The Sukuma are a Bantu ethnic group inhabiting the southeastern African Great Lakes region. They are the largest ethnic group in Tanzania, with an estimated 8.9 million members or 16 percent of the country's total population. Sukuma means "north" and refers to "people of the north." The Sukuma refer to themselves as Basukuma (plural) and Nsukuma (singular). They speak Sukuma, which belongs to the Bantu branch of the Niger-Congo family.
The Sukuma live in northwestern Tanzania on or near the southern shores of Lake Victoria, and various areas of the administrative districts of the Mwanza, southwestern tip of Mara Region, Simiyu Region and Shinyanga Region. The northern area of their residence is in the famous Serengeti Plain. Sukuma families have migrated southward, into the Rukwa Region and Katavi Region, encroaching on the territory of the Pimbwe. These Sukuma have settled outside Pimbwe villages.
The Sukumaland is mostly a flat scrubless savannah plain between 910 and 1,220 metres (3,000 and 4,000 ft) elevation. Twenty to forty inches (51 to 102 cm) of rain fall from November to March. High temperatures range from 26 to 32 °C (79 to 90 °F) while lows at night seldom drop below 15 °C (59 °F). Population is very spread out among small farm plots and sparse vegetation.
Mganga Mkuu Halmashauri Ya Wilaya Meatu , Mahela Godfrey Njile akitoa Elimu ya kipindupindu Kwa lugha ya KISUKUMA katika kata ya Mbugayabang'hya.
Pia soma:
~ Kihongosi: Baadhi ya Mila na Tamaduni zinachangia Kipindupindu Simiyu
~ Kipindupindu Simiyu kimeshamiri, kinaua ni hatari! Mbona...
Katibu Tawala Mkoa wa Simiyu, Prisca Kayombo amemuagiza Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Meatu kutumia lugha mbili ya Kiswahili na Kisukuma ili kuweajengea Wananchi wasijua lugha ya Kiswahili uelewa wa namna ya kukabiliana na ugonjwa wa kipindupindu.
Aidha amemuagiza Mkurugenzi...
Jf wasaalam 🙏
Sina hakika Wala kumbukumbu kama huyu msanii mzungu anayeimba nyimbo za kisukuma Kwa ufasaha alishawahi ongelewa humu. Kama Bado soma hapa.
Anaitwa Manongu mzaliwa wa Sweden, amezaliwa huko na kukulia huko.
Alipata nafasi ya kutembela Tanzania kama mtalii. Alipenda sana Tamaduni...
Shalom,
Wanaume wakisuma hawana maajabu ya uchangamfu they are not pepper but women have concluded wasukuma wanaongoza kwa kuwa na Mujumba Bujumba mukubwa
Taarifa fupi mengine yaendelee
Wadiz
Kwa kuwa wasukuma ni miongoni mwa makabila makubwa nchini, bila ya shaka wasukuma kadhaa ni Waislam.
Kwa mintarafu hiyo nikapata shauku ya kusikiliza Wimbo angalau mmoja ulioimbwa Kwa kisukuma kusherehesha siku kuu hii nimeukosa kabisa.
Kama Kuna mtu ana wimbo ulioimbwa kwa Kisukuma maalum Kwa...
Kutoka kitabu hadithi za Kisukuma.
Methali na Tafsiri
Makono hoya babyaji ba banhu: Mikono ndiyo wazazi wa watu: fanya kazi kwa mikono yako uishi.
Buka mundi tukalye sha balimi: Miguu yangu inukeni tukale vya wakulima, mvivu huishi kwa jasho la wenziwe.
Mkono gumo gutatobaga buki: Mkono...
Kama utamaduni ni utajiri, Tanzania inao mwingi sana.
Nilikuwa nafahamu kuwa ni sehemu ya utamaduni wa Kimasai wanaume kutoboa masikio. Ndiyo maana nilishangaa nilipokutana na vijana wa Kisukuma wanaovaa hereni.
Hata mahali nilikokutana nao ni mshangao pia. Ni mkoa ambao unaojulikana kuwa...
Historia ya Ng'wanamalundi
Hebu leo mjue vizuri huyu mtu wa miujiza aitwae Ng'wanamalundi shujaa wa Kisukuma aliyewatesa Wajerumani.
