kitoto

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. B

    Huyu Mwanachuo Kutoka Temeke Dar, Pale Makerere University ametutia aibu kwa Maswali ya kitoto aliyomuuliza Mh Tundu Lissu. Hajatuwalilisha vyema.

    Ramadhan Kareem, Kwaresma Njema. Jana Chuo Kikuu cha Makerere Nchini Uganda kimeturudisha nyuma kidogo enzi za siaaa za Hoja na Zenye Tija. Kimeturudisha kwenye zile siasa za Critical Thinking ambazo Magwiji wa Africa Mashariki na Afrika yote ilizitumia kulete Ukombozi, siasa za kina Nelson...
  2. LA7

    Siangaliagi SAFARI CHANNEL kwa sababu ya Mambo Kama haya ya kitoto kabisa

    Yaani mnatuonyesha vitu ambavyo hata kwenye mti karibu na kazini kwangu ninapopumzikia naviona Tena zaidi ya hivyo vya kwenye channel yenu.
  3. LIKUD

    Kitoto cha 2006 kimegonga mwamba kwa Likud

    Jina : Zuu( sio jina lake halisi) Age : Miaka 18 Mwaka wa kuzaliwa : 2006. Elimu: Form 4 failure mwaka 2023. Mahali kinapoishi: Ilala Rural ( Uswazi zinapo trend ngoma za singeli. Kila nyumba muziki ni " Sicheki na wowote...") Nakifahamu tangu mwaka jana nilikuwa nakutana nacho uswazi mara...
  4. Dr Jeremiahs

    Raha ya mwanamke awe na akili za kitoto sio unakuwa na mwanamke akili nyingi mpaka anafatilia mpaka vita vya Ukraine

    Kuna raha ya kuwa na mwanamke Ana akili za kitoto kidogo ndani pachangamke, awe mshamba kiasi sio unakuta una mwanamke ana AKILI nyingi mpka unatumia nguvu nyingi kumdanganya. Unakuta mwanamke anafatilia Uchaguzi wa Marekani kwa umakini, Channel zake ni ITV na BBC Tu. Anajua taarifa za vita ya...
  5. Chizi Maarifa

    Usanii wa Mwigulu Nchemba ni wa kitoto sana. Kwamba haya ndo Watanzania wanataka?

    Huyu jamaa ni Dr. Ana usanii wa kitoto sana. Yaani hapa ndo anaonesha nini?katika miaka hii amechaguliwa anaonesha nini? Kuwa yeye ni mtu wa hali ya kawaida? Mbona watoto wao wanasoma shule za gharama sana na si hizi za telemka tukaze? Mbona miaka yote ananyoa sehemu za gharama sana na si hii...
  6. Crocodiletooth

    Guinea na vijisababu vyao vya kitoto baada ya kunyukwa na taifa star!

    GUINEA WANTS TANZANIA OUT OF #AFCON2025 Guinea has asked African football governing body, CAF to nullify Tanzania's #AFCON2025 qualification due irregularities cited in a report submitted by the West Africans. In a game played at the Benjamin Mkapa stadium on Tuesday, Guinea says Tanzania...
  7. Mindyou

    Makonda ajibu tuhuma za kumpiga risasi Tundu Lissu. Asema Lissu ana matatizo ya akili, aende Milembe

    Baada ya kukaa kimya kwa muda mrefu, leo akiwa anawasilisha ripoti yake ya miezi 6 ya kuwa Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Makoa ameamua kujibu mapigo. Kama mtakumbuka, wiki chache nyuma Lissu alimtuhumu Makonda kuhusika na jaribio la kumuua lililofanyika mwaka 2017. Akiongea na wanahabari leo...
  8. K

    Tanzania imekuwa nchi ya kitoto toto! Hatuku makini kama zamani

    Tanzania ya sasa sio ile ya zamani. Pamoja na ukuaji wa habari na teknologia kuna ongezeko kubwa la watoto na vijana wengi. Umri wa kati Tanzania ni miaka 19. Tusishangae kuona wasanii wamejaa kwenye mikutano ni kwasababu yangu vijana wadogo. Kijana wa miaka 21 hawezi kujali katiba au kuelewa...
  9. Bemendazole

    Nimetoka kukilamba block kitoto cha 2000!

    Kilikuwa kinapenda kula vijisenti vyangu ila mzigo kinabana. Kwenye maslahi kuna majukumu. Vyangu kale bure vya kwake agome kutoa why? Nimekalamba block kasinizoee kabisa.
  10. W

    Ni kitu gani kinakufanya ujue “Restaurant” bei yake sio za kitoto

    Kuna restaurant niliwahi kwenda Masaki kufika tu mnafunguliwa mlango na mzigo mnapokewa nikajiambia tu bora nilibeba kadi yangu ya benki ingekuwa fedhea 😂 Pale Hyatt ni hoteli lakin wanakufungulia hadi mlango wa gari. Mdau wewe Ni kitu gani ukikikuta kwenye mgahawa unajua bei lazima itakutoa...
  11. U

    TP MAZEMBE wanajaribu kufanya uhuni wa kitoto sana dhidi ya Singano.

