Habari zenu wakuu.
Kwa kadri miaka inavyosogea, ndivyo mahitaji ya huduma za haraka na zenye ufanisi yanaongezeka.
"Being Quick, Efficient and Consistent is being Good"
Kasi ya maisha ya mwaka 1980 haiwezi kuwa sawa na ile ya 2020.
Katika taratibu za kawaida za kazi, kuanzia siku ambayo...
Habari,
Nataka kuagiza bidhaa online kwenye site kubwa kama amazon, ebay, aliexpress n.k lakini sina kitambulisho chochote kile, ila nina namba ya simu tu ambayo ni ya mtu.
Sitaki yeyote aniagizie wala sitaki kutumia sanduku la posta la mtu mwingine. nachotaka nikiagiza bidhaa inifikie pasipo...
Mwanachama wa bendi ya afro-pop nchini Kenya Sauti Sol amejitokeza kama mpenzi wa jinsia moja.
Tamko la hadharani la Chimano lilikuja alipokuwa akielezea wazo la wimbo wake mpya, Friday Feeling, ambapo aliwashirikisha wanajamii wa LGBT.
"Hakuna kujificha tena," aliambia vyombo vya habari vya...
Habarini ndugu zangu, ni matumaini yangu mpo fresh.
Mimi ni kijana mhitimu wa chuo ngazi ya degree.
Nimekuwa obsessed kuhusu kubadili uraia wangu kutoka ubara kwenda uzanzibar, Hii yote ni kwa sababu najionea wazi wazi warafiki zangu wazanzibar tuliofahamiana vyuo mbali mbali waliajiriwa muda...
Wadau wakati napiga picha miaka iyo ilopita nilikua na karangi keusi sasa nimekunywa maji mengi kama Rey kigosi nimekua na karangi keupe, ukitazama picha ile na sasa utakataa sio mimi, vipi upo uwezekano wa kubadili picha nida?
Mimi ni mtanganyika Ninaishi ugaibuni, na ninahitaji kujua namna ya kupata kitambulisho cha Mzanzibari Mara nitakaporejea Tanzania.
Je, mzanzibari nao wana vitambulisho vya NIDA? Je, Samia Suluhu Hassan ana kitambulisho cha NIDA na cha Mzanzibari? Je, ninaweza kuomba kazi zanzibar ilihali mimi...
Nilijiandikisha NIDA tangu March,2019. Mwaka Jana 2020 nikapata namba, nikaambiwa kitambulisho Bado. Mwaka huu nimefuatilia sana naambiwa tu subiri kikiwa tayari utapigiwa simu. Mbaya zaidi watumishi wa pale wala lugha mbaya sana. Ukiuliza swali kwa ustaarabu wanakujibu kama ugomvi vile. Eti...
Jirani yako akibuni njia nzuri si mbaya kuiga ilimradi ufikie malengo yako.
Tunakubaliana watoto weng wa kike chini ya 18 wamenona, wanajipamba na wao wanatia watu majaribun kwa tamaa na haraka zao na hatimaye weng wanakutana na mkono wa sheria, kwa aibu na fedheha!
Mbaya zaid tuna mabinti...
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhe. George Simbachawene, amesema kuwa mwananchi kuwa na kutambulisho cha NIDA haina maana kwamba hicho ndicho kinachoonesha uhalali wa uraia wake kwani vitambulisho hivyo hata wananchi wasiowazawa wa Tanzania wanavyo.
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhe...
Heshima Yenu Wakuu,
Hongereni kwa majukumu ya kuijenga mama Tanzania. Nahitaji msaada wa mawazo yenu na pia kwa aliyekutana na hii changamoto anipe usaidizi pia iwafikie wahusika Serikali pamoja na NIDA.
Nipo kwenye mchakato wakupata kitambulisho cha taifa (NIDA). Changamoto yangu iko hapa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.