kisheria

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. J

    Ni kosa kisheria mtumishi wa Umma kutoa Siri za Wateja

    Kanuni za Maadili na Mienendo ya Utumishi wa Umma zinamtaka Mtumishi kutotoa taarifa au Siri za Mteja bila ruhusa maalumu Kujadili taarifa za Wateja kwenye maeneo ya Umma kama Sokoni na kwenye Migahawa ni kuvunja #Haki ya faragha ya Mtu Mtumishi anatakiwa kuendelea kutunza Siri za Mteja hata...
  2. P

    Hivi katiba mpya ni hisani ya kutoka Kwa mtawala ama ni takwa kisheria?

    Nauliza tu Kwa watalaamu wa Sheria zetu Kuwa na katiba mpya, ni hisani ya mtawala kukuubali kusimamia kitu hichi ambacho kwayo takwa hili halimo kwenye Ilani iliyomweka madarakani Kama siyo huruma na hisani ya mtawala kupokea Jambo hili na kuamua kulifanyia kazi, Kwa nini kila anayesimama na...
  3. luangalila

    DC kusimamisha kiwanda chenye vibali halali. Je, limekaaje kisheria, ni kosa au?

    Wadau wa Sheria, narejea kilicho ripotiwa katika taarifa ya habari ya Itv ya tarehe 17 May 2020. Kimsingi aliyekuwa DC wa Hai alifungia kiwanda cha uzalishaji wa kiwanda cha vinywaji FARU JOHN kwa kilicho tamkwa hakuwa na vibali halali. Sasa TRA wame confirm ya kuwa kiwanda icho kilikuwa kina...
  4. beth

    Ni kosa kisheria kurusha nyimbo bila idhini ya mwenye nao. Mtu anaweza kulipa faini au kufungwa

    Mkuu wa Upelelezi Wilaya ya Kinondoni, Dkt. Ezekiel Kiongo amesema kumrushia mtu wimbo bila idhini ya mwenye nao ni kosa hata kama huuzi. Amesema ni kosa kurusha kazi ya mtu mwingine bila kibali chake. Amefafanua, "Kwenye Sheria ya Mtandao (Cyber Law) inakataza na inasema mtu anaweza kulipa...
  5. Fall Army Worm

    Msaada: Nawezaje kumsaidia Kisheria mtu anayekaribia kubambikiwa Kesi?

    Habari za usiku ndugu zanguni? Naomba niende kwenye mada moja kwa moja. Naomba mnisaidie wataalamu wa sheria, hivi ni Mbinu gani Unaweza kuitumia ili kumnusuru ndugu yako ikiwa umebaini kuwa kuna dalili za OC-CID kutaka kumbambikizia kesi? Yaani amekamata mtuhumiwa kwa kosa la kununua mali ya...
  6. Sharose Enterprise

    Jinsi ya kuiendesha biashara yako kisheria na kuiongezea thamani

    Je, kwa muda mrefu unasumbuka namna bora ya kuiendesha biashara yako kisheria na kuiongezea thamani biashara yako? Kama ndio basi nina jambo jema kwaajili yako. Biashara yoyote ili itambulike kisheria lazima iwe na vibali vyote vitakavyo muwezesha kufanya biashara yake. 1. TIN ya biashara 2...
  7. Elius W Ndabila

    Hawa Wabunge wasio na chama wapo Bungeni kwa sheria ipi? Nani anawalipa?

    WABUNGE WALIOJIPELEKA BUNGENI NANI ANAWALIPA? Na Elius Ndabila 0768239284 Jana baada ya Mchango wa Mhe Halima Mdee Bungeni ambao binafsi niliupenda sana kutokana na umahili wake wa kujenga hoja, baadae alisimama Mhe Kunambi na Mhe Jerry Silaa ambao ni Wabunge wa CCM kujaribu kupinga hoja zake...
Back
Top Bottom