kitengo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Je, ABC bank wanatoa mikopo Kausha damu? Nimestaajabu sana

    Nimewasiliana na wakala wa Bank ABC juu ya mkopo Tazameni wenyewe, naomba ABC bank mtolee ufafanuzi huu ni mkopo au kausha damu? Hivi mtu ukope milionin14 urushe 39 huu si wizi kabisa? Ndugu watumishi wa umma pamoja na walimu epukeni mikopo Najuta sitarudia tena!
  2. A

    DOKEZO Serikali iajiri Wakufunzi MUHAS, Kitengo cha Sayansi ya Tiba kuna changamoto kubwa

    Sisi Wanafunzi wa Shahada ya Kwanza ya Sayansi ya Tiba kwa njia ya Vitendo hapa Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi Shirikishi Muhimbili (MUHAS) tunaomba Serikali au Wizara husika iajiri Wakufunzi wa kutufundisha maana idara yetu haina Wakufunzi walioajiriwa. Wanaotufundisha wanajitolea kutoka...
  3. Wizara ya Mifugo ichunguze. Vijana wa viatamizi waliomaliza Mafunzo wanatupwa maporini utafikiri wao ndo wananenepeshwa na siyo ngombe

    Kuna uwezekano Mama yetu Samia anahujumiwa. Serikali ichunguze wasimamizi wa Mradi wa vijana BBT- Mifugo. Kuna haya mambo yanayotia kinyaa; 1. Vijana waliahidiwa kukaa mwaka mmoja kambini wakipata mafunzo ya unenepeshaji mifugo. Kinyume, wamekaa mwaka mmoja na nusu kwa mahangaiko yasiyo ya...
  4. M

    SoC04 Nafasi ya madaktari kike na wahudumu wa kike hukatika katika utoaji wa huduma za afya

    Serikali inapaswa kuongeza idadi wa madaktari wa kike ,ili Wawa hudumie Wana wake pale wanapofika hospitalini. Kufanya hivyo kutapunguza unyanyasaji wa kijinsia na kuongeza ufanisi wa kazi. Kwani ni vyema mwanamke akihudimiwa na mwanamke mwenzie ,hasa pale mgonjwa anapotakiwa kupata...
  5. Kitengo Maalum Kuanzishwa Kusimamia Mikopo ya 10%

    KITENGO MAALUM KUANZISHWA KWAAJILI YA KUSIMAMIA MIKOPO YA 10% Naibu Waziri OR-TAMISEMI anayeshughulikia Elimu Mhe. Zainabu Katimba (Mb) amsema serikali imefanya maandalizi makubwa katika usimami wa mikopo ya 10% kwani imeamua kuanzisha kitengo maalumu cha usimamizi wa Mikopo hiyo kwa ngazi ya...
  6. JWTZ liwe na kitengo cha elimu kwa raia, kuna upotoshaji mkubwa kulihusu

    Wiki iliyopita katika mizunguko yangu ya kusaka noti nilipanda daladala iliyokatiza Kurasini, kuna mahali magari yakasimama kuruhusu wanajeshi wengi waliokuwa wakivuka barabara kwa makundi huku wakiimba nyimbo zao. Kama mnavyojua Watanzania ni watu wanaopenda na wazuri sana kuanzisha soga...
  7. Waziri Bashungwa: Kitengo cha TECU Kuimarishwa, Kutoa Fursa kwa Vijana

    KITENGO CHA TECU KUIMARISHWA, KUTOA FURSA KWA VIJANA: WAZIRI BASHUNGWA Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa amesema Wizara ya Ujenzi kupitia Wakala ya Barabara (TANROADS) itaendelea kukiimarisha Kitengo cha Usimamizi wa Miradi kutoka TANROADS (TECU) ili kiweze kusimamia utekelezaji wa miradi...
  8. Kutokana na ukosefu sugu wa vitendea kazi Jeshi la Zimamoto napendekeza liunganishwe na kiwe kitengo ndani ya jeshi la polisi

    Siku za nyuma kidogo nilipiga simu jeshi la zimamoto na katika maongezi yetu na askari aliyekuwa mapokezi nikamuuliza ni kwanini huwa wanachelewa kufika eneo la tukio panapotokea ajali ya moto na hata wakifika huwa hakuna msaada wanaotoa. Alichonieleza ni kuwa sio kama wanapenda kufanya hivyo...
  9. M

    Vitengo vya habari viwe makini katika video na picha za Rais zinazotumwa kwa jamii

    Jana nimeona clip ya mh rais wetu mpendwa mheshimiwa ukht Samia kuhusu taarifa ya kifo cha mzee Mwinyi Clip ile inamakosa yamejitokeza ambayo mh rais hakupenda yafike kwa jamii lkn yamefika. Wakosoaji wa kisiasa wanatumia fursa hio. Ushauri Taarifa kama zile zisiwe live zirkodiwe zieditiwe...
  10. Leo Tanesco itakuwa kuna intern kitengo cha switch ya kukata umeme. Wanakata kila baada ya nusu saa.

    Naamini kabisa leo kuna mtu anapata mafunzo kwa vitendo kwenye kitengo cha kukata umeme hapo Tanesco. Maana kila baada ya nusu saa wanakata. Nimekaa hapa nawahesabia tu.
  11. Imekaaje kampuni ya kutoa huduma ya mawasiliano kutokuwa na kitengo cha huduma kwa wateja?

