Serikali imesikia kilio cha Wananchi na imetangaza rasmi kuondoa ukomo wa matumizi wa Vitambulisho vya Taifa (NIDA), vilivyomalizika muda wake baada ya kufanya mabadiliko ya kanuni za usajili na utambuzi wa watu.
Hayo yamebainishwa leo Jumanne tarehe 21 Februari 2023 na Waziri wa Mambo ya Ndani...
Wakuu Kama mmesoma threads zangu za nyuma, ni wazi kwamba napitia kipindi kigumu kimaisha. Sasa wiki hii Kuna kibarua nilipata hapa Arusha wakahitaji kadi ya nida na ya chanjo ya Corona, nikawapa ya Corona na namba ya NIDA, wakasema wanahitaji kadi kabisaa siyo namba!
Nilijiandikisha tangu...
Mamlaka ya vitambulisho vya taifa tanzania ( NIDA) sidhani kama walikuwa na lengo la kukamilisha mradi huu kwa wakati,
Nahisi kuna watu ndani ama nje ya idara hii kwa makusudi na kwa malengo yao binafsi wanayoyajua wao wanaosababisha kadhia hii iendelee kwa makusudi kabisa.
Urasimu huu unakuja...
Wadau wakati napiga picha miaka iyo ilopita nilikua na karangi keusi sasa nimekunywa maji mengi kama Rey kigosi nimekua na karangi keupe, ukitazama picha ile na sasa utakataa sio mimi, vipi upo uwezekano wa kubadili picha nida?
Makamu wa Rais wa Ghana ametangaza kutambulika ramsi kwa Kitambulisho cha Taifa cha nchi hiyo kama hati ya kusafiria kuanzia robo ya pili ya mwaka 2022.
Hatua hiyo ya Ghana inatokana na kutambuliwa kwake kama mwanachama wa Taasisi ya Kimataifa ya Usafiri wa Anga (ICAO), ambapo Kitambulisho...
Wanajukwaa,
Nina shida ya haraka sana ya kupata NIN toka kwa hawa waheshimiwa wa NIDA.
Cha ajabu ni ngumu sana kupata huduma hii kwenye mtandao
Nimejaribu kwa meseji ya kawaida kwenye ile menu ya *152*00# hakuna kitu.
Kwenda kwenye website ya nida pia hakuna kitu.
Nimepiga namba zote za huduma...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.