kitaalam

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Lanlady

    Siasa za Tanzania kuzielewa ni vigumu sana hasa ktk masuala ya kitaalam

    Tunapozungumzia siasa, tunajumuisha mambo mengi sana. Kijamii, kiuchumi, utamaduni nk. Kwenye suala la uchumi yapo mambo mengine yanaweza kuleta athari kiafya. Kwa mfano wapo wanaosisitiza ufugaji wa kisasa kwa kutumia vyakula vyenye kemikali za ukuzaji. Au kilimo cha kutumia kemikali. Swali...
  2. Jidu La Mabambasi

    Mbio za Mwenge: Wakimbiza Mwenge watumie vigezo vya kitaalam kukagua miradi

    Katika miaka ya karibuni tumeshuhudia mambo ya ajabu katika ukimbizaji mwenge wa uhuru. Wakimbizaji mwenge siku hizi wamegeuka kuwa TASK FORCE ya ukaguzi wa miradi. Sina uhakika kama wakimbiza mwenge ni wahandisi au wataalam wa kukagua miradi na usimamizi wake. Kama picha hapo juu eti mkaguzi...
  3. WENYELE

    Nimeamua nichukue hii Ndinga; Una maoni gani ya kitaalam nauzoefu

    Awali ya yote niwashukru nyote wanajukwaa hili kwa msaada wenu mkubwa wa kuelimisha kuhusu magari hasa sisi tusio wazoefu. Baada ya utafiti kupitia humu kama miezi 6 hivi nimeamua nichukue Mitsubishi Pajero badala ya SUV mid size za Toyota. Hii gari ina cc 2970 na 127,000km, ina seat 7 na ni...
  4. M

    Mliosoma Political Science / Public Administration hivi Kitaalam huu Mtindo uliopo Dunia ya Leo unaitwaje?

    Kuteua waliokataliwa Kiutendaji na aliyekuwa Bosi wako na Kuwaondoa katika Utendaji wale walioaminiwa Kiutendaji na Bosi wako. Sasa naanza Kuamini kuwa ukifanya Kazi na Mtu mahala ( ofisi ) fulani si vizuri sana Kumuamini kwani huenda hata Maadui zako wakapitia Kwake na Kukuangusha na hata...
  5. Tony254

    Ifahamu historia ya uchumi wa Kenya kulingana na video ya kitaalam ya uchumi

    Sio nchi nyingi za kiafrika ambazo uchumi wao unafanyiwa research na hata kuandaliwa video na wataalam wa uchumi mabeberu.
  6. luangalila

    Matumizi ya neno "Lugha ya kitaalam"

    Kumekuwa na kasumba kwa baadhi ya wa Tanzania wa kada mbali mbali pale wanapo elezea jambo sasa inapokuja kuli tafsiri ilo neno au msamiati kutoka English kuja kiswahili, au kiswa kwenda Eng utasikia mtu anasema eti kwa lugha ya kitalaam inaitwa. Mfano: Mtalaam wa lishe labda anaelezea...
  7. Siri ya sifuri

    Naomba msaada wa kitaalam viungo vyangu vya mwili vinakosa nguvu

    Habari zenu wakuu, Naomba msaada wa kidaktari, mimi mwana Jf mwenzenu ninatatizo la kiafya linalonipelekea kuhisi kwamba mwili wangu hauko timilifu kiutendaji, yaani mfumo wa fahamu unafanyakazi chini ya kiwango. Ni hivi nimezaliwa nikiwa mzima wa afya sina tatizo lolote, ila baada ya kufikia...
  8. balimar

    Je, wakati umefika tuikubali Bodi ya Kitaaluma ya Walimu?

    Wadau habari, Napenda ifikie wakati tufungua mjadala mpana wa uwepo au kutakuwepo kwa Bodi ya Kitaalamu ya Walimu Tanzania (Tanzania Teachers' Professional Board) TTPB. Tumekuwa na sintofahamu kadhaa hasa kwa Chama cha Walimu Tanzania (CWT) kuona TTPB itaongeza utitiri wa vyombo...
Back
Top Bottom