Habari zenu wana JF, binafsi nimeamka asubuhi nimejihisi kuchoka na hii tabia ya kuangalia picha chafu.
Nimekuwa na tabia hii muda mrefu sasa basi.
Najua kuacha uraibu wa tabia fulani sio jambo rahisi ata kidogo, kwa sababu nilisha jaribu sana ila nikashindwa.
Wana jamvi elezeni pia visa vyenu...