kitabu

Kitabu is an EPUB reading application for macOS, released in 2012.

View More On Wikipedia.org
  1. K

    Naomba kitabu kinaitwa THE ANIMAL FARM

    Wakuu naomba kitabu kinachoitwa THE ANIMAL FARM
  2. Mohamed Said

    Mwenge wa Uhuru na Kitabu Cha Mwenge wa Uhuru ("The Torch on Kilimanjaro") Cha Oxford University Press

    MWENGE WA UHURU NA KITABU CHA WATOTO CHA MWENGE WA UHURU ("THE TORCH ON KILIMANJARO") Mwaka wa 2007 Oxford University Press (OUP), Nairobi walianzisha mradi wa kusomesha Kiingereza na historia pamoja kwa shule za msingi Afrika ya Mashariki. Nia yao ikiwa wanafunzi wa shule za msingi katika...
  3. Aliko Musa

    Dondoo 10 Muhimu Utakazojifunza Kutoka Kwenye Kitabu Cha "Make Money With Affordable Apartments Buildings And Commercial Properties"

    Kitabu "Make Money With Affordable Apartment Buildings and Commercial Properties" kinazungumzia njia mbalimbali za kuwekeza katika mali isiyohamishika kwa gharama nafuu. Hapa ni mambo 10 utakayojifunza kutoka kwenye kitabu hiki kwa kila sura: Sura ya Kwanza. Utangulizi wa Uwekezaji katika Mali...
  4. Hassan Mambosasa

    Kitabu kipya: Jino kwa jino

    Fikiria wewe ni mfanyabiashara mkubwa sana mjini, unamiliki kampuni iliyopata heshima kubwa. Baba yako ni mkuu wa majeshi mstaafu, kaka yako ni kanali wa jeshi, shemeji yako ni mbunge na mtoto wa Rais wa nchi. Mjini kote wanatambua nguvu kubwa ya ushawishi waliyonayo familia yako. Unapewa...
  5. Dkt. Gwajima D

    Kitabu cha “Mmomonyoko wa Maadili, Nani Alaumiwe” chazinduliwa

    DSM, 3 Julai, 2024. _________________ Mhe. Doto Mashaka Biteko (Mb), Naibu Waziri Mkuu wa JMT🇹🇿 na Waziri wa Nishati, amezindua kitabu cha "Mmomonyoko wa Maadili, Nani alaumiwe" kilichoandikwa na Sheikh Mkuu na Mufti wa Tanzania Mhe. Dkt. Abubakar Zuberi. Uzinduzi huo umefanyika Julai 03...
  6. kajunjumele

    Wadau Mwenye hiki kitabu anisaidie"YOUR TWELVE POWERS by Dr.Murpy"

    Husika na kichwa hapo juu.Naombeni softcopy ya hicho kitabu tafadhari.
  7. Mohamed Said

    A Journey My Life, Speeches & Writings Kitabu Cha Maisha ya Juma Volter Mwapachu

    "A JOURNEY" MY LIFE, SPEECHES & WRITINGS" KUTOKA KALAMU YA JUMA VOLTER MWAPACHU Kuna wakati naamini hata William Shakespeare alikuwa anaishiwa na maneno kalamu ikabakia inaning'inia mkononi na wino kumkaukia. Leo nimekitia kitabu mkononi. Kwa hakika nimechelewa kukipata na sababu ni kuwa...
  8. Mohamed Said

    Kitabu Cha Historia ya Yanga na Harakati za Kudai Uhuru

    Watu kadhaa wameniuliza ukweli kuwa kuundwa kwa Yanga mwaka wa 1936 ilikuwa mbinu ya kudai uhuru wa Tanganyika. Haya nimeambiwa yameandikwa katika kitabu cha historia ya Yanga ambacho kimetolewa hivi majuzi. Jibu langu kwao ni kuwa ushahidi wa historia ya kudai uhuru wa Tanganyika hauonyeshi...
  9. hermanthegreat

    Naombeni kitabu kitakachobadilisha mindset yangu

    Wakuu, Nahitaji kuimarisha mahusiano yangu na watu wengine lakini kuna kitu huwa kinanikwamisha nacho ni negativity. Hili limekuwa serious problem wakuu, Nikikutana na watu wapya huwa nakubalika kwa haraka kisha nawa dominate lakini influence hio haidumu kwa muda mrefu kwasababu wengi huwa...
  10. GoldDhahabu

    How You Can Get Richer... Quicker!: Kitabu nilichokipenda, nikakiogopa, lakini nataka nikisome tena!

    Nani alishakisoma kitabu tajwa? Kimeandikwa na M. R. Kopmeyer. Ni kati ya vitabu vyangu vya mwanzoni kabisa kukinunua baada ya kuamua kuwa "serious" kwenye usomaji wa vitabu. Nilikinunua Kase Store jijini Arusha mwishoni mwaka 2007. Nikilipenda sana mwanzoni, lakini baada ya kukisoma chote...
  11. Eli Cohen

    Kitabu cha TOBA kina msaada mkubwa kiroho. Mimi Nina ushuhuda.

