Katika muktadha wa utawala na usimamizi wa habari, suala la uwazi na ukweli linapewa kipaumbele cha juu.
Hii ni kutokana na umuhimu wa habari sahihi katika kuimarisha uhusiano kati ya serikali na wananchi.
Hata hivyo, katika Moshi Manispaa, kuna masuala yanayoonekana kuathiri ufanisi wa...
Wafanyabiaahara na wajasiriamali wadogo wadogo mara kwa marq wamekuwa na malalamiko kwenye ulipaji wa leseni na kodi.Yani TRA hawaweki wazi kodi itakadiria kulingana na mtaji aliyowekeza mtu,mapato ghafi au faida,au kuwepo tu na biashara ndani ya frem imekula kwako utakamuliwa tu?Haya mambo...
Huyu mtumishi namkubali anakula mshahara wa halali
Ametukumbusha kuhusu matepeli
Kwa siku tutapokea SMS hazipungui 10 za SITAPELIKI
Sasa😅 imetosha kaka, ujumbe umeeleweka
Na hakika SITAPELIKi tena
Eng Hersi naomba mfukuze kazi huyo kijana wa nyumbani Ngara Patrick Simon
Japo ni home boy ila sio mwanasheria mzuri ni kilaza tu
Yaani anashindwa kumtia hatia Ahmed Ally matusi yote anayoandika na kuongea hadharani
Alishindwa kutetea Yanga kesi dhidi Kagoma nae akashindwa kujenga hoja...
Kwemaaaaaaaaa... Sauti ni kubwa japo nina swaumu
Kwa wapenzi wa hip hop, upande wa freestyles nadhani wengi wenu jina la Cado Kitengo, Cado nondo, Mzee wa Midamu au Mzee wa AYEEEEEE... nadhani hili jina sio geni kwa wengi wenu.
Nilianza kumfahamu rasmi nadhani ni 2017 kama sikosei katika...
Nipo hapa kuomba fursa ya ajira au connection ya Kazi hasa kuhusu kitengo cha mazingira, Afya na usalama mahara pa kazi
Kuhusu Mimi
Mimi ni : ME
Umri : 26
Elimu : Degree of Geography and Environmental studies, na OSHA (NOSHC 1)
Napatikana : Morogoro
Sifa zangu...
Jumanne tarehe 14 Januari 2025, Baba Mtakatifu Francisko amefanya teuzi mbali mbali katika ofisi za Curia Romana.
Kwa njia hiyo amemtetua, Mheshimwa, Monsinyo Gilbert Ndyamukama Gosbert, kuwa Mratibu ndani ya Kitengo cha Kwanza cha Uinjilishaji na Makanisa Maalum cha Baraza la Kipapa la...
Napenda kutoa malalamiko yangu kwa bank ya MCB.Hii bank kitengo chao cha huduma kwa wateja hakina msaada wowote kwa sababu baadhi ya namba hazipatikani na namba inayopatikana simu haipokelewi.Ni muda wa wiki moja sasa kila nikijaribu kuwapigia simu haipokelewi kwa zaidi ya saa moja.Hata...
Kama mada inavyonieleza
Kuna hiki kitendo cha dailysis pale Bugando hospital mambo ni ovyo sana
Kwanza wahudumu hasa wa kike kwenye kile kitengo hawana kauli nzuri kwa wagonjwa wanaokuja kusafisha damu
Suala la kuwatoa wagonjwa kwenye mfumo baada ya kumaliza matibabu nalo ni kero wahudumu...
Wabunge watatu wa ajali ya Dodoma wahamishiwa MOI.
Wabunge hao ni Mwakilishi wa Jimbo la Magomeni Zanzibar, Mwanakhamis Kassim Said, Mwakilishi wa Jimbo la Amani Zanzibar, Abdul Yusufu Maalim pamoja na Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Mwanza, Furaha Matondo.
Connecting dots..
Kama kuna wanasiasa nchini walioisanua ishu ya ADANI kupewa kitengo cha makontena bandarini, basi ni Abdul Nondo. Wakati ule sisi tukiwa busy na ishu ya bandari (kubwa) waliyochukua DP World, huku nyuma serikali ya Bongo fasta fasta ilikuwa ikimsogeza ADANI Jikoni ili apewe...
Wadau hamjamboni nyote?
Taarifa kamili hapo chini kwa kimombo:
Mungu ibariki nyumba ya Yakobo
October 23, 2024
IDF: Prominent member of Hezbollah drone unit killed in airstrike
By Emanuel Fabian Follow
Today, 9:12 am
A prominent member of Hezbollah’s drone unit was killed in an Israeli...
Ajali za mabasi zimekuwa ni moja ya kilio kikubwa sana kwa wananchi na serikali kwa ujumla, taarifa kuhusu ajali za barabara ambazo zimepata kuwa ni sehemu ya kupoteza ndugu, rafiki na jamii zetu bado inaendelea kudhoofisha jamii. Ajali ya Mbeya ni moja ya ajali ambayo imeniumiza sana kiasi...
Mimi ni mteja mzuri tu wa betting companies( ambaye sometimes nabet mpaka 40M kwa mwezi). Miezi kadhaa iliyopita nilihamia Wasafibet baada ya kuona wanatoa odds nzuri na mechi nyingi zaidi in play na app yao ni user friendly( kwa hilo nawapongeza na kuwapa maua yao). Kinachonitatiza ni kitengo...
Sitambui hii kesi ni jalida namba ngapi labda ningeweza kuikomalia ila nasisitiza kuwa kutenguliwa hiyo nyadhifa isiwe ndiyo mwisho wa kesi,kesi ya ubakaji sio kesi ndogo hata kama alobakwa ni malaya.
Tunahitaji taarifa na hukumu ya kesi hii iende mahakamani.
Hii idara ya mipango miji manispaa ya Kigamboni imekua kero sana tangu wapewe madaraka ya kupitisha baadhi ya leseni za biashara.
Mimi nimeomba leseni ya guest house ambayo lazima ianzie mipango miji lakini Sasa hv Ina mwezi mzima hawajapitisha Wala kunambia tatizo nini mpaka hawapitishi maombi...
Wadau hamjamboni nyote?
IDF yaendelea kutembeza kichapo kwa Viongozi wa magaidi Mashariki ya kati
Muda mfupi uliopita gaidi mmoja anayehusuka na kitengo cha silaha na fedha za kikundi hatari cha Islamic jihad ameuawa kwa kombora la ndege.
IDF inasema kwamba al-Jabari alikabidhiwa idara/...