Wengine wanasema mapenzi matamu hakuna mfano hasa mkitokea kupendana, kuaminiana, kuheshimiana nk
Wengine waliowahi kutendwa hawataki hata kusikia habari za mapenzi,
Wengine wamepoteza maisha kwa sababu ya vivu wa kimapenzi,
Wengine waliwasomesha wapenzi wao kwa gharama kubwa mwisho wa siku...