Jumatatu 30/09/2024 Rais Samia Suluhu Hassan alizindua kitabu kipya cha tawasifu ya Edward Moringe Sokoine.
Kitabu hiki cha aina yake kina dosari lukuki.
Inafikirisha sana ikitiliwa maanani kama kawaida yake samia kwa kugawagawa fedha alitoa sh 200 milioni kwa ajili ya kitabu hiki.
Mwandishi...
Wadau hamjamboni nyote?
Sijaongeza hata neno moja
Mzee wa Atikali ✍️✍️✍️
Alhamis, Oktoba 10, 2024
0754 744 557
"Vitabu zote zinazochapishwa kwaajili ya kutumika kwenye syllabus kwa shule na vyuoni lazma zifanyiwe tahariri makini ili zisalie na accurate information".
Mhe. EZEKIEL MACHOGU...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.