kitoto

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Amapiano ni mziki wa kitoto

    Hivi aina hii ya music maDJ nani kawadanganya kila mtu anaipenda? Mnadhan kila mtu anavutiwa na ujinga wa hizo viral za tiktok? Nipo sehemu moja hapa naandika kwa uchungu sana sababu DJ toka saa nne anapiga huu upuuzi tu, Malaya wanasimama juu ya meza yaani kero tupu. Sehemu yenyewe wanajiita...
  2. Katazo la shule kutoendelea na masomo wakati wa likizo ni la kitoto sana. Pia likizo ndefu moja ifutwe

    Pongezi kwa shule zote zinazobakiza watoto kusoma wakati wa likizo. Kama nchi tunatakiwa kufurahia watoto wakisoma sana, wasome kadri wanavyoweza. Tangazo la kuzuia watoto kubaki shuleni kusoma wakati wa likizo lina lengo gani hasa? Maana ukiangalia siku wanazosoma watoto wa Tanzania kwa...
  3. Shilole: 'V8 ndio gari ya Heshima sio Range Rover gari ya Kitoto hiyo'

    Staa wa Muziki wa Bongo Fleva na Mjasiriamali Shilole ameiweka wazi Gari ya ndoto yake anayotamani kumiliki. Wakati akizungumza na waandishi wa habari @officialshilole ameitaja “v8 new model” ndio gari ya heshima kwake na akiongeza kwa sema Gari aina ya Range Rover ni za kitoto. DOZEN SELECTION
  4. B

    Huko Kenya moto si wa kitoto

    William Ruto amemjibu Raila Odinga kuwa asithubutu kuingiza wananchi barabarani kwani Kenya inaongozwa kwa sheria sio maandamano. Ikumbukwe kuwa Raila Odinga alihitisha maandamano ya kitaifa tarehe 20, jumatatu ijayo, sababu ikiwa ni ugumu wa maisha, kuporwa kwa kura wakati wa uchaguzi...
  5. Kamati ya Ujenzi CHADEMA: Jengo la chama Iringa, tunaomba michango yenu

    Yaani mjenge ofisi Iringa huku bado mmepanga Ufipa .👇
  6. SPEEDAF Carrier na uhuni wenu wa kitoto mnaotufanyia

    Hello habari wadau wa jukwaa la teknolojia na wanajamiiforum kwa ujumla. Kutoka na kasi ya maendeleo ya kisayansi na kiteknolojia si ajabu tena kwa mtu kufanya manunuzi mitandaoni . Vivyo hivo hata Tanzania kwa sasa idadi ya watu wanaofanya manunuzi hayo imeongezeka maradufu, hasa masoko ya...
  7. M

    Video: Mzungu alimvyompotezea Mwarabu alipokuwa akimchimbia mkwara wa kitoto huko Australia

    Video hii ilipigwa huko Melbourne Australia. Kijana wa Kiarabu aliposhuka kwenye kibakuli (Baby Walker) na kuanza kumchimbia mkwara mbuzi Mzungu ambaye alisimama na kumpotezea kwa kuweka tu mikono mfukoni. Waarabu kwa mikwara bana. Sol de Mayo Dalmine
  8. Hawa Wabrazil wa Singida Big Starz si wa kitoto

    Hapa nawacheck naona ligi kuwa ngumu sana kule top 4. Wana nguvu speed, wepesi, control na namna ya ukokotaji wa mpira na zile press ni hatari.
  9. Nilikuwa nakata bia na majamaa, mmoja akaleta za kitoto nikamchapa

    Wakati mwingine najiona Nina matatizo. Siku Moja ikiwa na jamaa zangu tukila yombe, mlevi mwenza akajifanya hamnazo. Nina tabia ya kutopenda upuuzi niwe nimelewa au kavukavu naweza chapa MTU. Wkati flan nilimuomba jiran kwenye daladala anipishe akakataa, nikamkamata shingo na kumtupia Siri ya...
  10. Serikali ya Tanzania ifute SAPU kwa Master's Level! ni aibu na mfumo wa kitoto

    Kwa kweli level ya MASTERS ni aibu kuweka Supplementary exams kwa kuwa hii ni levo ya kujengana uelewa tu! Mimi nashauri serikali wangeweka utaratibu wa mtu kurudia darasani kwa muda mfupi somo ambalo mtu hajafanya vizuri! au akipewa mtihani kama anatakiwa kupata A apewe sio kulazimisha marks...
  11. Kama Rais anataka Kumsamehe Sabaya atoke aliko amsamehe, ila haya Maigizo ya Kitoto Mahakamani wenye akili tumeyachoka

