''Baada ya suluhu ile ya Captain Eltz na Alexander Le Roy iliyomaliza vita ile, Muro Mboyo aliondoka Machame kuelekea Old Moshi.
Nyuma akiwa ameacha mke na mtoto mdogo wa kiume aliyeitwa Kirama Muro, ambaye mama yake alikuwa anatokea Kibosho. Jina la mama yake Kirama Muro lilikuwa Makshani...
Watu wengi wenye IQ kubwakubwa mindset zao zilishawishiwa na Biblia.
Newton, Galileo Galilei, Mendel na wanasayansi wengi walikuwa wanazi wa maandiko ya Biblia.
Paulo kwa usomi wake maandiko aliwaoutsmart wasomi majiniasi wa kigiriki Pale Aelopagas.
Daniel aliwazidi akili wachawi,waganga...
Corner sofa ndiyo habari ya town, ukiongeza na flat screen ukutani na TV table ya mstatiri.
Uzuri wa corner sofa mgeni anaweza kulala mpaka asubuhi omba tu asiwe kikojozi.
Kwa kweli ni mfuko tu lakini corner sofa ya ngozi inapendeza na inadumu kwa muda mrefu.
Ukiwa na ukuta mweupe blue...
Ndugu zangu,
Kitabu cha Abdul Sykes hicho hapo chini kwa atakae kukisoma.
KInapatikana Hard Copy Ibn Hazm Media Centre katika maduka yake ya vitabu Msikiti wa Mtoro, Manyema (Kariakoo), Mtambani (Kinondoni) na Kichangani (Magomeni) bei Shs: 10,000.00...
Juzi kati nilikutana na hiki kitabu kinaitwa Wasomi Wajinga. Katika kukipitia nilikuta kina mambo ya kushangaza sana. Ni kama zile play za Kezilahabi. Kina maneno makali na yenye ukakasi.
Nimejaribu kumgoogle muandishi wake Dr Dyaboli Moyo nimeambulia patupu.
Hata humu JF sijaona sehemu...
Mimi ni muhitumu wa Phy kutoka chuo Y, nimeweza notice some very serious errors katika kitabu cha physics form one na form four TIE na kujaribu kuwatumia email lakini sikupata any response.
On my personal thought ni kuwa, watoto wanajifunza makosa ya wahariri and not all teachers can notice...
Wengi wenu mnadhani na mmekaririshwa kuwa Israel iliyopata Hadhi ya kuwa nchi mwaka 1948 ni Mgeni huko Mashariki ya Kati wakati kumbe si Kweli.
Taarifa ikufikie kuwa Politically Palestine ndiyo mwenye hilo Eneo linalozozaniwa ila Historically na hata Kitabu Kitakatifu ( Biblia ) Kimethibitisha...
Kwenye laptop niliyokuwa ninatumia kukiandaa, nilikuwa nimetengeneza Folder maalumu kwa ajili ya kazi hiyo.
Ndani yake nilijaza screenshot ya hatua zote (muhimu) ambazo mtu yeyote (beginner) anaweza akazifuata na kuishia kutengeneza matangazo ya Sponsored ads yenye matokeo mazuri.
Ila kila...
MIMI, SAL DAVIS NA KITABU CHETU
Kwa mara ya kwanza hiki ndicho kitabu changu kilichochapwa na Amazon.
Amazon sifa zao hazihitaji kuelezwa na mimi.
Walianza na uuzaji wa vitabu na kukufikishia hadi kizingitini kwako nchi yoyote ulipo kiwe ndiyo kwanza kimetoka kuchapwa au cha zamani sana...
Kitabu cha kwanza kutafsiriwa kwenda kwenye lugha nyingi ni Biblia, Ambayo ilitafsiriwa kwenda kwenye lugha takribani 3589.
Kitabu cha pili kutafsiriwa kwa lugha nyingi ni Don Quixote, riwaya iliyoandikwa na Miguel de Cervantes (Pichani), Riwaya hii huhesabiwa kuwa ni riwaya bora ulaya nzima...
Mtoto kasoma mika saba, likizo anakua na tuition, amemaliza la saba, anakaa wiki tatu anarudi kambini tena kwa jina la pre-form one, wazazi watakaa na watoto wao muda gani? Hivi huko kwa wenzetu nako ni mchaka mchaka hivi hivi?
Mimi ni mkatoliki japo mara ya mwisho kwenda kanisani ni almost two years ago,haimaanishi nimepoteza imani la hasha niko vzuri,
Japo sio mzuri sana wa vifungu vya biblia km tulivyo wakatoliki wengi.
Kwa kumbukumbu zangu zilizosahihi enzi za ukuaji wangu enzi hizo niko primary mpk mitaa ya form...
Kuna dhana kwamba Biblia imejaa hadithi za kutungwa. Wasemaji wa utungaji huo wa hadithi za Biblia ni wale wapinzani wa yaliyomo hasa dhana na nadharia kwamba kuna MUNGU.
Lakini utungaji wa Biblia ulianza lini?
Hadithi za Biblia zilitungwa na kina nani na jee majina yao yanajulikana?
Watunzi...
Hatuwezi wote kwenda Ikulu na kuwa Maraisi na Mawaziri nk .
Ndiyo maana tumetengeneza taratibu (katiba na Sheria) za namna ya kuajiri wawakilishi kwa kuwapigia kura. Na hao wawakilishi wakisha patikana wanapaswa kufuata muongozo au utaratibu sisi wananchi tuliowaandalia kutekeleza mambo...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akishiriki Mkutano Maalum wa Baraza la Vyama va Siasa na Wadau wa Demokrasia katika ukumbi wa JNICC leo tarehe 11 Septemba, 2023 katika viwanja vya Ikulu, jijini Dares Salaam...
demokrasia
hotuba
katiba
katika
kazi
kitabu
kuliko
maneno
mbaya
mikutano ya hadhara
mkutano maalum
rais samia
raisi
samia
tume huru ya uchaguzi
uchaguzi
ukweli mchungu
vyama vya siasa
watanganyika
wawakilishi
Rais Samia amesema "Viongozi wa Kisiasa tunadhani tuna Haki ya kuburuza watu tunawageuza watu Makasuku, nenda kamuulize kifungu gani cha Katiba kinakuudhi, hajui sasa Katiba mpya ilete nini anakujibu Maendeleo tu, nani kasema Maendeleo yanaletwa na Kitabu? Kama kuheshimu Vitabu tungeheshimu...
Kitabu hiki kimeandikwa na muandishi Hammie Rajab, chapa ya kwanza ilitoka mwaka 1986. Karibu kwa kusoma.
UTANGULIZI
Luteni Maige anazusha balaa la kutaka kumuua kiongozi wa nchi na kukimbilia nchi jirani ya Kenya. Huko nako usalama wake unakuwa mdogo kiasi cha kufanya kufanikiwa kuingia nchini...
Leo ikiwa ni Wiki ya Pili ya Tamko la Maaskofu kusomwa Makanisa yote ya Roman Catholic, nimevutiwa na Maneno aliyoyaongea Paroko mmoja kwenye Ibada " Tusikae kimya sasa kusubiri miaka 10 ijayo Rais wetu aandike Kitabu cha kujutia kuingia mkataba huu mbovu wa Bandari, tumkosoe mapema ili akija...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.