kitu

Kitu (Persian: كيتو‎, also Romanized as Kītū, Kaītū, and Keytū; also known as Geytow and Gīto) is a village in Gol Tappeh Rural District, Gol Tappeh District, Kabudarahang County, Hamadan Province, Iran. At the 2006 census, its population was 313, in 79 families.

View More On Wikipedia.org
  1. Tlaatlaah

    Umewahi kukosa kitu gani kwa sababu ya kusema ukweli?

    Katika maisha kuna baadhi ya mambo unaweza kuyapata kirahisi kwa kusema uongo au kudanganya, lakini pia kuna mambo mengine unaweza kuyakosa au usifanikiwe kwakua tu umesema ukweli. Je, ni mambo gani katika maisha ulitumia ukweli ukayakosa na ulipotumia uongo ukayapata kirahisi? Ukweli mchungu.
  2. NostradamusEstrademe

    Kila kitu sio kumsingizia shetani sasa sisi waumini tumwamini nani sasa kati ya shetani na viongozi wa dini tunaowategemea.

    HAYA NI MATUKIO MAWILI TOFAUTI YALIYOTOKEA WIKI ILIYOPITA Askofu Mkuu wa Makanisa ya Methodist, Joseph Bundala amejinyonga ofisini kwake kwa kutumia waya wa simu Chanzo mwananchi 17th May 2024 xxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxx . Inadaiwa, kabla ya kujinyonga Frateri...
  3. The patriot man

    Nifanyeje nimpende mama yangu hii kitu inanitesaa saana msaada

    Wakuu kwema? Kuna jambo limekua likinitafuna kwa miaka mingi saana kuhusu mimi na mama yangu sina hata chembe ya upendo nae ila hela namtumia namsaidia kwa maana ni Maskini samahani kwa kusema hivi. kwa kifupi kabisa mimi nimetoka kwa mama yangu nikiwa na umri wa miaka 3 nakuja kuonana na...
  4. Eli Cohen

    Kuna kitu kina nguvu katika urembo na uzuri wa mwanamke.

    Siamini eti ni mihemuko ya kihisia ndio inatufanya tu babaike na urembo wa mwanamke maana hata mwanamke mrembo anatamaniwa hadi na mwanamke mwenzake. Tangu hii dunia ianze tumeona jinsi mwanamke mrembo alivyowadondosha watu wazito na mataifa mazito. Hakuna mwanamke mrembo masikini hapa...
  5. G

    Ni mimi peke yangu? Nilikuwa na marafiki wa nguvu lakini kadri navyozidi kuwa mtu mzima nauona urafiki sio kitu cha kukipa sana uzito

    Maisha yangu kwa muda mrefu nimekuwa nikiwa mdau wa kupenda sana ku hang na marafiki, nilipofika kwenye 25 nikaanza ku hang zaidi na small circle ya marafiki watano tu ambao tupo karibu sana Kwa sasa nina 36, nimeanza kuona hata hao wachache wa karibu ni kweli tunajuliana hali, kutembeleana...
  6. MFALME WETU

    mwanamke unahitaji nini kingine ikiwa unahudumiwa kila kitu na mpenzi wako kuanzia chakula, malazi hadi mavazi?

    Pole kama hauko sawa, Mungu akufanyie wepesi. Moja kwa moja kwenye mada Binafsi nina mchumba wangu namhudumia kila kitu ambacho mwanamke yeyote aliyekamilika ataitaji pamoja na kuwa ni mwajiriwa sekta binafsi. kiufupi Madem zangu wengine nawatesa kwa kutowazingatia sana kwa sababu ya huyu...
  7. T

    Jamani, ashakum si matusi ila sisi Wabongo tuna mapungufu mengi ila kibaya zaidi tuko very very slow almost kwenye kila kitu

    Mimi mtanisamehe jamami, ngoja niseme tu najua mtanishambulia potelea mbali Leo kwenye junction, taa za green ziliwaka kuturuhusu, nyuma kuna magari zaidi ya 30, jamaa mbele yetu katangulia , bara bara iko bussy ila dereva huyo wa gari la mbele akawa anaenda very very slow kama vile yuko peke...
  8. G

    Nimepigwa na wanaojinadi wanauza sure bets fixed matches, hakuna kitu kama uhakika kwenye kubeti, ni mbinu ya kula pesa zetu tunaoingia tamaa

    Nilitembelea website flani wanaposti mikeka imetiki yani sure odds fixed matches, nikalipa dola 30 takribani shilingi elf 80 kuungwa kwenye group, humo ndani ni upuuzi mtupu game wanazoweka ni chache zenye odds za 1.01 yani ukiweka laki ushinde buku lakini ukija kwenye website zao wanadanganya...
  9. BARD AI

    Kitu gani maarufu kinautambulisha Mkoa unaotokea bila kutaja jina la Mkoa wenyewe?

    Nadhani kila Mkoa nchini Tanzania una alama yake au kitu fulani maarufu sana kinachutambulisha Mkoa bila hata kuambiwa ukiona unajua tu hii kitu ya mkoa fulani. Twende kazi wadau, nini kinautambulisha mkoa wako?
  10. Technophilic Pool

    Wataalamu wa Magonjwa ya ngozi, hii ni changamoto gani?

