Hi,leo tutajifunza kuhusiana kitabu cha RICH DAD, POOR DAD.
1. Wote tunahitaji elimu ya fedha.
Mwandishi anasema kuwa wanafunzi wengi wanamaliza shule bila ya ujuzi wa fedha. Wanajifunza kutengeneza fedha lakini hawana mawazo juu ya namna ya kutengeneza fedha kutoka katika fedha walizonazo.
2...
Waziri wa Katiba na Sheria, DR. Damas Ndumbaro ameshiriki katika uzinduzi wa Kitabu cha COMPREHENSIVE ISSUES OF EMPLOYMENT AND LABOUR RELATION AND LABOUR LAW; Practice for Modern Business in Tanzania.
Kitabu hicho kinahusu masuala ya ajira na masuala ya uhusiano kazini kikiwa na kurasa zaidi ya...
Mungu katuumba sisi wanadamu Kwa akili tena Kwa mfano wake, na hii iko bayana ya kwamba mara kadhaa anatukaimisha majukumu yake, na ametupa uwezo huo sio kwa bahati mbaya.
Mungu katuleta hapa duniani kwa kusudi kubwa sana, hapa tulipo tunapoishi kama miungu wenye umungu ndani yetu kila hatua...
Habari wakuu.
Hii ni mara yangu ya kwanza kuandika kitabu kinachohusiana na biashara pamoja na mafanikio. Kitabu hiki kimekubaliwa kuwa published on Amazon na publishers nyengine zinashirikiana na Amazon ya USA na UK. Kipo digital kwenye Amazon Kindle pia unaweza kupata kopi ya kitabu. Kama...
HISTORIA YA BI. TITI KATIKA KITABU CHA ABDUL SYKES 1955
Mikutano ya TANU ya siku za mwanzo ilikuwa ikifanyika kwenye viwanja vya Mnazi Mmoja mbele ya Princess Hotel.
Kwenye jukwaa lililojengwa kwa miti walikuwa wakikaa wale viongozi wa mstari wa mbele ndani ya TANU - Nyerere rais wa TANU...
Pengine wengine wanaweza kujiuliza nini maana ya Pentateuch. Pentateuch au "Πεντάτευχος" limetokana na lugha ya kiyunani yaani kigiriki linalomaanisha "penta" (πεντά au πεντά) yaani tano na "teuch" (τευχος) mafundisho au vitabu ama kwa lugha iliyozoeleka ni vitabu vitano vyaTorah au torati.. na...
Apart na kuagiza nje ya nchi ambapo itachukuwa muda mrefu wa wiki mbili.
Nataka kujua wapi ndani ya dar es salaam naweza kupata hiki kitabu kwa ajili ya programming.
Hope Mungu ni Mwema kila wakati
Na wale wagonjwa na walioko Gerezani Mungu awafanyie wepesi ili mpate kupona na kuishi katika Faraja
Naomba Mtu mwenye kitabu Cha Oedipus of the king soft copy anitumie natanguliza Asante na Neema za Mungu ziwe Juu yenu watu wa Mungu.
Familia ya kifalme ya Uingereza sasa imejiandaa kwa uzinduzi wa kitabu kilichoandikwa na mwana mfalme, Prince Harry, wakionywa kinaweza kuwa bomu kwa Ufalme wa Uingereza, huku mawakili wa Ikulu wakijiweka tayari kusubiri uzinduzi wake uliopangwa kufanyika Januari 10 mwakani.
Taarifa ya uzinduzi...
Ndugu yetu Eng.Amos J. Mwansumbule ameandika na kuchapisha kitabu kwaajili ya Wafanyabiashara wa gesi ya kupikia (LPG) hasa hasa Wasambazaji (Dealers) na wanaotaka kufanya biashara hii.
Kitabu hiki kitasaidia kuboresha namna ya kufanya biashara ya LPG ili iwe ya faida, endelevu na salama...
Kitabu hiki ni kizuri. Mimi binafsi kilinisaidia katika interview yangu ya tatu baada ya kuwa nimeboronga katika interview zangu mbili za kwanza. Ndiyo nilikuwa nimemaliza chuo na kazi ya kwanza ndiyo hasa niliitaka lakini nilikutana na vijana wenzangu kutoka Kenya na Nigeria nikajua tu waziwazi...
Nimepata bahati ya kusoma vitabu mbalimbali mutoka ndani pamoja na nje ya nchi ila kwa leo ningependa nikukaribishe kuelewa nukuu muhimu alizotumia mwandishi Robin S. Sharma
Hapa zipo nukuu alizotumia kushawishi wasomaji wake kuzidi kuvutiwa na utunzi wake..nami nitazileta jukwaani baadhi ya...
KITABU CHA ABDUL SYKES KATIKA PDF
Kitabu hiki kilichochapwa na Minerva Press London 1998 sasa kipo katika pdf.
Nimeshindwa kupata link lakini nimewatumia watu wengi katika Whatsapp peaneni humo kwa humo na wenyewe kwa wenyewe mpate kukisoma kitabu hiki bure.
Soma Kwa Furaha.
MABANGO YA KITABU CHA SHEIKH PONDA KWENYE KUTA ZA NYUMBA MITAANI DAR ES SALAAM
Nakumbuka siku ya kwanza nilipokutana na Sheikh Ponda ilikuwa mwaka wa 1988 kwenye semina ya vijana Kiislam Iliyofanyika Chuo Cha Biashara Dodoma (CBE).
Sheikh Ponda na kijana mmoja kutoka Zanzibar, Sheikh Salum...
MNA NINI NDANI YA KITABU CHA SHEIKH PONDA?
Ili kitabu kiwe kitabu lazima kiwe na elimu mpya yaani ile ambayo jamii haijui.
Hii elimu mpya ndiyo roho, moyo na maisha ya kitabu kwani kitabu kina maisha na kifo kama binadamu.
Kitabu kikikosa vitu hivyo kinaweza kufa mapema au kikafa katika...
KITABU KIPYA "JUHUDI NA CHANGAMOTO" KALAMU YA SHEIKH PONDA ISSA PONDA
Sheikh Ponda Issa Ponda ameandika kitabu.
Mwaka ni 1998 niko ndani ya basi la Raha Leo natokea Tanga. Karibu Maghrib inaingia basi linakaribia Msikiti wa Mwembechai.
Msikiti huu ulivamiwa na askari wakakata umeme wakaingia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.