kitaalam

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Labani og

    Pamba yaahidiwa 100million na GSM kama itaifunga Yanga

    [emoji599] Taarifa kutoka jijini Mwanza; Mdhamini Mkuu wa Pamba Jiji, GSM ametoa ahadi ya kitita cha Sh milioni 100 kama hamasa kwa wachezaji wa Pamba kuibuka na ushindi dhidi ya Yanga hapo kesho kutwa Ijumaa. Sasa endeleeni kusema Yanga inapitia kwenye slope.....wakati wapinzani wake wanapewa...
  2. OMOYOGWANE

    Madaktari njooni hapa mtueleze huu ni ugonjwa gani kitaalam, kienyeji huku wanaita "kajembe"

    Hellow wakuu, Kuna dada mmoja ana umri wa miaka 39 ni mkulima mama wa watoto wanne, Anachangamoto ya "kajembe" (kati kati ya kifua kwa chini pametengeneza shape ya mbonyeo "u flat" Mapigo yake ya moyo yapo juu 100 beats per second Hii ni ya miaka mibgi. Analalamika kifua kibana na maumivu...
  3. C

    Shirima ujenzi bora Tanzania asaidiwe kitaalam ana kitu, atafika mbali!

    1. Huyu "Ëngineer" wa instagram anafaa kusaidiwa kitaalamu ili ajisajili ERB na kampuni yake isajiliwe BRELA, TRA, OSHA, NEMC ili apate kazi kubwa zaidi. 2. ukimsikiliza vizuri, anaonekana mjuzi haswa japo ni kama hajui namna ya kuwasilisha utaalamu wake kwa umma akaeleweka.
  4. Allen Kilewella

    Weka hapa uchambuzi wa kitaalamu kuhusu ligi yetu.

    Nimeona Kuna haja wakati mwingine kuweka ushabiki pembeni na tuichambue ligi yetu kiweledi na kitaalam. Kwa mfano mara nyingi ni watu wachache sana hutueleza ni Kwa nini wanasema timu Fulani ni dhaifu ama imara. Wachambuzi kama Ramadhani mbwaduke huleta ladha ya uchambuzi Kwa kuwa hutumia...
  5. junior ssori

    Hii kitaalam tunaitaje

  6. sonofobia

    Pre GE2025 Uchambuzi: Maandamano yanaibomoa CHADEMA kuliko kuijenga

    Chama cha Demokrasia na Maendeleo ni (CHADEMA), ni chama kikuu cha upinzani nchini Tanzania chenye makao makuu yake jijini Dar es Salaam wilaya ya Kinondoni. Kwa miaka mingi chama hicho kimekuwa kikifanya harakati mbalimbali zenye lengo la kuibua makosa mbalimbali yanayofanywa na chama tawala...
  7. ndege JOHN

    Ukipata milioni unaila siku tatu, ikibaki elfu kumi unaishi nayo week. Hii kitaalam mnaiitaje?

    Mchoro umetiki umepata kazi ukalipwa million hela haichukui siku mbili ya tatu chali umebaki na hewa hamna kitu ila ka elfu ulichobakiza kanadumu hata siku nne bila shida, unakabembeleza leo 2000, kesho umetumia 3000 keshokutwa 3000 na nyumbani hutoki siku nzima. Kwanini hatuna ile roho ya...
  8. K

    Haji binafs tangu akiwa yanga kama msemaji ninamheshim bado lakini katika uwanja wa kitaalam na kitaaluma........

    Haji ni kijana bado, sio mzee kivile, mwanamichezo na serebliti katika sport na kadhalika. Hoja yangu ni kwamba ni kweli aliigusa 7 points katika division ya kwanza. Labda nite maelezo mafupi kwa wenye talent, bahati njema ni kwamba hawa vipaji aka vipanga wamenizunguka nawafaham vyema. Mmoja...
  9. Candela

    Kuhusu Mbudya niende na wife au kitaalam natakiwa niwe peke yangu

    Kama sio mtaalam wa burudani sio lazima uchangie. Nasikia sikia Mbudya, Mbudya kila kona, nataka nitoke na shemeji/ wifi yenu this weekend. Niende nae au ntajibania mema ya nchi akiwa pembeni?
  10. JanguKamaJangu

    Dkt. Lilian Mnabwiru: Kitaalam inashauriwa kwenda kukojoa baada ya kumaliza tendo la ndoa

