kisukari

  1. Suley2019

    Watafiti: Maharage aina ya Jesca yanatibu nguvu za kiume, kisukari

    Kituo cha Utafiti Uyole (Tari) kimesema zao la maharage aina ya Jesca licha ya kuongeza nguvu za kiume lina faida zaidi kwa binadamu kwakuwa linatibu matatizo mengi. Hivi karibuni Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, Juma Homera wakati alipofanya ziara katika Chuo cha Utafiti Uyole, amewataka wananchi...
  2. N

    #COVID19 Je, mtu mwenye kisukari hatakiwi kupata chanjo? Wataalamu tumjibu Askofu Gwajima

    Kwa masikio yangu bila kusimuliwa na mtu nimemsikia askofu Gwajima amesema, watu wenye magonjwa ya kisukali, Presha Ukimwi hawapaswi kupata chanjo ya covid maana itawaathiri sana na inaweza kuwaua, mimi sikulijua hili isipokua nilijua kwamba mtu aliyekwishaambukizwa Corona ndiye hapaswi...
  3. A

    SoC01 Watanzania tunaweza kuyashinda Maradhi ya Kisukari

    Nikiwa muathirika wa ugonjwa huu tangu mwaka 2016, licha ya kuwa na ugonjwa wa kisukari kwa kuwa nafuata maelekezo na masharti yote ya kiafya kutoka kwa wataalamu, basi waweza usiamini Kamba mimi ni muhanga wa gonjwa hilo, lakini vyoyote itakavyokuwa mimi siwezi epuka kusema eti sina ugonjwa...
  4. S

    Kuna dawa ya kienyeji ya kutibu ugonjwa wa kisukari?

    Ndugu zangu wapendwa nawasalimu wote! Niliamua kwenda kwenye moja ya hospitali zetu hapa jijini kwa ajili ya kuangalia afya! Nilitaka kujuwa afya yangu kwa ujumla kuanzia pressure,sukari,ukimwi na n.k. Baada ya kufanyiwa vipimo ikaoneka sukari yangu iko juu kuliko matarajio hivyo nikaambiwa...
  5. Mlenge

    Kushusha Sukari Kienyeji

    Kushusha Sukari Kienyeji Pole kwa wote wanaosumbuliwa na sukari iliyozidi kwenye damu (kisukari). Nimepata kusikia kwa watu fulani wakisimulia walivyofanikiwa kushusha sukari kwa haraka na kwa mafanikio. Kabla ya kueleza zaidi, tafadhali zingatia yafuatayo: 1. Mimi siyo daktari wa tiba za...
  6. J

    Waziri Ummy: Matibabu ya Kisukari yasihusishwe na Corona

    Waziri wa afya mh Ummy Mwalimu amewataka Wauguzi na madaktari kutowanyanyapaa wagonjwa wa kisukari kwa kuhofia huenda wana maambukizi ya Corona. Ummy amesema wagonjwa wa kisukari wapewe haki yao ya matibabu na kamwe matibabu yao yasihusishwe na Corona. Chanzo: Habari Leo Maendeleo hayana vyama!
  7. JamiiForums

    Tatizo la Gonjwa la Sukari (Diabets Mellitis): Fahamu chanzo, aina na ushauri wa tiba ya tatizo hili

    Kumekuwepo kilio na maswali mengi ya wadau mbalimbali wakitaka kujua masuala kadhaa kuhusu ugonjwa wa kisukari; tumetengeneza mnakasha huu ili kurahisisha majibu (si yote) kwa wenye uhitaji wa maswali yao. Zingatia: Ni vema kwenda hospitali kwa tiba ya uhakika, hapa utapata majibu yanayokupa...
  8. GENTAMYCINE

    Mtaalam: Mwanaume yoyote ukijigundua tu kuwa una kisukari jua ulishaanza au umeshaanza 'kuchapiwa' mkeo/ demu wako

    Tukiwa tunawaambieni kuwa pendeni kufanya mazoezi na acheni 'kufakamia' mivyakula yenu hiyo ya mafuta mafuta na kuishi kwa 'kubweteka' na mfanye sana mazoezi ili muwe 'fiti' kiafya kama akina GENTAMYCINE, huwa hamtuelewi na wengine mkidhani kuwa labda tunakuwa tunawaonea wivu na huo ulaji wenu...
Back
Top Bottom