kitu

Kitu (Persian: كيتو‎, also Romanized as Kītū, Kaītū, and Keytū; also known as Geytow and Gīto) is a village in Gol Tappeh Rural District, Gol Tappeh District, Kabudarahang County, Hamadan Province, Iran. At the 2006 census, its population was 313, in 79 families.

View More On Wikipedia.org
  1. LIKUD

    Kumbe wayao ni wenyeji wa mkoani Mtwara? Leo nimejifunza kitu jipya kupitia hapa JF.

    Siku zote najuaga wayao ni wenyeji wa wilayani Tunduru mkoani Ruvuma ila leo kupitia member wa Jf nimegundua kuwa kumbe wayao ni wenyeji wa Mtwara. Asante sana Jf. Leo nimejifunza kitu.
  2. Yoda

    Mpira bongo ni kama imani za dini za manabii wa kisasa, hakuna kitu tofauti utawaambia watu wakakuelewa.

    Kwa jinsi mashabiki wa mpira hapa bongo walivyojitolea maisha, akili, hisia, muda na rasilimali zao katika mpira kwa hakika tunaweza kusema mpira ni zaidi ya dini. Watu wanalala na kuamka wakizungumza mpira, wanashinda wakizungumza mpira. Jana mchana kwenye East Africa radio kuna kundi la wana...
  3. Damaso

    NSSF mmetupiga kitu kizito hapa Watanzania

    Masha Mshomba Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Taifa wa Hifadhi ya Jamii (NSSF), amebainisha mbele ya Rais Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, changamoto kubwa iliyopelekea kuchelewa kukamilika kwa mradi wa ujenzi wa hoteli ya kitalii ya nyota tano iliyopo jijini Mwanza eneo la Capripoint inayomilikiwa na...
  4. T

    Umri unaenda aisee, nachanganyikiwa! Samahani niliowatukana kwasababu umri mkubwa halafu hawana kitu

    Kiukweli hapa nilipo nachanyikiwa Sana wakuu sijui nifanyeje kiukweli Kama ingewezekana kuna uwezo wa kurudisha siku nyuma ningefanya hivyo lakini ndiyo hivyo haiwezekani hata kidogo aisee ndugu zangu mniombee kabisa Unajua kipindi Niko kijana barobaro kwenye mwanzoni mwa miaka 20 nilikuwa...
  5. W

    Ni kitu gani ulikuwa unakipenda lakini ulilazimika kukiacha kwa sababu ya hali yako ya Kiuchumi?

    Nilivyoanza kazi bwana kila weekend utanikuta kwenye expensive restaurants naenda pale kufanya kazi na kujaribu news dishes as a way ya kujipongeza baada ya wiki nzima kuwa kazini. Wee baada ya utu uzima kuhit vizuri na familia yangu kuona naweza kujitegea mambo yakageuka yaani sasa hiv hakuna...
  6. D

    Kitu gani kinafanyika Kenya hakifanyiki Tanzania?

    Wanabodi naomba tujiulize na kujadili bila ushabiki wa kivyama. Hivi ni nini hasa kinachofanyika Kenya ambacho hakifanyiki Tanzania kiasi cha kuwafanya vijana wetu kuona tuko sawa wala hatuhitaji kufa kwa ajili ya kesho yetu? Vijana Kenya wanalalamikia Uhuni katika Tume ya Uchaguzi, IEBC. Sisi...
  7. Nyanda Banka

    Siku nikiajiriwa serikalini nitafurahi sana maana sio kitu kidogo

    Kwakuwa tupo katika nyakati ambazo ajira ni ngumu Kwa watu wa hali ya chini kama sisi hivyo sina budi kufurahia hiyo siku ambayo nitapata ajira serikalini Kukosa connection na watu wakitupambania imetufanya tuone kuwa vyeti vyetu ni vipande tu vya karatasi visivyo na thamani yoyote Just...
  8. Ngengemkenilomolomo

    Kuna kitu hakipo sawa

    Wakuu Hivi karibuni kumekuwa na wimbi la viongozi kutoa kauli za kutisha, kuogofya na kutia mashaka lakini ajabu ni kwamba hawachukuliwi hatua si kwenye vyama vyao wala Serikali wanayoiwakilisha. Hii inatia mashaka na kutoa ishara kwamba kwa pamoja wameshajua udhaifu wa dereva wa gari kwahiyo...
  9. Ndondocha mkuu

    Usimpe nafasi ya pili mwanamke aliyekusaliti: Soma yaliyonikuta unaweza jifunza kitu

    Habari ya mchana wana jf Mimi ni miongoni mwa member wachache ambao hatupendi kutoa mikasa yetu humu jf lakini kwa hili lililonipata nimeona tushare tunaweza jifunza vitu flani. Mimi nina miaka 27, nilikua na mpnzi wangu ambaye tulianza uhusiano 2022 yeye sasa ana miaka 21, na pia yeye...
  10. ndege JOHN