    Oneni wenyewe
  12. LIKUD

    Goli la Mudathiri kwenye mechi ya jana lilivyo nisaidia kupata mchumba jana Uwanja wa Mkapa

    Kwa mfumo ambao Mungu ameutengeneza huu ulimwengu, you don't chase for the things that you want, you attract them. How do u attract them? By positioning yourself accordingly. All I want in this life of sin is having good time and having good time only. Popote ninakapo kwenda ninakwenda...
  13. OKW BOBAN SUNZU

    Ujinga niliokutana nao wakati na-date na kitoto cha 2000s

    Unajua sio kitu ubaki kusimuliwa, mengine inabidi uonje ili kujua mambo mengi hata kama sio kila kitu. Kwa hiyo wakati fulani nikataka kuonja radha ya katoto ka miaka ya 2000s. Wakati huo kalikua na miaka 21. Kale katoto ndio kalitoka kumaliza degree, kwa hiyo nikajiaminisha atakuwa anatumia...
  14. Bujibuji Simba Nyamaume

    Kwanini wanawake wengi huwaona waume/wanaume zao kama hawana akili au wana akili za kitoto?

    Nimekuwa nikufuatwa na wamama/ wanawake na hata mabinti wa rika mbalimbali wakiomba ushauri wa mambo ya kiuchumi na mahusiano. Ila katika malalamiko mengi utasikia mwanamama akilalamika kwamba mwenzangu ana akili za kitoto. Mwingine utamsikia akisema kabisa kwamba mume wangu ana akili za...
  15. SAYVILLE

    Kocha Gamondi "Kombe la Shirikisho ni la kitoto, huku Klabu Bingwa ni kugumu sana, sidhani kama tutafuzu"

    Katika press ya kabla ya mechi ya Yanga vs Mtibwa, Kocha Gamondi alisema ukweli mchungu ambao inawezekana wanachama, mashabiki na wapenzi wa Yanga wangekuwa wanajua ngeli na ung'eng'e wakaweza kumuelewa, angekuwa na wakati mgumu sana. Gamondi alianza kwa kuomba msamaha kwa wale ambao...
  16. C

    Visingizio hivi vya Kipuuzi na vya Kitoto hatuvitaki, tunataka Ushindi leo kwa Waarabu

    "Mabegi yetu yamechelewa kufika, tunahisi ni Hujuma na tumeshindwa kufanya Mazoezi na kuna Baridi Kali sana" amesema Kiongozi wa Yanga SC aliyeambatana na Timu huko nchini Algeria wanakocheza leo. Chanzo: Sports Extra Clouds FM jana Usiku Ninawatakia tu kila la kheri Waarabu.
  17. Hance Mtanashati

    Diamond anaona mbali sana, hakukosea kabisa alipoimba Makonda baba lao!

    Tuseme tu ukweli, mganga aliyempata Makonda ni kiboko, asimuache kabisa. Maana kutoka kuchukiwa na wengi mpaka kuwa kipenzi cha wengi si jambo dogo ujue. Ila yote tisa, kumi ni hili suala la kuwawawashia moto mpaka Mawaziri, jambo ambalo hata Mh Rais hawezi kulifanya. Ndio maana Mawaziri...
  18. K

    Makonda anaonyesha tabia zetu za ushabiki wa kitoto zinaturudisha nyuma

    Watu wengi wamekuwa na ushabiki sana wakati huu Makonda kupewa usemaji wa CCM. Ukianza kuuliza maswali muhimu Je Makonda kafanya nini cha maana kimaendeleo wakati wake? Hakuna majibu ya maana. Wakati bandari inapewa DP world bila kuweka mikataba mingine wazi, nchi ina tatizo la umeme, kampuni...
  19. M

    Kama unataka kucheka tongoza wanaume. Wataongea kama kitoto cha miaka mitatu

    Home Arusha, Baba Mngoni, mama mchagga Wanaume tupeni uzoefu mlipotongozwa live live bila tafsida na wanawake. Personally huu wehu alinifundisha mwanachuo mwenzangu fulani tukiwa Kenya. Tukichoka kusoma ni muda wa kuanza kutongoza wanaume, wakaka, wababa wanajiona wajanja kuongea sana sasa...
  20. Kichwamoto

    Mkwara wa kukwamisha maandamano ya Watanganyika kuhusu Mkataba wa Bandari ni wa kitoto sana

    Hey habarini nyote, Nimesikitika na kutema mate na kusonya sana utoto wa hatua ya police kuhusu maandamano ya amani na yenye nia njema kufikisha ujumbe wa kupinga mkataba mbovu na wa kitumwa na usiofaa popote Duniani kote. Ni zumbukuku na mazumbukoko tu ndio wanaweza kua na akili za kengeza...
Back
Top Bottom