kitila alexander mkumbo

Kitila Alexander Kanyama Mkumbo is a Tanzanian politician and an academic professor.

View More On Wikipedia.org
  1. Mafyangula

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kitila: Mmeteseka sana na mwendokasi ila juzi Rais ametoa amri mabasi yaingie watu wake waache kuteseka

    Mgombea Ubunge wa Jimbo la Ubungo kupitia CCM , Professa Kitila Mkumbo amesema Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kutambua kadhia wanayopitia wananchi juu ya usafiri wa mabasi yaendayo haraka (mwendokasi) alielekeza kuharakishwa kwa taratibu za kuondosha mabasi bandarini ili yaanze kazi haraka na...
  2. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Kitila afafanua Tanzania kukua Kiuchumi kuliko mataifa mengine

    Wakati Serikali ikiwasilisha tathmini ya hali ya uchumi wa Taifa kwa mwaka 2024 na mpango wa maendeleo kwa mwaka 2025/26, baadhi ya wananchi na wachambuzi wameibua maswali kuhusu tafsiri ya ukuaji wa uchumi, hasa kufuatia kauli ya kuwa “uchumi wa Tanzania umeendelea kuwa imara katikati ya...
Back
Top Bottom