Wakati serikali ya awamu ya Tano imeingia madarakani, raisi wa wakati ule kila alipopanda majukwaani alikuwa anajibizana na mitandao ya kijamii na baadae walijitokeza wazalendo wa kujibizana na mitandao.
jambo hili linajirudia katika awamu ya sita, tunaona jinsi Raisi wetu anavyojaribu kujibu...