    Natokea kanda ya kati ila nipo Kusini kwa sasa sioni tofauti kila kitu nachotaka kipo

    Ok. Historia yangu Kwa ufupi sana nimezaliwa sgd kukua sgd na shule halafu then dar miaka karibu Sita halafu kituo cha kazi kusini. Sasa kumekuwepo mada nyingi za kupapondea kusini. Kipi hakipo kusini? Je, ni azam tv? Je ni hanson choice? Je ni safari lager au castle je ni chips je ni hali ya...
  11. X_INTELLIGENCE

    Biashara ndio kitu pekee mbadala wa AJIRA

    Wasakatonge wenzangu kama mjuavyo Mimi Huwa napenda kufanya vitu ambavyo vinaweza kuacha alama kwenye jamii, japo sijabahatika kuwa miongoni mwa watoa maamuzi muhimu wa Taifa, ila amini nakwambia siku moja tutakaa na watoa maamuzi wa Taifa na watatusikiliza kwa TUO. Miezi kazaa nyuma niliazimia...
  12. Mjanja M1

    Ni kweli Watanzania hawajui Robot ni kitu gani?

    Sabasaba mambo yamenoga sana, lakini moja la Ajabu kubwa kutokea ni watu kuamini Matapeli hawa wanaojiita maroboti. Je ni kweli watanzania hawajui Robot ni kitu gani? NCHII HII KILA MTU NI TAPELI
  13. GENTAMYCINE

    Dokta Mwaka: Wanawake kufungua Miguu tu pekee haitoshi, jiulizeni na nyie mmewafanyia nini Wanaume? Acheni kutaka kufanyiwa kila Kitu

    "Na isitoshe pamoja na kufanyiwa kila Kitu na Wanaume ikiwemo hadi Kuridhishwa maradufu bado tena Wanaume hao hao Wanawajibika katika Kuwatunzeni lakini pamoja na yote haya utakuta Wanawake wao hawarudishi Uwajibikaji huo kwa Wanaume na wanadhani Kufungua Kwao Miguu kila Siku ndiyo Upendo wa...
  14. Aramun

    Dkt. Bagonza: Kama kila kitu amefanya Rais, wakija kwenye kampeni waulizeni wao wamefanya nini?

    Naunga mkono hoja, Dkt. Benson Bagonza ana hoja nzito, asikilizwe.
  15. Superbug

    Squid game ni kitu gani?

    Naomba kujua kuhusu huu mchezo kwa undani na unahusu nini?
  16. BabaMorgan

    Ukiwa una kitu unatoboa ni zamu ya king of squart.

    sema king of squart yaliyomo yamo.
  17. GoldDhahabu

    Unajisikiaje kufahamu kuwa Afrika haipo nyuma kwa kila kitu?

    Leo nilipokuwa ninaperuzi mtandao wa Quora, nilikutana na mada moja inayohusiana na mighahawa ya KFC na McDonald barani Afrika. Mmoja wa wachangiaji alieleza kuwa Afrika Kusini na Misri ndizo nchi zinazoongoza kwa kuwa na hiyo mighahawa barani Afrika. Hata hivyo, baadhi ya matawi ya KFC Afrika...
  18. Nyanda Banka

    Wanawake jifunzeni kitu kingine hapa kwa mama yake Ronaldo

    🚨🇵🇹 Je wajua kuwa Cristiano Ronaldo hakutakiwa kuzaliwa Na mama yake ? Alipogundua kuwa ni mjamzito alienda kwa Daktari kwa ajili ya kutoa mimba, kwa sababu familia yao ilikuwa masikini kiasi kwamba hawakuruhusu wapate mtoto mwingine. "Nilipokwenda kwa daktari, niliona kwamba skuweza hata...
  19. D

    Tetesi: Wachezaji karibu wote wa Yanga wana Offer mezani

    Mzee wangu yupo karibu sana na yanga, kitu watu awajui ni kwamba. First 11 ya yanga. wote wanaoffer mezani. so usishangae PACOME- Al ahly, Aziz - pirates, Bacca -AS Far, SA , max - SA , job - Europe, Yao - morocco , lomalisa - SA, Diarra - morocco, hadi Aucho ana offer mezani.. i suspect...
  20. M

    Huyo Mama anayemhoji Sativa anatia Mashaka. Kuna uwezekano mkubwa anajua kila kitu. Waliokuwepo wakati anahoji amtaji ili awasiidie Interpol

    Fuatilia kwa umakini maswali anayo muuliza. Kitalaamu tunaita leading questions. Yaani anamuuliza maswali ya majibu aliyonayo tayari . Lafudhi yake tu. Inaonyesha sio mtu wa Katavi. Cc Jebra Kambole
Back
Top Bottom