Habari wana JF
Nina changamoto moja katika via vyangu vya uzazi, uume wangu ni mdogo sana unakua ka wa mtoto hasa kukiwa na baridi au nkitoka kuoga ila ukisimama unakuwa vizuri tu nilishaga wahi kuupima siku 1 nikapata inchi 6.2 urefu.
Changamoto inakuja pale napokua na bibie halafu aombe...