    Naona Vodacom wame amua kutoa huduma za customer service za moja kwa moja yaan namba 100. Na TCRA wapo kimyaaa, jamaa nawapigia kuwapa taarifa wafunge namba yangu imeibiwa usiku huu ila ajabu ukipiga simu namba 100 kuna option 2 tu ni either uchague 1 au 2 na zote izo hupati nafasi ya kiongea...
  12. A

    DOKEZO Hospitali ya Halmashauri ya Kibondo kuna uonevu mkubwa kwa watumiaji wa Bima

    Mapema jana(Novemba 30, 2023), wagonjwa tuliokuja hapa hospitalini kutibiwa tulikutana na kadhia ya kutukanwa na muhudumu aliyekuwa chumba cha wagonjwa wa nje(OPD) wanaotibiwa kwa bima. Mhudumu huyo alituweka benchi tangu saa tatu asubuhi Hadi saa kumi na nusu jioni aliporudi akatuambia muda...
  13. Kitengo cha Huduma kwa Wateja TANESCO kinafanya kazi chini ya kiwango

    Moja kati ya changamoto kubwa ambayo Watanzania tunayo kwenye huduma zenu ni kuhusu kuwahudumia wateja au watu wenye uhitaji. Niende moja kwa moja kwenye hoja yangu ya msingi, kwa miezi kadhaa nimekuwa nakwaruzana na watu wa TANESCO kuhusu huduma kwa wateja “Customer Service”. Inawezekana...
  14. Kitengo cha uamasishaji Yanga imefeli sana

    Timu ya Yanga imepata nafasi ya kuingia katika tuzo za CAF katika vipengele viwili.. Cha kwanza ni kipa bora wa msimuNa ya pili ni klabu bora ya msimu. Ukiangalia, tokea ushindi wa goli tano zidi ya mtani wake wao wamekomaa na ishu hiyo hiyo moja na wakati mechi imeisha na hata ukisema...
  15. Uonevu wa Jeshi la Polisi kitengo cha Usalama Barabarani wilayani Rombo

    Askari polisi kitengo cha usalama barabarani mkoani Kilimanjaro wilayani Rombo wanaonea madereva wa daladala kwa kuwaandikia faini wakiwakuta wakiwa wanapakia sehemu zenye parking na kibao kinaruhusu kupakia na kushusha. Mimi ni mhanga wa hili tukio nitashusha screenshot ya faini.
  16. Kitengo cha maudhui ya mitandaoni cha Israel kinaongozwa na wahuni au watu wasiojitambua

    Toka huu mzozo wa Israel na Palestine kushika kasi kwa sasa. Kuna baadhi ya mambo ya nimeyang'amua yanayo onesha upuuzi wa idara mbalimbali au vitengo mbalimbali katika taifa la Israel. Moja ya kitu kinacho nishangaza na kunipa mashaka juu ya utimamu wa kiakili wa watu wanaongoza utoaji wa...
  17. Yanga wapewe maua yao kwenye kitengo cha Habari lakini tovuti rasmi ni kituko, imekachwa, ina muonekano kama blog za udaku. Mtutolee hii aibu

    Ni kweli Yanga ndio walikuwa na tovuti mapema zaidi kuanzia mwaka 2012 tofauti na Simba walioanza kuwa na tovuti mwaka 2019 lakini kinachoendelea kwenye tovuti ya Yanga ni aibu na wala hakiendani na uzito wa idara ya habari inayofanya makubwa kwenye mitandao ya kijamii. Daima mbele nyuma mwiko...
  18. Tanzania: Kila anayeteuliwa anaitwa "Kitengo" hivi Wakulima na Wafanyakazi hawawezi kuteuliwa?

    Hii Nchi ni dhahiri sasa kwamba Wananchi wake wamechoka kuwaza , nadhani hali hii inatokana na dhiki zinazowakabili raia ikiwa ni pamoja na umasikini wa kutupwa pamoja na mgawo kabambe wa umeme . Yaani kila mtu ambaye siyo Mtoto wa kiongozi akiteuliwa kushika wadhifa wowote anaonekana ni...
  19. R

    Kwanini nchi haina Kitengo cha Intelijensia ya Uchumi?

    Muundo wa Serikali ulivyo ni wazi hatuna kitengo kinachoratibu na kusimamia intelijensia ya uchumi. Kama mipango yetu ingeongozwa na intelijensia ya uchumi maana yake sera zetu zingeeleweka hadi ngazi ya mtaa ila kwa sasa hata mawaziri hakuna ajuaye tuna threat na opportunity gani kisekta...
  20. Angola walitangaza zabuni na DP World ikashinda na sasa yasimamia kitengo cha makontena bandari ya Luanda

    Naam, ni DP World Luanda Port. Bandari ya Luanda ni moja ya bandari kubwa nchini Angola kati ya bandari zake zikiwemo za Lobito na Benguela ambazo zipo pembezoni mwa bahari ya Atlantic. Lakini serikali ya Angola kwa kuona ufanisi mdogo uso na tija kwa uchumi wake ikaamua kutafuta mzabuni ambae...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…