Kocha Pablo amepiga teke kiti wakati mechi ikiwa inaendelea. Hebu tukumbushane maana sikumbuki aina ya adhabu aliyopewa na TFF, bodi ya ligi au serikali kwa kitendo kile alichokifanya siku Ile. Kiti ni Mali iliyokusudiwa kuharibiwa kwa sababu zisizofahamika.
Haifahamiki hasa kwanini alikipiga...