Ni kawaida mtu anapotuma maombi ya kazi atatakiwa kuambatanisha baadhi ya nyaraka, lakini hizi nyaraka zote kwa wakati mmoja ni kwa ajili ya nini?
Mtu anatuma maombi anatakiwa aambatanishe kitambulisho cha taifa, cheti cha kuzaliwa na hapohapo tena barua kutoka serikali za mitaa. Ina maana...
Habari wakuu
Naomba kuuliza kama kitambulisho Cha taifa kimepotea,Kuna utaratibu Gani wa kukipata upya??
Sina mengi ya kusema, nawasilisha mada. Wenu mtiifu katika jamiiforum
Cassnzoba
Wakuu nimepoteza NIDA,na nina police loss report,nauliza namna ya kutuma maombi kwa njia ya mtandao ili kuomba kadi. nyingine inakuwaje,maana kwenye website ya NIDA,sijaona fomu ya maombi kwa waliopoteza vitambulisho.
Msaada kwa anaejua.
Shukrani
Wakati mtu unaomba passport katika idara ya uhamiaji unahitajika kuwa na kitambulisho cha taifa(NIDA) lakini pia unapaswa tena kufuata mchakato ule ule uliotumia kupata kitambulisho cha NIDA, sasa nini maana kuwa na kitambulisho cha Taifa!
Kipi ni kikubwa, kikuu au cha muhimu zaidi kati ya...
Kwanza napenda kuipongeza Wizara ya Tamisemi kwa kuja na mfumo mpya wa kadi za kieletroniki katika vituo vya mabasi ya mwendo kasi.
Sambamba na pongezi hizi bado kuna changamoto ambazo ni mzigo kwa raia.
1. Ili upate kadi hiyo utalazima kuwa na aidha kadi ya mpiga kura, pasi ya kusafiria...
Mke wangu ana changamoto ya kutofautiana majina kati ya kitambulisho cha NIDA na vyeti vyake vya kitaaluma.
Nimejaribu kufuatilia vigezo vinavyohitajika Ili kufanya marekebisho, nikakuta pamoja na vigezo vingine ni pamoja na KADI YA KLINIKI.
Sasa hapa kweli, mtu aliacha kwenda klinic miaka ya...
Ni siku tatu zilizopita nimelalamikia nida Kawe na uhuni nilioona.
1. Siku naenda kujiandikisha nilifika saa nne nkaitwa saa tisa kupigwa picha.
Unaweza hisi ni makusudi ama wewe pekeyako lakini lundo la watu mnaitwa saa tisa wengine walikata tamaa wakaondoka.
2. Nililalamika ushenzi...
Ni muhimu sana kuwa na kitambulisho cha Taifa, na ukishakipata kitunze vizuri kisifike katika mazingira yenye uharibifu.
Je, umepata kitambulisho cha Taifa?
Huko nchini Uganda baadhi ya watu wameendelewa kutiwa mikononi mwa polisi kuwa kumiliki nyaraka kama vile vitambulisho na passport za nchi hiyo ambazo ni feki. Polisi nchini humo inaeleza kuwa raia wengi wanaokamatwa wakimiliki nyaraka hizo ni kutoka nchi kama vile Rwanda, Burundi, Kenya, Sudan...
"NHIF wameweka tangazo kupitia ukurusa wao wa Instagram kuwa sasa wanachama wa mfuko wa NHIF sasa wanaweza kutumia namba ya Kitambulisho cha Uraia kupata huduma za NHIF vitioni.
"Sasa unaweza kutumia namba yako ya Kitambulisho cha Uraia kupata huduma za NHIF vituoni. Hii ni kwa wananchama na...
Habari Tanzania !
Habari Jamii salama !
Ninaombi au wazo kwa taasisi inayohusika na utoaji kadi za kliniki na cheti cha kuzaliwa.
Wazo langu ni kuwa wazazi wanapokuwa wajawazito wapewe hayo makaratasi (kadi ya kliniki) ila wanapo bahatika kujifungua wapewe kadi maalumu (Birth Card) ifanane...
JamiiForums, imezungumza na Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA), Geofrey Tengeneza kufahamu iwapo wameongeza nyaraka za kukabidhi ili kupata Kitambulisho cha Taifa (NIDA) ambaye ameeleza kuwa taarifa hiyo haina ukweli na siyo sahihi.
"Hiyo siyo kweli na siyo sahihi...
Mwanzoni walihitaji kitambulisho cha kura, baadaye wakahitaji cheti cha kuzaliwa. Na kwasasa wanahitaji tuwe na:
Cheti cha kuzaliwa
Cheti kutoka Migration
Cheti cha kidato cha nne
Cheti cha darasa la saba.
Uwe navyo vyote. Ni halali kweli hii?
======
JamiiForums, imezungumza na Mkuu wa...
Kitambulisho cha taifa(Nida) Ni moja ya kipande kinachomtambulisha mtanzania au raia wa taifa lolote. Hapa tanzania kumekuwa na changamoto kwenye upatikanaji wake, serikali katika hili ilichelewa kwani kuna watu wazima ambao wana wajukuu wengine wamezeeka hadi kufariki pasipokukipata hata...
Ndugu wana JF hili ni swali nililojiuliza sana kwa muda mrefu.
Kwa tathimini kwamba zaidi ya asilimia 60 taarifa za wananchi zanapatikana mtandaoni kwa kuwa siku za saivi asilimia kubwa ya watu wamesoma na kama wamesoma na kuhitimu unamaanisha taarifa zao zote zinapatikana kwenye mfumo wa...
Mfalme Leopold Philippe, nina uhakika yupo kuzimu, meza moja na Henry Morton Stanley. Wanapokaa, unaliona pembe la kushoto la shetani kiangavu zaidi. Najua watakua wanacheka. Ndio, kuna moto unawasubiri; lakini, kazi yao duniani inameremeta mpaka leo. Wanacheka kwa sababu kuna kijana atachomwa...
Kitambulisho cha taifa hutumika kuthibitisha uraia wa mwananchi kwenye taifa husika. Lakini namna ulimwengu unavyoshuhudia ukuaji wa kasi kwenye sekta ya teknolojia ni vizuri kuboresha kitambulisho cha taifa kwa kukiwezesha kubeba taarifa nyinginezo muhimu pamoja na nyaraka za mhusika. Itasaidia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.