    Dkt. Lilian Mnabwiru, Bingwa wa Magonjwa ya Kina Mama na Masuala ya Uzazi, Muhimbili anasema Urinary tract infections (UTI) ni ugonjwa unaoathiri njia ya mkojo na moja kati ya njia au sababu zinazoweza kusababisha maambukizi ni wakati wa kujamiiana hasa kama mazingira si masafu. Ameyasema hayo...
  11. GENTAMYCINE

    Msaada wenu wa Kitaalam (Kisayansi) na ule wa Kiutamaduni (Kienyeji) wa namna ya kuondoa nyuki

    Msaada unawezaje Kuondoa Nyuki kwa njia ya Kitaalam au ya Kienyeji walioko Nyumbani Kwako na wasio na Madhara? Nitaushukuru.
  12. Engager

    Unaweza kuielezea vipi hii kitaalam?

    Hapo chini kuna picha, ambayo ukiitazama kwa macho huwezi kuielewa. Ila ukiikazia macho kwa kama sekunde 10 hivi, kisha ukafumba macho, inatokea image inayoeleweka kabisa. Hii kitu unaweza kuielezea vipi kitaalamu?
  13. Venus Star

    Mjadala wa kuandika katiba mpya Tanzania katika Jukwaa la Katiba ya Watu, uliojadiliwa na wadau 553

    Mapitio ya Awali: Katiba ni waraka muhimu katika kusimamia utawala na kuelekeza maendeleo ya nchi. Tanzania, kama nchi nyingine, imekutana na mjadala wa kuandika katiba mpya, na hoja mbalimbali zimejitokeza kutoka kwa wadau wa mchakato huo. Taarifa hii inatoa tathmini ya kitaalam juu ya mjadala...
  14. Jidu La Mabambasi

    Maharage ana uwezo kweli kuendesha shirika la kitaalam kama TANESCO?

    Maharage Ally Chande amekuwa MD wa TANESCO kwa takriban miaka miwili sasa. Kama kuna vigezo vya kumpima utendaji, basi kwa sasa vimekuwa juu kwa MD wetu maana utendaji unapimwa na output, umeme kwa wananchi, jamii na biashara kwa ujumla. Wakati wa miaka ya Magufuli, umeme haukuwa unakatwa ovyo...
  15. Elon J

    Hivi hii imekaaje kitaalamu wadau

    Nimekaa nikakumbuka wakati nikiwa chuo Kuna mdada nilitokea kumuelewa Sana. Picha linaaza hivi huyu mdada tulisoma wote advance but wakati tukiwa advance sikumconsider sana means tulikuwa tunaonana juujuu tu. Baada ya kumaliza advance kumbe nae alichagua chuo ambacho na Mimi nipo but pia...
  16. sky soldier

    Ni kwanini ukidownload MB 10, Matumizi ya Data yanaonyesha kifaa kimetumia MB 12.

    Kwa simu tofauti na laptops nimefanya hii ishu na nimekosa jibu, hata Nikitumia router au modem nayo ni hivyo hivyo. Nilidhani ni janja janja za mitandao labda kuna vitu vyao ila nishajaribu line 4 tofauti, ni hivyo hivyo. Nadownload file la MB 10 lakini Data usage inaonyesha MB 12,,, Hii ni...
  17. hp4510

    Naomba Msaada wa kitaalam kwa wafanyakazi wa Airtel

    Kama kichwa cha habari kinavyosema Naitaji msaada wa kitaalam Kwa wafanyakazi wa kampuni ya simu ya Airtel Kuna kijana wangu, ambae ni mtunza bustan na usafi wa nyumba, ameondoka na funguo za gari yangu Kwa bahati mbaya Aliniomba bag dogo, nikampatia sasa nilisahau kutoa funguo na diary zangu...
  18. dracular

    Ushauri wa kitaalam unahitajika

    Habari za majukumu ndugu wajumbe wa JF. Pasi na kupoteza muda niende kwenye maada moja kwa moja.. Ndugu yenu nipo kwenye njia panda.. je, ni yupi anaweza kuwa mke bora kati ya hawa wawili? 1: Binti mwenye umri wa miaka 23 ambae ni mhitimu wa chuo kikuu mwaka huu.. she is nice ila nahisi bado...
  19. OKW BOBAN SUNZU

    Alichofanya 'Try Again' kwa Ki Aziz kinaitwaje kitaalam

    Mchezaji alitetwe na wengine adakwe na wengine 🤣🤣🤣🤣🤣🦁🦁🦁🦁🦁🦁
Back
Top Bottom