    Tunajua kuwa Sabaya ambaye mwanzo alikuwa 'Defiant' mbele ya 'Mamlaka' sasa 'ameufyata' na kulazimishwa na Watu wa 'Kitengo' aombe Radhi ili afikiriwe na asamehewe kisha 'Muigizaji' wa Sinema aendelee tu kupata 'Credits' kwa Kazi nzuri. Siku zote Sabaya huwa akipelekwa Mahakamani hatuoni...
  12. "Mkishindwana achaneni kwa usalama" kauli ya kitoto na ya kinafiki sana hii

    Kuna binadamu ni wanafiki sana na wanapenda kufanya maigizo Kila kunapokua na issues za Wapenzi na mapenzi ambazo zimepelekea vifo. Ninaamini waumini wa statement hii "mkichokana achaneni kwa Amani" ni wale ambao wako na Wapenzi ambao hawajawahi kuwapenda, kujitoa, kuwalea, kuwasitiri n.k. Kwa...
  13. Mkaka mzuri, ana magari na kazi nzuri ila amenikosa kwa utongozaji wake wa kitoto

    Nilikuwa nimekaa zangu kwenye mgahawa fulani. Akaja mkaka mzuri tu na alikuwa amependeza. Akakaa kiti cha mbele yangu. "Mambo? Nimependa nikae na wewe hapa." Akaniongelesha. "Haina shida." Nikajibu. "Mbona huna kinywaji au chochote? Agiza chochote. Usikae kinyonge hivyo" Aliuliza. Nikamjibu...
  14. Shetani ana uwezo mkubwa sana

    E bwana embu tuchangiane mawazo huyu kiumbe shetani ni kiumbe mwenye nguvu sana ,kiukweli anatisha ,ni hivi Ameweza kumiliki jeshi la mbinguni Ameharibu mipango mingi ya Muumbaji, Licha ya kumjua Mungu bado anamtunishia kifua Ametawala sehemu kubwa ya ulimwengu wa Nuru na ulimwengu wa Giza...
  15. K

    Kesi kama hii unatatua vipi wakuu?

    Wakuu,nawasalimia kwa jina la nchi yetu pendwa Tanganyika. Jana nilikua na jamaa yangu mmoja hivi bar ya mtaani kwetu tunapiga vyombo. Sasa bana kwenye ile bar kuna bar maid tumezoeana kiaina, so jioni ile wakati kagiza kameingia na safari lager zangu zikiwa zimenikolea, nikawa nimemuita yule...
  16. M

    Kwa jinsi Mbeya Kwanza FC inavyocheza Kitoto (Kiuanafunzi) zaidi nitaona 'Maajabu' makubwa ikiifunga Yanga SC leo

    Tena nahisi huenda leo Yanga SC ikapata Karamu Kubwa (Ushindi Mnono) dhidi ya Mbeya Kwanza FC katika Mchezo wao dhidi ya Mbeya Kwanza FC katika Uwanja wa Sokoine Mkoani Mbeya.
  17. Wazazi acheni uhuni na visingizio, toeni urithi kwa watoto. Elimu sio urithi!

    WAZAZI ACHENI UHUNI NA VISINGIZIO VYA KIPUUZI. TOENI URITHI KWA WATOTO. ELIMU SIO URITHI Anaandika Robert Heriel. Yule shahidi kutoka Nyota ya Tibeli. Andiko hili laweza waumiza wengi. Ikiwa unajihisi unamoyo dhaifu nakusihi usisome. Na ikiwa utasoma basi nisihusike na maumivu na madhara...
  18. Live: Newcastle Utd vs Totteham hotspurs. Achana na shoo za kitoto.

    Kwa nini uangalie mechi ya kishamba kama ya Jwaneng? Mtananange ndio huu sasa.
  19. Mind game waliyokuja nayo Simba ni ya kitoto

    Uongozi wa Simba SC Pamoja na msemaji wao lopo lopo asie na weledi Haji Manara wamegundua kua tambo zao hua zinawapa morali na kubusti hari ya upambanaji kwa wachejibwa Yanga kwenye Derby. Mara ya mwisho Haji Manara kwenye harakati zake za kuropoka kama ilivyo kawaida yake aliwaita wachezaji wa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…