Kwa wale waliopata kusoma historia au kusikia hadithi za makabila, hasa ya Wasukuma na Wanyamwezi, hawakukosa kusikia habari ya Ng’wanamalundi.
Mtu huyo...
Ndugu zangu kuna Msukuma anakijua vizuri zaidi basi please:
Umo wing'we anambeleje kutafsiri Lugano lwenulu na mambo gose du.
Tusaidiane tafadhali wasukuma. Nitumie tafsiri yake kupitia 0734189022 tafadhali
The DEDE legend: Sukuma tradition
""Lugano lwa DEDE, lwa kabili:
Dede 1 Kimala...
Sijui hii ilitokea wapi hasa.
Ila jamaa wanaongea Kisukuma. Hivyo huenda ni huko Usukumani.
Ni adhabu ya kipumbavu sana.
Kama shida ni uzinzi, walioshiriki ni wawili [kikawaida].
Sasa iweje adhabu apate mmoja tu?
Halafu huyo ‘mzinzi’ naye ni bwege tu.
Ni bora kufa unapigania heshima yako...
Wasanii wengi wanaofanya kazi zao mikoani huwa wanaishia kutamba hukohuko mikoani lakini wapo wachache ambao walivuka boda na kupata umaarufu nchi nzima.
Uzi huu tuwataje wasanii waliofanya kazi zao mikoani lakini zikahit na kuwatambulisha nchini.
Marlaw - Iringa
Marlaw baada ya kumaliza...
Msanii wa Nyimbo za asili ya Kisukuma, Dawa Juma mkazi wa Kijiji cha Makurugusi wilayani Chato mkoani Geita, amehukumiwa kifungo cha miaka sita jela au kulipa faini ya Tsh. Milioni 10 baada ya kupatikana na hatia ya kumtukana rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Samia Suluhu Hassan...
Habari zenu wakuu
Nina rafiki yangu kapata binti wa kisukuma wa huko shinyanga.
Katika story za hapa na pale nimewahi sikia kwamba unapoenda huko kwao wana utamaduni wa kumpa msosi heavy mwanaume anaemuoa binti yao,
Je, hii ni kweli? huo msosi heavy ni nini unapewa kwa sahani ngapi ?
Kubali ukatae,haijalishi walikufanyia nn kibaya.....lakini wanaume wa kisukuma ni wanaume Bora,Wana utu.....kitu ambacho hawajajaaliwa kabisa ni dharau na kitu walichojaaliwa kabisa ni upendo wa kweli.Hivyo kwako mwanamke mwenzangu ukimpata mwanaume wa kisukuma ana pesa nenepa,mpende na...
Naombeni mnipe experience kidogo kwa hawa wanawake wa kinyantuzu jamii ya wasukuma kwa sababu nimempata binti mmoja wa huku Simiyu wilaya ya Bariadi nimempata kabinti ama hakika anavutia na ni mweupeeee.
Nipeni experience kidogo je wanawake wa Kinyantuzu wakoje? Kitabia na mengine kama hayo.
Nyimbo za kisukuma zimekuwa zikipigwa sana maeneo mbalimbali na kona zote za nchi, na kwenye maharusi, kumbi za starehe na kwenye ndoa za watu wote nchini.
Huu uzi utakuletea majina ya wasanii na ngoma zote nzuri zinazopedwa mda Wote. wasanii kama GUDEGUDE, LIMBU LUCHANGULA, BHUNDAGALA, BAHATI...
Mhola sana waungwana!
Kiasili,kabila la Wasukuma ni wenyeji wa huko Kanda ya Ziwa namaanisha Shinyanga,Mwanza,Geita,Simiyu na Tabora.
Lakini, kwa sasa Wasukuma wameenea hata Mikoa mingine ya Tanzania hasa Mkoa wa Morogoro, Mara,Kagera,Kigoma,Lindi,Singida,Dodoma,Mbeya na Pwani.
Baadhi ya...
Niliamua nijirushe kwenye sherehe ya harusi huko kijijini usukumani,baada ya purukushani za sherehe namengine kadharika ukafika ule muda wa usiku mmbovu, dj akaamua aliamshe dude!.
Disko vumbi likalipuka baada ya dj kuanza kulindimsha spika kwa uhakika,wadada wa kisukuma nao wakachangamka huku...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.