Kurasa 365 za Mama Kitabu cha nne, leo tunazifungulia Mkoani Mbeya, ambapo Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan imepeleka Shilingi Bilioni 16 katika Hospitali ya Rufaa ya Kanda ya Mbeya, kwa ajili ya Ujenzi wa Jengo la Huduma za Mama na Mtoto, pamoja na...
awamu
awamu ya sita
dkt. samia
dkt. samia suluhu hassan
kitabu
mbeya
mkoani
na rais
rais
rais dkt. samia
samia
samia suluhu
samia suluhu hassan
serikali
suluhu
Kitabu cha "Jinsi ya Kuendelea Kuwa Masikini" kinatoa mifano na ushauri kuhusu tabia na maamuzi yanayoendelea kuwafanya watu kubaki kwenye umasikini. Hiki ni kitabu kinachokosoa mtindo wa maisha, ufikiriaji, na maamuzi ambayo mara nyingi huwafanya watu kushindwa kufanikiwa kiuchumi. Kinahimiza...
Habari zenu wakuu,
Katika uzi huu, nitaleta maandiko ya kitabu cha Adam na Hawa (The book of Adam and Eve) cha kwanza na cha pili ambacho kwa sababu wanazozifahamu wahusika wamekiondoa kwenye vitabu vya Biblia.
Kitabu hiki nitakituma humu kwa Kiswahili kupitia Google translate kwa hiyo baadhi...
"UJANAJIKE" KITABU KILICHOSHINDA TUZO YA KISWAHILI YA CORNELL YA FASIHI
Mwandishi wa kitabu hiki Dotto Rangimoto kaniletea kitabu hiki nimekikuta nyumbani tena "autographed."
Bahati mbaya lau nilikiona na nikakifungua sikuona kuwa kilikuwa na jina langu na sababu ni kuwa nilikuwa nimetoka...
Core Genius ni kitabu kinachotufundisha jinsi ya kugundua na kutumia kipaji chetu cha kipekee ili kufanikisha maisha yetu binafsi na ya kitaaluma. Joel Nanauka anafafanua kuwa kila mtu anayo “Core Genius,” yaani uwezo wa kipekee ulio ndani yetu ambao, tukiuendeleza, unaweza kutufikisha kwenye...
Wakuu! Habari za asubuhi? Naomba kwa yeyote mwenye soft copy ya kitabu tajwa hapo juu "stop lying to yourself" kilichoandikwa na Simon Gilham anisaidie. Natanguliza shukrani.
KUTOKA KWENYE KITABU CHA NAMBA
NAMBA YA BAHATI : NAMBA 21
ili kuvutia bahati nzuri na furaha, rudia namba "Ishirini na moja." Kwa sababu hii ni namba ya neno"furaha", hii ni kwa sababu ukibadilisha neno furaha kuwa namba unapata namba 21.
Katika maisha, namba 21 hubeba nishati nzuri kwa...
Wiki jana kitabu cha mwandishi Erick Kabendera kinachomhusu Rais Magufuli ndo kilikuwa habari ya mujini, at least humu kwenye viuchochoro vya kwenye mtandao.
Kitabu chake hicho kina madai makubwa sana ambayo hayakuambatana na ushahidi/ ithibati madhubuti.
Ni madai ambayo mtu unategemea...
Nimesoma kitabu chake. Nimecheka sana. sana. na nika conclude mwaka huu jamaa agombee tu Urais.
Jamaa ana mambo ambayo yanafaa kabisa kuwaongoza Watanzania. Nashauri mwaka huu tusifanye makosa.
Mtu kama kabendera atatusaidia sana. Ana exposure kubwa. Na anaaminika sana na wakubwa hasa usalama...
Hatimaye nimemaliza kusoma kitabu cha Erick!
As a scientist, kuna CLAIM na TRUTH. Ili claim iwe truth, ni lazima iwe evidence based, that can be checked and verified by anyone beyond the resoanable doubt.
KITABU cha Erick kimeainisha CLAIMS ambazo hazina data and no one can verify zaidi ya...
Mimi bwana kitabu cha Kabendera sijakisoma kabisa ila nimeona mitandaoni kuna kipande kwenye kitabu hicho kinaelezea kwamba mwendazake alivalia pajama kama maandalizi ya ubakaji kwa msaidizi wake ambaye kwa sasa ni Rais wetu. Naomba isiwe kweli kabisa.
Yaani mwendazake alivaa pajama ili...
Habari Wakuu!
January hii imeanza na mambo mengi lakini Mpaka sasa kwa humu JF kuna mambo Makuu mawili yaliyovuta usikivu wa wengi, Jambo la Kwanza ni Uchaguzi wa CHADEMA, na lile la Pili, ni Kitabu cha Kabendera.
Kwanza nikiri, Sina hicho kitabu, hivyo sijakisoma. Lakini kupitia utangulizi...
Watu wamesikia tu Kabendera kaandika kitabu wanaanza kukijadili.
Nadhani ingekuwa bora kusubiri wakisome kwanza hicho kitabu.
Sasa hivi Serikali itakuwa inafikiria ichukue hatua gani kuhusu hicho kitabu.
Mpaka hapo,watu wawe na subira.
Vinginevyo katika kuzungumza maneno mengi bila kuwa na...
Erick Kabemdera anaandika kuwa Rais Magufuli alienda sehemu anayolala Rais Samia akiwa na nguo za kulalia akiwa na lengo la kumbaka, hizi ni shutma nzito sana na zinamchafua sana Magufuli
Binafsi mimi siziamini ila wapo wanaoziamini, kwa kuwa hiki kitabu kimesomwa na watu wengi na tuhuma hizi...
Wapo viongozi ndani ya ccm wanaoamini kuwa kuchafua image ya jpm kupitia kitabu cha kabendera inaweza kuwapa sifa nzuri katika uongozi wao! Hadi sasa hakuna tamko lolote juu ya kitabu hicho kinachosambaa kwa kasi chenye maneno ya kuudhi ya kuchafua viongozi.
Nachojiuliza utekaji katika serikali...
Kwanza, nataka kukiri kwamba sijakisoma kitabu hicho, lakini kupitia nukuu mbalimbali za mitandaoni, kidogo nimeweza kupata muhtasari wa kilichomo ndani yake.
Katika suala hili la kitabu cha Kabendera, naona kuna mfululizo mkubwa wa matukio nyuma yake. Kuna nguvu kubwa inayotoka kwa viongozi wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.