Kufuatia Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC), kudaiwa kuviondoa kwenye orodha vituo vya kupigia kura vilivyokuwa kwenye Tarafa ya Ngorongoro na kupelekea hali ya sintofahamu kwa wakazi wa maeneo hayo, Mratibu Kitaifa wa Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu (THRDC), Wakili Onesmo Olengurumwa...
Hapo vip!!
Kwanza naomba Admin tafadhali acha ku edit kichwa cha habari cha hii thread tafadhali.
Moja kwa moja kwenye mada husika.
Kuna msemo unasema kilicho kidhaifu huiga kilicho na nguvu..au kilicho kibovu huiga kilicho boro.
Sasa kitendo cha yanga kutumia rangi nyeupe ya Simba sc ni...
Serikali ya Zanzibar imesema kuna ongezeko la uhamiaji holela wa watoto kutoka Tanzania Bara kwenda Zanzibar unaochangiwa na umaskini na unyanyasaji.
Katibu Mkuu Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Zanzibar, Abeida Rashid ametoa kauli hiyo wakati wa mazungumzo ya kitaifa ya...
Wakuu za Jumapili
Imenitokea mara tatu. Nimetokea kuwasahau watu hawa kabisa. Mmoja nikawa najaribu kuvuta kumbukumbu nimemwona wapi. Mwisho wa siku hawa watu hudhani ni makusudi kumbe sio.
Wa kwanza ni dada mmoja hivi aliyekuwa kama na down syndrome. Miaka ya 2000 hivi. Tuliishi nyumba moja na...
Leo nimeulizwa na mzungu mmoja ambaye nafanya kazi naye shirika moja hapa Tanzania, hivi serikali yenu huwa akili wanazo kweli?.
Kutumia gharama kupeleka wasanii sababu ni nini? Hapa Tanzania tuna wasomi ambao wangepelekwa wangekuja na mtazamo mpya kwa walichokiona kama teknolojia, afya...
Wananchi wa kijiji cha Ndolezi kilipo kimondo maarufu cha Mbozi wamekuwa wakiishi hapo kabla ya wanasayansi kuthibitisha kuwa jiwe lile ni kimondo, hivyo kulipa jiwe hilo hadhi ya pekee kulinganisha na mawe mengine yaliyopo kijijini hapo.
Baada ya uthibitisho huo wanasayansi, watalii, na watu...
Huyu kocha hata mm nilimshangaa ana utoto kwanini alishinda 3 0 akawatoa watoto hao wawili. Akabanangwa 3 3 shukran kwa var iliyokataa hlgoli la 4 la adui. Jamaa anaaminika kumpa nafasi Antony ili ajisafishe kwa gharama kubwa aliyomnunua.... timu ingebaki 3 0 au ushindi wowote sifa kwa...
Mkoa wa Arusha ni mkoa wa kitalii, unapokea maelfu ya watalii kutoka Ulaya na Marekani. Ni vyema basi, kutokana na mabadiliko ya kiutawala, na watalii huwa hawapendi rabsha, wamekuja kupumzika na kula raha, Dodoma(makao makuu) jicho lao liwe Arusha.
Hata vyombo vya dola Arusha vikipewa amri na...
Zanzibar sio Nchi inayoongozwa na Sheria za Kiislamu, Zanzibar ni nchi inayoongozwa na katiba huru.
Inakuwaje unamkamata mtu kwa sababu ya kutokufunga Ramadhan, ni wapi kwenye katiba wamesema kwamba usipofunga inapaswa kuswekwa Ndani. Mkianza kutuletea sheria za kiarabu Kwenye ardhi za Tanzania...
Kulingana na Katiba ya Jamhuri ya Muungano yenye kutoa muongozo wa kidemokrasia lengo ni kutufanya wananchi kuweza kushiriki katika maamuzi yetu kupitia chaguzi zetu, lakini kwa bahati mbaya kuna mkusanyiko wa matukio ya kususia uchaguzi ambao unafanywa na vyama pinzani mfano CHADEMA katika...
Kiungo wa timu ya Taifa ya Tanzania anayekipiga klabu ya El Geish ya ligi kuu ya Misri Himid Mao, akemea vikali vitendo vya shabiki au mchezaji kwenda kutoa mataulo ya makipa golini katika ligi kuu ya Tanzania.
Himid amesema vitendo hivyo si sawa katika dunia ya sasa tena kwa ligi inayoonekana...
Kwanini Mtu anapomaliza kupiga NYETO (Kujichua) anaanza kujutia kwa kitendo hicho?
Habari wadau tushirikishane suala hili kwanini inatokea hivyo?
Uzi huu isifutwe majibu ya hapa yatasaidia wasomaji na walio katika hali hii kwa muda mrefu au wanatamani waanze
Hivi karibuni Benjamin Netanyahu alisikika akisema anataka jeshi lake liingie Rafah na kufanikisha mpango wake wa kuwamaliza Hamas kabla mwezi mtukufu wa Ramadhani haujaingia hapo Machi 10.
Baada ya kitisho hicho Misri imekuwa ikitishia kuvunja mkataba wa camp david baina yake na Israel.Hata...
Kiongozi wa kiroho wa kanisa katoliki Duniani baba mtakatifu papa Francis ametoa wito wa mataifa yote ulimwenguni kupiga marufuku kitendo cha wanawake kubebeana mimba ama 'surrogacy mothers'
Baba mtakatifu amasema kubebeana mimba ni kinyume cha mapenzi ya Mungu na inapaswa kupiga marufuku hicho...
Napenda sana kufuatilia habari za kiroho hususani misimbo ya kinabii "prophetic codes". Kuna mengi tumejifunza kuwa ni magumu ila kupitia misimbo mambo huwa bayana.
Bila kuzungusha sana maelezo kilichofanyika usiku wa tarehe 8/12/2023 kwa jina "usiku wa maajabu" ni tukio la kuondoa mazoea na...
Kwa uchache Sana,
Hii si Hali ya kawaida mwenyekiti jitathmini kama unafaa kuwatumikia Watanzania au haufai. Kwangu Mimi haufai.
Fikiria tu huyu ni katibu mkuu wa chama kaandamwa na skendo za namna hii Hadi anaamua kuachia ngazi. Vipi kuhusu mawaziri na watendaji wengine wenye mamlaka ya...
Kwema Wakuu!
Haijalishi Israel itashinda kwa kishindo gani. Haijalishi itaua na kuangamiza Hamas na hasa. Lakini kitendo cha MOSAD Kushindwa kutambua mahali walipo Mateka kwa zaidi ya siku 40 imedhihirisha kuwa Ubora wa MOSAD umejengwa kwenye propaganda.
Nawatakia usiku Mwema
Mtu akipotosha kwa jina la Kiongozi mkuu wa taasisi asipuuzwe. Kama aliyempeleka kwenye mkutano mkuu ni mwenyekiti na kwamba hakuna kuhoji tusipuuze. Alituambia JPM ni ndugu yake ila alimtumbua.
Hii yakusema alipita kwa turugfu inatuma salam kwa viongozi wenzake kwamba wasipomtii wataondolewa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.