Miaka ya hivi karibuni kumekuwa na wimbi la vinywaji vya sukari na pombe ambazo havina viwango na vinauzwa bei rafiki ambayo hata watoto wa shule wanamudu kununua huko mitaani.
Ukichunguza sana hivi vinywaji havina hata TBS na vingi ni feki yani vinatengenezwa na viwanda vya kificho bila...