TCRA napenda kuwashauri kuhusiana na tovuti hasa zinazo onesha maudhui yasiyo faa. Napenda kuwashauri kuwa hakuna haja ya kufungia tovuti za ngono kwasababu tovuti hizo haziwafuati watumiaji na wala hazilazimishi watumiaji kuzifuata bali ni watumiaji ndio wanaozifuata.
Kitendo cha TCRA...
Naibu Katibu Mkuu Jumuiya ya Wafanyabiashara wa Mkoa wa Dar es Salaam, Muliro amesema: “Changamoto ya Kariakoo chanzo ni Bandarini kwenye kitengo cha Forodha, pale mifumo ya kodi si rafiki, ukitaja thamani ya kodi halisi hauwezi kutoa mzigo.
Kinachofuata unashirikiana na makamishna wa Forodha...
Suala la kulipa kodi ni suala la kizalendo hii elimu inatakiwa iwe inawekwa kwenye mitaala ya shule zetu, mifumo yetu ya elimu imejikita zaidi kwenye kuajiriwa hivi majuzi imekuwa kama kauli mbiu ya serikali Kwamba watu wajiajiri kwani serikali haina ajira za kuwapa..inasikitisha sana inapotokea...
Kwa mwenye kujua, hivi watu wanaofanya hii kazi ya kikatili wanakuwa na sifa gani za kupewa hii kazi ndani ya Kitengo?
Kama ni vibarua, Je, hununuliwa vitu kama bangi waweze kuifanya hiyo kazi pasipo kujali wanachokiofanya?
Au watu wakishapata ajira, baadhi yao hupangiwa hii kazi wapende...
Wizara ya Afya imeendelea kuboresha mikakati ya kuokoa maisha ya watu kutokana na majanga na ajali kwa kuanzisha Kitengo mahsusi kitakachoshughulika na kuokoa maisha ya watu kutokana na ajali.
Hayo yamesemwa na Waziri wa Afya Mhe. Ummy Mwalimu leo akiwa katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa...
Maafisa hao 21 watakaoanza kuhojiwa leo na Kitengo cha Mambo ya Ndani (IAU) wamesema walikuwa wakifanya kazi kwa maelekezo ya kiongozi huyo hivyo wanataka naye ahojiwe.
Mmoja wa maafisa amesema "Kwa siku mbili tumekuwa tukihojiwa juu ya mambo ambayo hatuelewi. Tunayosikia ni masuala ya Mauaji...
Ni baada ya Rais William Ruto hivi karibuni kusema Maafisa wa (SSU) wanahusika na mauaji na kupotea kwa watu katika mazingira ya kutatanisha.
Wamewekwa chini ya ulinzi na kuhojiwa kwa saa 48 wakituhumiwa na kupotea kwa Zulfiqar Ahmad Khan na Mohamed Zaid Sami Kidwai, wafanyabiashara wa Kihindi...
Sasa ni wakati wa kupindua meza trafic police wachaguliwe na kitengo maalum badala ya kuteuliwa na maRPC wa mikoa kwenda kuwakusanyia fedha barabarani.
Iwapo MaRPC Watson dolerà jukumu hilo Jeshi la polisi litaluwa Jeshi la kisasa lisilo na rushwa barabarani.
RPC akimteua trafic lazima...
Hawa utumishi ndio ilikuwa fursa ya kutatua changamoto za vijana kwenye mfumo uombaji wa ajira kwa kanda zote kipindi hiki cha nane nane kupunguza usumbufu wanaopata vijana,cha ajabu tafuta huwaoni hasa kanda ya nyanda za juu kusini inayofanyika mbeya wenzenu karibia wote wapo. ninyi mnakwama wapi?
Kufuatia dili nono walilo saini Simba Sc leo na kampuni ya michezo ya kubaatisha ya M BET ni wazi Simba Sc ina stahili kongoleee.
Na pongezi kubwa zinakwenda kwa kitengo cha inteljensia ambao wali angazia ili diki mapema kisha waka nyutii kimyaa kisha kumcholesha aliyekuwa mzamin wa zamqn kwa...
Kitengo cha IT kinacho shungulika na kuratibu mambo ya kuweka ratiba za train kutoka sehemu moja kwenda nyingine kimekuwa mwiba(kichomi) kwa wateja ambao wanatumia website za TRC kupata hudumu za tiketi.
Kwanza kabisa kumekua na tatizo la usumbufu wa Internet katika website zao yaani kupata...
Ni muhimu sana kitengo chetu cha graphics kiwe very careful katika propaganda za kuwafurahisha wanachama na mashabiki wetu kwani katika kundi la wajinga wwalio wengi kuna wajanja wachache wana o notice vitu vidooogo kama vile FONTS zilizotumika...kwenye picha ya okrah weupe haujatolewa vizuri...
Kilio chetu kwa mkuu mkoa DSM sisi wananchi mkoa DSM kuna tabia sasa imerudi ilikuwepo zamani ikaondolewa wakati fulani sasa imerudi tena kwa kasi.
Kuna kampuni zimesajiliwa sijui na TARURA kukamata magari barabarani pale unaposimama na kupaki mahali au gari ikiwa imeharibika njiani.
Kwanza ni...
Kitengo alichotoka akiwa Meja Jenerali halina ubishi kuwa anafaa na anastahili kuwa Mkuu mpya wa Majeshi nchini Tanzania.
Na hata Kimuonekano tu anaonekana ni Mtu wa Kazi Kweli na nasikia ( naendelea Kuthibitisha bado ) kuwa anatoka katika Kikosi Maalum 'Wazee wa Sanga Sanga ' hali iliyonifanya...
Jameni Warusi wanalo, ni mwendo wa nchi kusimamiwa kijeshi, ujikune uone.
Kule Ukraine wanajeshi Warusi wanauawa kwenye vita visivyokua na umuhimu wowote kwa nchi, huku ugumu wa maisha ndani ya Urusi unazidi kukidhiri, halafu wasimamiwe kijeshi.
===
Russia’s Interior Ministry has created a new...
Wakili Busisiwe Mkhwebane anadaiwa kutawaliwa na shutuma za upendeleo wa kisiasa ambapo idadi kubwa ya uchunguzi wake toka ateuliwe mnamo 2016, umekataliwa na Mahakama, na hivyo kuzua maswali kuhusu kustahili kwake kushika wadhifa huo.
Taarifa iliyotolewa na msemaji wa Rais Ramaphosa inasema...
Kitengo cha kudhibiti fedha haramu Nchini Tanzania kimeelemewa na miamala iliyotiliwa
mashaka ambayo inatakiwa kufanyiwa uchunguzi.
Hayo yamebainishwa na Makamu Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Bajeti, Omary Kigua, Juni 7, 2022 Bungeni Jijini Dodoma akiwasilisha taarifa ya kamati...
Kitengo cha polisi ya DCI cha Kenya kinaheshimika sana. Serikali ya Ushelisheli imekimbilia Kenya na kuomba msaada wa Directorate of Criminal Investigation (DCI) kuchunguza kesi iliyowashinda kutegua.
https://www.kenyans.co.ke/news/75794-seychelles-govt-hires-dci-solve-complex-
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.