Hivi aina hii ya music maDJ nani kawadanganya kila mtu anaipenda? Mnadhan kila mtu anavutiwa na ujinga wa hizo viral za tiktok?
Nipo sehemu moja hapa naandika kwa uchungu sana sababu DJ toka saa nne anapiga huu upuuzi tu, Malaya wanasimama juu ya meza yaani kero tupu. Sehemu yenyewe wanajiita...
Pongezi kwa shule zote zinazobakiza watoto kusoma wakati wa likizo. Kama nchi tunatakiwa kufurahia watoto wakisoma sana, wasome kadri wanavyoweza.
Tangazo la kuzuia watoto kubaki shuleni kusoma wakati wa likizo lina lengo gani hasa? Maana ukiangalia siku wanazosoma watoto wa Tanzania kwa...
Staa wa Muziki wa Bongo Fleva na Mjasiriamali Shilole ameiweka wazi Gari ya ndoto yake anayotamani kumiliki.
Wakati akizungumza na waandishi wa habari @officialshilole ameitaja “v8 new model” ndio gari ya heshima kwake na akiongeza kwa sema Gari aina ya Range Rover ni za kitoto.
DOZEN SELECTION
William Ruto amemjibu Raila Odinga kuwa asithubutu kuingiza wananchi barabarani kwani Kenya inaongozwa kwa sheria sio maandamano.
Ikumbukwe kuwa Raila Odinga alihitisha maandamano ya kitaifa tarehe 20, jumatatu ijayo, sababu ikiwa ni ugumu wa maisha, kuporwa kwa kura wakati wa uchaguzi...
Hello habari wadau wa jukwaa la teknolojia na wanajamiiforum kwa ujumla.
Kutoka na kasi ya maendeleo ya kisayansi na kiteknolojia si ajabu tena kwa mtu kufanya manunuzi mitandaoni .
Vivyo hivo hata Tanzania kwa sasa idadi ya watu wanaofanya manunuzi hayo imeongezeka maradufu, hasa masoko ya...
Video hii ilipigwa huko Melbourne Australia. Kijana wa Kiarabu aliposhuka kwenye kibakuli (Baby Walker) na kuanza kumchimbia mkwara mbuzi Mzungu ambaye alisimama na kumpotezea kwa kuweka tu mikono mfukoni.
Waarabu kwa mikwara bana.
Sol de Mayo Dalmine
Wakati mwingine najiona Nina matatizo. Siku Moja ikiwa na jamaa zangu tukila yombe, mlevi mwenza akajifanya hamnazo. Nina tabia ya kutopenda upuuzi niwe nimelewa au kavukavu naweza chapa MTU.
Wkati flan nilimuomba jiran kwenye daladala anipishe akakataa, nikamkamata shingo na kumtupia Siri ya...
Kwa kweli level ya MASTERS ni aibu kuweka Supplementary exams kwa kuwa hii ni levo ya kujengana uelewa tu!
Mimi nashauri serikali wangeweka utaratibu wa mtu kurudia darasani kwa muda mfupi somo ambalo mtu hajafanya vizuri! au akipewa mtihani kama anatakiwa kupata A apewe sio kulazimisha marks...
Tunajua kuwa Sabaya ambaye mwanzo alikuwa 'Defiant' mbele ya 'Mamlaka' sasa 'ameufyata' na kulazimishwa na Watu wa 'Kitengo' aombe Radhi ili afikiriwe na asamehewe kisha 'Muigizaji' wa Sinema aendelee tu kupata 'Credits' kwa Kazi nzuri.
Siku zote Sabaya huwa akipelekwa Mahakamani hatuoni...
Kuna binadamu ni wanafiki sana na wanapenda kufanya maigizo Kila kunapokua na issues za Wapenzi na mapenzi ambazo zimepelekea vifo.
Ninaamini waumini wa statement hii "mkichokana achaneni kwa Amani" ni wale ambao wako na Wapenzi ambao hawajawahi kuwapenda, kujitoa, kuwalea, kuwasitiri n.k.
Kwa...
Nilikuwa nimekaa zangu kwenye mgahawa fulani. Akaja mkaka mzuri tu na alikuwa amependeza. Akakaa kiti cha mbele yangu.
"Mambo? Nimependa nikae na wewe hapa." Akaniongelesha.
"Haina shida." Nikajibu.
"Mbona huna kinywaji au chochote? Agiza chochote. Usikae kinyonge hivyo" Aliuliza.
Nikamjibu...
E bwana embu tuchangiane mawazo huyu kiumbe shetani ni kiumbe mwenye nguvu sana ,kiukweli anatisha ,ni hivi
Ameweza kumiliki jeshi la mbinguni
Ameharibu mipango mingi ya Muumbaji,
Licha ya kumjua Mungu bado anamtunishia kifua
Ametawala sehemu kubwa ya ulimwengu wa Nuru na ulimwengu wa Giza...
Wakuu,nawasalimia kwa jina la nchi yetu pendwa Tanganyika.
Jana nilikua na jamaa yangu mmoja hivi bar ya mtaani kwetu tunapiga vyombo. Sasa bana kwenye ile bar kuna bar maid tumezoeana kiaina, so jioni ile wakati kagiza kameingia na safari lager zangu zikiwa zimenikolea, nikawa nimemuita yule...
Tena nahisi huenda leo Yanga SC ikapata Karamu Kubwa (Ushindi Mnono) dhidi ya Mbeya Kwanza FC katika Mchezo wao dhidi ya Mbeya Kwanza FC katika Uwanja wa Sokoine Mkoani Mbeya.
WAZAZI ACHENI UHUNI NA VISINGIZIO VYA KIPUUZI. TOENI URITHI KWA WATOTO. ELIMU SIO URITHI
Anaandika Robert Heriel.
Yule shahidi kutoka Nyota ya Tibeli.
Andiko hili laweza waumiza wengi. Ikiwa unajihisi unamoyo dhaifu nakusihi usisome. Na ikiwa utasoma basi nisihusike na maumivu na madhara...
Uongozi wa Simba SC Pamoja na msemaji wao lopo lopo asie na weledi Haji Manara wamegundua kua tambo zao hua zinawapa morali na kubusti hari ya upambanaji kwa wachejibwa Yanga kwenye Derby.
Mara ya mwisho Haji Manara kwenye harakati zake za kuropoka kama ilivyo kawaida yake aliwaita wachezaji wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.