kitaifa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. T

    Umoja wa kitaifa ukoje katika hili huko Zanzibar

    Rais, M/wa kwanza wa Rais M/wa pili wa Rais. Ikitokea Rais kaitwa kuwatumikia malaika nani anapanda kuwa Rais? 1. Kama atapanda No 2 kuwa Rais na No 3 kuwa M/wa kwanza wa Rais.Ni yupi mwenye mamlaka ya kumteua M/wa pili wa Rais. 2. Shughuli za baraza la wawakilishi ni yupi atahusika. 3. Rais...
  2. tang'ana

    Wanafunzi 10 bora kitaifa matokeo darasa la saba 2021

    Dar es Salaam. Baraza la Mitihani Tanzania (Necta), limemtaja mwanafunzi aliyehitimu shule ya msingi St Anne Marie iliyopo mkoani Dar es Salaam, Eluleki Evaristo Haule kuwa ndiye aliyeibuka kinara katika matokeo ya mtihani ya Darasa la Saba 2021. Akitangaza matokeo hayo leo Jumamosi Oktoba 30...
  3. L

    Tanzania yaanzisha duka la kitaifa kwenye tovuti ya JD.com ya China yenye watumiaji milioni 700

    Ubalozi wa Tanzania nchini China umetia saini makubaliano na kampuni ya JD.com ya China, ambapo Tanzania itaanzisha duka la kitaifa kwenye tovuti ya JD.com, na kuuza bidhaa zake bora kwa wateja wa China. Hii ni hatua nyingine ya China kuzisaidia nchi za Afrika kuongeza mauzo ya bidhaa zao nchini...
  4. CCM Music

    Tanzania haina uzoefu wa kuwa nchi ndiyo maana mambo mengi hayana 'consistence ya kitaifa'

    Kumradhi kwa kila mtu naomba nisionekane nimetukana ila huu ni mtazamo wangu tu. Kila kitu ni uzoefu. I mean kila kitu ili kifanyike kwa usahihi mkubwa panahitajika uzoefu. Hii ni law of nature in doing things. Watu wengi hulalamika kuhusu mwenendo wa Tanzania kisiasa, kielimu, nk. Watu...
  5. Kamanda Asiyechoka

    TOT ni mali ya CCM haipashwi kutumika kwenye hafla za kitaifa. Huku ni kutumia vibaya rasmali za Watanzania

    Nipo nyumbani kwenye luninga nafuatilia sherehe za kuzima mwenge huko Chato. Jambo la ajabu ni kuona bendi ya TOT ambayo ni mali ya CCM ikitumika ili hali ni sherehe ya kitaifa. Kutumia kodi zetu kuwalipa Tot ili hali ni mali ya CCM ni kukosa busara za kisiasa. Abadani haya mambo yanatakiwa...
  6. B

    Jesca Kishoa: Viatu vya Magufuli vinamtosha Rais Samia

    Ms. Jesca Kishoa, Mbunge Kwa mujibu wa IMF takribani fedha zaidi $1 trillion zilitengwa mahususi kama mpango wa dharula wa kuwezesha kifedha zaidi ya nchi 90 zilizoathirika na UVIKO-19. Mpaka sepemba 2021, IMF kupitia Rapid Credit Facility (RCF) na Rapid Financing Instrument (RFI) imeidhinisha...
  7. MsemajiUkweli

    #COVID19 Hizi chanjo za Corona zinaenda kuondoa herd immunity tuliyoipata nchini

    Ninachosikitika ni kuwa hizi chanjo ambazo baadhi ya watu watazipa nchi zitaenda kuua herd immunity ambayo watanzania wengi kama sio wote nchini tulikuwa tumeipata kwa muda wa takribani miaka miwili. Kwa wasiojua, herd immunity kwa lugha ya kawaida huitwa Kinga Kundi, hii ni aina ya kinga...
  8. B

    Marekani Yapongeza Serikali ya Umoja wa Kitaifa Zanzibar

    17 September 2021 Unguja, Zanzibar Makamu wa Kwanza wa Rais wa akutana na Balozi wa Marekani kujadili GNU na maendeleo ya Zanzibar Makamu wa Rais wa Kwanza wa Zanzibar Mh. Othman Masoud Othman amekutana na Mh. Balozi wa Marekani nchini Tanzania Mh. Donald Wright na kufanya mazungumzo...
  9. J

    Hivi kesi ya Mbowe ni ya kitaifa au kimataifa?

    Nimewaona jana watu kutoka nchi za kibeberu wakiwa pale mahakama ya Kisutu kufuatilia kesi ya Freeman Mbowe. Niliwaona pia viongozi wa vyama vya upinzani wakiongozwa na James Mbatia kadhalika viongozi wa juu wote wa Chadema na hata viongozi wachache wa CCM walikuwepo. Ndio nauliza hii kesi ya...
Back
Top Bottom