaanza safari ya mapenzi. Jacklyn akanasa ujauzito. Wakati Jacklyn anashika mimba...
  3. B

    Wabobezi wa sheria tunaomba tafsiri ya kisheria tofauti ya mtuhumiwa kufutiwa mashitaka na mtuhumiwa kusamehewa mashitaka..

    1.Wabobezi Wa sheria naomba mtupe tafsiri kati ya kusamehewa mashtaka na kufutiwa mashtaka.... 2.Kati ya kusahewa mashtaka na kufutiwa mashtaka ni njia ipi inamsafisha mtuhumiwa mbele ya macho ya jamii.... 3.Ni njia gani ya kuondolewa mashitaka inamtofautisha mtuhumiwa alietenda kosa na...
  4. Je, kukataa pesa iliyochakaa kama malipo ya bidhaa na huduma ni kosa kisheria?

    Mfano mtu amepewa huduma fulani, ila wakati wa kulipa akatoa noti iliyochakaa (halali na haijkatika sehemu yeyote ile), endapo yule mtoa huduma atakataa kuipokea nyaraka hiyo halali kabisa ya serikali kisa imechakaa, ni kosa kisheria?
  5. Wapinzani tambueni umoja wa kitaifa sio kuruhusu wapinzani kufanya makosa ya jinai na kutowachukulia hatua za kisheria

    Mnalalamika hovyo kila kona eti Rais wa JMT, mama Samia hajatekeleza ahadi ya kuleta umoja wa kitaifa. Hii yote ni kwa sababu Mbowe na wenzake wanatuhuma za kupanga njama za kutekelwleza ugaidi na walikamatwa na kufikishwa mahakamani Je, mlitaka kama kweli wanahusika na njama hizo...
  6. M

    Haji Manara bado tu unamuamini Alex Mgongolwa kuwa ishtaki Simba SC kwa Kukuajiri bila Mkataba na atakusimamia Kisheria ushinde?

    Halafu nashangaa sana kuona ya kwamba ulitumia Nguvu Kubwa Kulisemea hili Mitandaoni huku Ukiwatisha Simba SC lakini ghafla ukapoa na sasa hivi hutaki hata Kuliongolea. Tunajua ni huyu huyu "Failure Lawyer' Alex Mgongolwa ndiyo alikutia Ndimu ( Kushawishi ) uwashtaki Simba SC kwa Kukuajiri bila...
  7. B

    NEMC: Kunywa bia na kufanya sherehe na matamasha kwenye fukwe ni makosa kisheria

    Mkurugenzi wa Baraza la Kutunza Mazingira NEMC, Dr Samwel Gwamaka asema baraza la mazingira linashauri kuwa si salama kunywa vileo, kufanya matamasha makubwa ktk fukwe za bahari kwani ni hatari kwa umma mpana na pia inapelekea kuharibu mazingira Source : millard ayo.
  8. M

    Hivi kwanini sisi wanasimba tunakuwa wajinga kiasi hiki. Dewji alitakiwa kisheria kulipa bilioni 20 cash lakini anatuzungusha kwa mikutano?

    Kwa kifupi tu, sie wanasimba kwa nini tunakuwa wajinga kiasi hiki? Huyu Mohamed Dewji alinunua hisa 49%kwa bilioni 20 shilingi za kitanzania. Hadi leo hakuzilipa.Kinachoendelea ni kuchagua wanachama 800 kuwaweka ukumbi wa kisasa wa mikutano wa Jakaya Kikwete,na vibaraka wake kuanza kutoa maneno...
  9. I

    Msaada wa kisheria: Nitawezaje kujitoa kwenye chama cha wafanyakazi CWT?

    Msaada wa kisheria: Nitawezaje kujitoa kwenye chama cha wafanyakaz cwt? Ikumbukwe sijawah hata kujiunga nacho ila nakatwa makato ya 2%?
  10. M

    360 mawingu wameidadavua faini ya Musiba Tsh bilioni 6 kisheria, inashangaza kwa tusiojua sheria tunaweza kucheka

    Leo nilipata wasaa wa kusikiliza kipindi cha 360 Mawingu ambapo alialikwa mwanasharia nguli na mwanasharia msomi mama Gloria Kahaya kutoka kituo kimoja cha kutoa haki za kisheria hapa nchini. Walikuwa wakijadili mambo ya ndoa na taraka lakini baadae bila ya kutegemea wakatumbukia katika hukumu...
  11. C

    Kumbe kumuita Babe mwanamke asiye wako ni kosa kisheria?