    Nimepatwa ghafla na hivo vipele hapo palianza kuwasha ukikuna ndo vinaumuka hivo! kwa wenye utaalam wa matatizo ya Ngozi.
  11. itakiamo

    Nimeshangazwa na vyeo hivi vya polisi

    Habari zenu wakuu, najua huku Kuna watu Wana uelewa zaidi katika hili. Nimeshangazwa na Polisi mwenye cheo kama DCP uwa RPC, hali ya Kuwa kuna polisi ni ACP au SACP ni RPCs tena wengine ni ZPC kabisa, inakuwaje hii wataalamu
  12. Molleli

    Kwanini baadhi ya wafanyakazi wanapenda kutoa 'last seen' za WhatsApp na kubaki jina pekee?

    Naombeni majibu wandewa. Kuna mmoja aliniambia wanafanya hivyo kwasababu ma boss wao huwa wanawasumbua. Je, kuna ukweli kwenye hili?
  13. Ncha Kali

    Mwanamke akipata pesa, kitu kinachomjia kichwani cha kwanza ni kujitegemea na kujitawala bila kuwa na mwanaume

    Wakati huo mwanamme akipata pesa kitu cha kwanza anachowaza ni namna gani ya kuzitumia pesa hizo na wanawake. Hii ni tofauti inayowatafuna wengi kwa kujua ama bila kujua. Utakuta wengine wikendi kama hivi ni full kubembeleza mwanamke fulani wanayemtaka akubali watoke ili wakale pesa zake...
  14. R

    Pre GE2025 CCM nilitegemea mtoe shukrani kwa Rais kwa kuleta mafuriko. Maana kila kitu anaupiga mwingi!

    Machawa fanyeni kazi yenu basi ya kusifia. Mvua hizo, mafuriko, mama Anaupiga mwingi. Naomba tumshukuru kwa mafuriko maana maisha yetu yanakuwa determined na Mama. Au nakosea jamani
  15. T

    Wapi nitapata Virtual Reality kwa hapa Bongo? Mimi ni mdau sana wa hizi kitu

    wadau mnaopenda kutumia technology mimi ni mpenzi sana wa Technology. Nlikuwa na VR moja mwaka 2019 akaja mtu akaomba na amekuwa mgumu kurudisha nimeona tu nitafute nyingine. Ile ya kwanza nilinunua Dubai. Now natafuta kwa hapa Dar. Nitapata wapi? Nahitaji ambayo itakuwa compatible na android...
  16. youngkato

    Wenye miaka zaidi ya 30, kitu gani unajutia kufanya/kutofanya kabla ya kufikisha miaka 30?

    Mimi najutia nilifanya investment badala ya kufanya savings. Mwisho wa siku biashara zimekufa sina savings hata moja. Najutia kutonunua viwanja pesa yote nikaweka kwenye miradi ambayo yote imekufa. Ongezea tujifunze
  17. Mwizukulu mgikuru

    Mzazi pambana umrithishe mtoto chochote kitu, elimu ni haki ya mtoto

    Wazazi wenzangu tupambane tuwaachie watoto wetu chochote kitu, elimu na malezi ni haki ya mtoto. Mimi Namshukuru mungu kwa hiki kidogo basi anachochakuanzia kwenye maisha yake. Tusiwe na ubinafsi, tupunguze uvivu wa kufikiri, mimi mzee wangu nilimuambia asinipe chochote ili niwe na amani...
  18. R

    Waziri Jerry Silaa ana kitu, atafika mbali, abarikiwe

    Salaam, Shalom! Nimefuatilia Kwa ukaribu jinsi waziri Jerry Slaa anavyofanya katika utatuzi wa migogoro ya ardhi, japo Bado ni mapema sana kusema kuwa anafanya vizuri, lakini Kwa sasa itoshe kusema ana kitu kinachoonekana, na atafika mbali, tuendelee kumwombea. Nimesikiliza Kwa Umakini jinsi...
  19. Abraham Lincolnn

    Hii ni kitu gani kwenye treni hii ya kisasa?

    Je, hizi ni carrier ( keria) tulizozoea kuziona kwenye mabasi ya zamani kwa ajili ya kubebe mizigo? Au ni kitu gani? Maana sote tunafahamu kwenye treni za kisasa hakuna hivyo vitu juu, huenda ni future technology! Kama ndivyo baai napenda kutoa pongezi kwa hatua hii kubwa! Muonekano wa...
  20. W

    Ukipewa nafasi ya kuwa Kiongozi kwa siku moja ni kitu gani utabadilisha cha kwanza?

    Ikitokea umepewa fursa ya kuwa kiongozi kwa siku moja, unapata nafasi ya kufanya mabadiliko katika sehemu uliyopo na kubalisha kitu kimoja kwenye sehemu uliyopewa uongoze. Ikitokea ninafursa ya kuwa kiongozi kwa siku moja, ningependa kuwa kiongozi wa taasisi ya elimu, kama chuo kikuu. Elimu ni...
Back
Top Bottom