Habari wakuu natumai ni wazima leo nawaletea nakala hii msome ,mtafakari na mjitathmini kama waafrica wenzangu,kitabu cha BLACK BOOK OF ATUM,kinauzwa online ila nimewarahisishia ,ukiingia kwenye blog ya spevot.blogspot.com utakisoma kwa kiswahili na kingereza,na hicho ni BLACK BOOK OF ATUM II /...
Vitabu vya dini kubwa zote vinamtaja shetani. Na kumsema mabaya yake.
Cha ajabu shetani yeye amekaa kimya tu.
Nimeota muda si mrefu shetani na yeye anashusha kitabu chake mapangoni.. kama waislamu wanavyodai Quran ilivyoshushwa ama kama Musa alivyopewa amri kumi pale mlima sinai.
Kitabu...
BAADHI YA MISTARI YA BIBLIA
2 samweli 1:18
(Kama ilivyoandikwa katika kitabu Cha YASHARI), akasema , wana wa Yuda wafundishwe haya.
Yoshua 10:13
Ndipo jua likasimama, na mwezi ukatulia,
Hata hilo taifa lilipokuwa limekwisha jipatiliza juu ya adui zao.
Hayo, je! Hayakuandikwa ndani ya kitabu...
Jamani wapendwa nasumbuka usiku na mchana, mimi (naishi ulaya lakini mkenya) kuna kitabu moja nilinunua (amozon.com) nikafanya ilivyo andikwa, sio kitabu kibaya (nitapost mkione) lakini yanayo nikumba kwa sasa ni makubwa. Hio kitabu nilinunua mwezi 01. 2024.
Baada ya kusoma na kufuata maagizo...
Ukisoma kitabu cha Enoko, anasimulia kuanzia mwanzo mpaka mwisho, jinsi alivyotokewa na malaika wawili, na kama ilivyo kwa malaika wote wanapowatokea wanadamu huanza na neno “Usiogope”.
Kwa nini?
Ni kwa sababu malaika ana muonekano wa kutisha, kwa binadamu, huwezi kuwa kawaida tu unapomuona...
Wadau hamjamboni nyote?
Nimeweka nukuu za aya mbili kwa lugha ya kiswahili na kiingereza kwa ajili ya rejea yenu.
✓Tulimbariki kwa Isaka kama mwana na Yakobo kama mjukuu, kama fadhila ya ziada, tukiwafanya wote kuwa waadilifu. Na tukawafanya viongozi kwa kuongoa kwa amri yetu, na tukawapa...
C&P from Face Book.
THE RIGHT THING AT THE WRONG PEOPLE, IDIOT!
Na Bollen Ngetti
0748 092092
KUNRADHI kwa kuteua kichwa cha andiko hili kuwa katika lugha ya kikoloni. Shabaha ni namna tu ya kufikisha ujumbe uliokusudiwa.
Naam! Nilikuwa miongoni mwa mamia ya watu waliohudhuria uzinduzi wa...
Jeshi la kujenga taifa lilianzishwa mwaka 1964 chini ya waisraeli pale Temeke ilipo kambi ya Twalipo, na kikundi cha kwanza kilikuwa na askari wanawake na wanaume na ndicho kipindi hicho wanawake walianza pia kuingizwa jeshi la wananchi wa Tanzania.
https://www.youtube.com/watch?v=s1K5o6UUZqU
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt Samia Suluhu Hassan akizindua Kitabu cha Edward Moringe Sokoine (Maisha na Uongozi Wake) kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere Dar es Salaam, leo tarehe 30 Septemba, 2024.
Rais wa Jamhuri ya...
Kitabu cha Enoki (The Book of Enoch) ni maandiko ya kale ya kidini ya Kiyahudi yanayohusishwa na Enoki, ambaye alikuwa babu wa Noa. Ingawa si sehemu ya maandiko rasmi kwa dini nyingi za Kiyahudi na Kikristo, kitabu hiki kimekuwa na ushawishi mkubwa, hasa katika Ukristo wa mapema na katika baadhi...
Kabila gani mkoani Tanga wapo vizuri zaidi usomaji kitabu?
Wadau hamjamboni nyote?
Nauliza kwa Mkoa wa Tanga wasambaa na wazigua wapi wapo vizuri zaidi kwenye usomaji kitabu?
Aksanteni
"Exodus" ni dhana muhimu sana katika dini ya Rastafari, na pia inahusiana sana na muziki wa reggae, hasa kupitia wimbo maarufu wa Bob Marley, "Exodus" uliotolewa mwaka 1977. Ingawa wimbo huo wa Marley unahusu zaidi harakati za kisiasa na kiroho za watu wa Kiafrika, dhana ya "Exodus" inarudi...
Rafiki yangu mpendwa,
Umewahi kujiuliza kwa nini watu wawili, wanaoweza kuwa wanafanya kazi au biashara zinazofanana na kuingiza kipato sawa, mmoja anaweza kuwa vizuri kifedha na mwingine vibaya?
Au umewahi kujiuliza kwa nini watu ambao kazi zao za kila siku wanahusika na simamizi wa fedha...
Katika uchambuzi, imeonesha kua biblia ndio kitabu kinachoongoza kua na maandiko yenye ukatili zaidi kuliko kitabu kingine chochote cha dini.
Mungu wa kwenye biblia amekua akiamrisha mambo ya ukatili mkali.
moja ya maandiko ambayo yanatumiwa hata na mayahudi wa sasa ni ule wa Samwel...
KITABU CHA KWA BAMKWE KINAPORUKA ANGANI NA KUTUA
Mikono inamtetema.
Hii "tetema," ni msamiati wa sasa.
Sie watu wa kale tunasema mikono inamtetemeka.
Kwa nini nasema mikono inatetemeka kwa sababu angalia anavyoifungua bahasha.
Bahasha ina namna yake ya kuifungua
Ndugu yetu hakufungua bahasha...
Kitabu kinaelezea kijana aliechukuliwa afrika na kupelekwa uingereza na anatakiwa asome shule za awali hadi chuo, hivyo basi naomba kuelekezwa mitaa hasa ile ya kitajiri na sehemu za kupumzika hasa za kutembelea nk.
PITIO LA KITABU: BARAZA YA MAJESTIC NA MACHINJIONI KWA BAMKWE
Hiki ni kitabu cha nne ambacho nimekifanyia patio katika vitabu ambavyo vinaeleza mapinduzi ya Zanzibar ya mwaka wa 1964. Kitabu cha kwanza kilikuwa kitabu cha Dr. Harith Ghassany ambacho nilishiriki katika utafiti wake kama...
1. Kitabu kina topics zote Form 1 hadi 4
2. 29 Chapters, 505 pages, full colour.
3. Kila subtopic ina maelezo ya kutosha na kueleweka na ina exercise yake.
4. Kila Topic ina revision exercise ya maswali 50 hadi 100
5. Kuna mitihani 10 ya samples
6. Kuna chapter nzima (maswali 90) ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.