    Kitabu kinaitwa TOBA na kimeandikwa na Mai Godrey. Ni kitabu chenye sala za TOBA za aina nyingi ambazo ukizisali kwa Imani na utulivu unatengeneza ukaribu na Mungu wako. Kuna wakati nilipitia changamoto nzito na nikachagua moja ya sala za TOBA kwa siku 21 nikawa naamka saa 8 usiku na pia...
  12. Mfugaji123

    Kitabu cha Jinsi ya Kufanya Biashara kwenye internet ( Mtandaoni)

    Fursa muhimu sasa katika kufanya biashara ni kwa kwa kutumia mtandao wa internet.. Dunia inakadiriwa kuwa zaidi ya watu bilioni moja hununua kwenye internet. Hapa Tanzania kulinga na tovuti ya Statista hadi kufikia January 2024, karibu asilimia 18.9 ya watanzania walifanya manunuzi na kulipa...
  13. Dr am 4 real PhD

    Makamba aja na kitabu "Cha kale Ni dhahabu"

    "Niwakati tulipokuwa mafunzoni Monduli Machi, 1976 hadi Januari, 1977 ndipo nilipomfahamu vizuri Yusufu Rajabu Makamba na tukawa marafiki tangu wakati huo mpaka sasa. Nikatokea kuutambua vizuri uwezo wake wa uongozi. Nilivibaini vipaji vyake adimu vya kuhamasisha, kuunganisha watu, kujieleza na...
  14. Tanzanite klm

    Kitabu cha GIANTS: Be that top 1% kimetoka rasmi

    GIANTS: Be that top 1% NAKALA YA KITABU HIKI YAPATIKANA KWA 9,000 TU kwa Hardcopy na kipo kwa lugha ya kiingereza. 0628556739 piga au tuma messeji Be that top 1% -majitu yenye akili na nguvu Hili ni andiko adimU ambalo pengine litafutwa mtandaoni maana majitu yenye akili na yanayotawala kila...
  15. Ojuolegbha

    Kitabu cha Safari ya Miaka 60 ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

    Mhe. Dkt. Philip Mpango, Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania akikabidhiwa Kitabu cha Safari ya Miaka 60 ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika Picha na Balozi wa Tanzania nchini Italia Balozi Mahmoud Thabit Kombo ambaye ni mmoja wa Waandaaji wa Kitabu hicho. Tukio hilo...
  16. Titicomb

    Wazee wa Kataa ndoa na kitabu cha The Manipulated Manby Esther Vilar (1971) wamenifikirisha Sana

    Kila nikitafakari naona wazee wa Kataa ndoa wapo sahihi hasa baada ya kusoma kitabu kiitwacho ' The Manipulated Man by Esther Vilar (1971)' Muandishi wa kitabu hicho ni mwanamke ambaye kwa kifupi anasema mwanaume anazaliwa na kufundishwa au kufunzwa kuwa mtumwa wa mwanamke maisha yake yote...
  17. Mohamed Said

    John Malecela amefikisha miaka 90, Cleopa Msuya amshauri aandike kitabu cha maisha yake

    MZEE JOHN MALECELA AMEFIKISHA MIAKA 90 MZEE CLEOPA MSUYA KAMSHAURI AANDIKE KITABU CHA MAISHA YAKE TANZANIA IFAHAMU MCHANGO WAKE MKUBWA KATIKA UTUMISHI WA UMMA Nimeangalia video ya Mzee Malecela aliyepata kuwa Waziri wa Mambo ya Nchi za Nje na Waziri Mkuu akisheherekea miaka 90 nyumbani kwake...
  18. Lycaon pictus

    Kitabu: Ukisoma historia ya Wachaga lazima usikie harufu ya damu

    Asili na habari za Wachaga Wachaga walikuwa ni moja ya makabila ya kwanza kwanza kabisa Tanzania kukutana na kupata ustaarabu wa Kizungu. Hilo limefanya kuwa kabila ambalo historia yake imeandikwa na kutunzwa zaidi. Sasa historia yao imejaa damu hasa, kuisoma tu lazima usikie harufu ya damu...
  19. S

    Yericko Nyerere aandika Kitabu Kipya cha MOSCOW: Operesheni Ukraine

    Mshindi wa Tuzo ya Mwandishi bora wa vitabu barani Afrika na mdau wa JamiiForums ndugu Yericko Nyerere ametangaza leo kuachia kitabu kipya kinachoelezea vita vya Urusi kinachapishwa, Katika utangulizi wa Kitabu hicho, Yericko Nyerere anasema, Kitabu cha MOSCOW: Operesheni ya Ukraine, ni mahsusi...
  20. Lycaon pictus

    Historia ya Wahima na eneo la magharibi ya Tanganyika kama ilivyoandikwa ndani ya kitabu Zamani mpaka siku hizi

    Kitabu hiki kilichapwa mara ya kwanza mwaka 1930. HABARI ZA NCHI ZILIZO MAGHARIBI Somo 1-Wahima KATIKA sura ya kwanza tulisoma ya kuwa sisi Wabantu si watu wa asili wa nchi tunazokaa sasa maana tulitoka nchi nyingine tukawasukuma watu waliokuwa wakikaa huku au labda tulichanganyika pamoja...
Back
Top Bottom