    Mwanaume anayetambulika kwa jina Jamiu, mkazi wa Ijebu Ode, katika jimbo la Ogun nchini Nigeria, ameshutumiwa kwa kumuita mke wa mtu, Opeyemi Adegbesan "babe", jina ambalo sio analolitumia katika akaunti yake ya WhatsApp. Mwanaume huyu kwa sasa anashitaki kwa jaji kwasababu anasema yeye ndiye...
  12. Musiba ni Mufilisi kisheria hivyo hapaswi kudaiwa

    Kampuni zote za Musiba zilishafilisika hata mishahara hawezi kulipa, na anadaiwa na watumishi wake kitambo. Hivyo hizi amri za kulipa aliowac hafua pesa hazitekelezeki sababu kampuni zake lilishaishiwa pesa. My take; Tusikenue meno tukadhania amepatikana kumbe hakuna chochote atakachopoteza.
  13. Ina maana gani kisheria unaposema "to press charges"?

    Kwamba ,kwanza mtu anadhaniwa kwamba amekosa, halafu inakuwepo nia,hamu ya kumpeleka mahakamani. Utawasikia watu Mara nyingi wanasema,"Ningeweza kumfungulia mashtaka,nilimfumania live,lakini sikufanya hivyo." Kwa hiyo inawezekana kusema kwamba hakuna lazima iwepo kesi ya Mbowe,kwamba ulazima...
  14. CHADEMA wajue hawapo juu Kisheria

    Wakati kesi ya Mwenyekiti wa CHADEMA ikiendelea ingekuwa vizuri kwa uongozi wa Chadema kuacha kutolea lugha za kejeli dhidi ya vyombo vya usalama pamoja na kuingilia uhuru wa Mahakama. Tunajua haki dhidi ya Mbowe itapatikana kama watanzania wengine. Kuendelea kuingilia uhuru wa Mahakama...
  15. Kutaifisha Gari lililo beba mkaa, hii ikoje kisheria?

    Wana jukwaa kwa mtazamo wangu naona kuna kitu hakipo sawa hapa hivi inakuwaje dereva mwenye Leseni sahihi uliyemtuma kazi apeleke mzigo mahali aamue kuchanganya na mkaa au pengine wakati anarudi abebe mkaa akamatwe halafu gari litaifishwe? Naweza kuhusianisha kosa hilo na mifano ifuatayo; Hivi...
  16. Wanayoichambua hukumu ya Sabaya kisheria wanakosea Sana. Akijua kuchezesha kete za kisiasa vizuri akakata rufaa anashinda kesi asubuhi.

    Si kweli eti utawala huu unatenda haki na kufata Misingi ya kisheria ndio maana Sabaya kafungwa. La hasha. Kuna Wabunge wapo bungeni Leo bila kuwa na chama. Na wameingia kimizengwe mizengwe. Serikali iko kimya akuna anayeshugulika na uvunjifu huo wa Katiba. Sheria na Katiba inatambua haki ya...
  17. Dear Nyerere hatujalipwa mafao yetu na nauli zetu toka mwaka jana mwezi wa kumi na moja

    Dear Nyerere tunakukumbuka Baba yetu, ulale mahala pema peponi. Baba PSSSF chini ya Serikali iliyopo madarakani haijatulipa MAFAO yetu sisi na ma Askari Polisi tulio staafu mwezi wa 11 Mwaka jana hadi leo hii tarehe 14/10/2021 zikiwemo na Nauli ambazo zipo kisheria kwamba tupewe turudi...
  18. Vyombo vya umma vya kisheria na haki vimepunguza Kasi katika awamu hii, viongeze kasi

    Binafsi naona kasi ikipungua kwa Kasi ya hali juu kwa mashauri ambayo kimsingi mashauri yake yapo wazi kabisa tena hayana complications za aina yoyote ikimaanisha pande mbili ambazo zinashindana katika mgogoro kutoona umuhimu wa kuendelea na shauri usika na kuona wayamalize kinyumbani hapa Huwa...
  19. R

    Tundu Lissu: Tusaidie kisheria imekaaje hii

    Zimenunuliwa ndege kwa mikataba ya kificho. Kuna na mikataba mingi tu imefanywa kwa kificho. Hoja ya msaada wako ni hii: 1. Kwa sheria za kimataifa (maana za ndani haiwezekani) Mtanzania ambaye ana maslahi na pesa zinazotumiwa katika kununua ndege hizo, hawezi kufungua kesi/mashitaka katika...
  20. Rais Samia aagiza kushushwa tozo kwenye bidhaa za mafuta

    Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan ameelekeza tozo zinazotozwa na Taasisi mbalimbali kwenye bidhaa za mafuta kupunguzwa ili kuwapa unafuu wananchi Baadhi ya Taasisi zinazoguswa na maelekezo hayo ni Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (Tozo ya udhibiti), Mamlaka ya Bandari (Tozo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…