kitu

Kitu (Persian: كيتو‎, also Romanized as Kītū, Kaītū, and Keytū; also known as Geytow and Gīto) is a village in Gol Tappeh Rural District, Gol Tappeh District, Kabudarahang County, Hamadan Province, Iran. At the 2006 census, its population was 313, in 79 families.

View More On Wikipedia.org
  1. Father of All

    Je kuna kitu choche cha maana au kizuri watanzania wanaweza kujifunza au kujivunia toka CCM ya sasa na uchawa wake?

    Huwa siachi kujiuliza. Tangu CCM itekwe na mafisadi, kuna kitu cha maana au kizuri tunaweza kujivunia kama watanzania? Kila uchao, kuna matukio ya utekaji, tunapotezwa, tunatishwa, na watu wasiojulikana tunayonywa, tunadharauliwa, tunauzwa na kubinafsishwa, tunanyamazishwa, tunachanganywa na...
  2. L

    Innocent Bashungwa amejiwekea rekodi ya kupita na kufanya kazi Wizara nyingi sana.Unafikiri sababu ni nini?

    Ndugu zangu Watanzania, Katika mabadiliko ya kawaida ya Baraza la Mawaziri yameshuhudia Mheshimiwa Innocent Bashungwa akihamishwa kutoka wizara ya Ujenzi kwenda wizara ya mambo ya ndani. Hii na hatua hiyo ya kupata uteuzi mpya imemfanya kujiwekea rekodi yake binafsi na kuwa kati ya mawaziri...
  3. Mahabey

    Kipi bora kati ya kuwa winga wa kila kitu au kuwa winga wa bidhaa moja tu?

    Habari zenu wakuuu..! Hivi kipi bora kati ya kuwa winga wa kila kitu au ku-focus na bidhaa moja tu!? Naomba maoni yenu wakuu!
  4. Allen Kilewella

    Yanga msimfukuze Side Mnyamwezi. Ana kitu mtafika mbali

    Huyu kocha wenu mpeni muda. Atawafikisha mbali
  5. Nyafwili

    Ukiwa Huna Hela Kila Kitu Huwa Kinakuwa Kibaya.

    Mtu anapokuwa maskini au kukumbwa na changamoto za kifedha, mara nyingi akili yake huzongwa na mawazo ya matatizo yanayomzunguka, ambayo yanaweza kumfanya aone kila kitu kuwa kibaya. • Hii ni hali ya kisaikolojia inayotokana na msongo wa mawazo, kukata tamaa, au hata kujihisi kama hana thamani...
  6. Mkalukungone mwamba

    Kitu gani kinakata vibe sehemu za starehe?

    Kitu gani kinakata vibe sehemu za starehe? Embu tuambiane Binafsi kuombwa kumnunulia mtu vinywaji sipendi kabisa maana kuna watu ni wasumbufu kinoma. Kzi kutia huruma kuomba kunuliwa vitu tu Wewe kwanini ulikuja kwenye sehemu ya starehe bila pesa?
  7. Ngengemkenilomolomo

    Natamani kusikia Rais Samia akisema kitu, maana yanayoendelea nchini yanatisha

    Tegeta kwa Ndevu jijini DSM. Watu waliojitanbulisha kuwa ni maafisa wa TRA wakiwa kwenye gari aina ya Toyota Landcruizer, wameblock gari binafsi aina ya BMW X6 yenye namba za usajili T 229 DHZ na kumtaka dereva ashuke wanamhitaji. Dereva wa BMW amegoma kushuka na kuamua kufunga vioo na milango...
  8. K

    Pesa Sio kila Kitu unajidanganya

    Kabla ya kuja Kwa monetary system African people walikuwa wanaishi kupitia burter trade.. Msingi ukiwa ni kilimo uvuvi na ufugaji. Dunia ya Sasa Hela Sio kila Kitu kama utakuwa una moja Kati ya Amani katika familia Afya bora, Kilimo Ukiwa mkulima Kwa namna yoyote either directly or indirectly...
  9. masai dada

    Ewe unaeteseka na mapenzi amini katika muda! Muda utakuponya na kukubadilishia kila kitu

    Nikikumbuka mpaka nilipost uzi humu nyie Aiseee siamini kama sasa hivi moyo wangu umekua na ganzi kiasi hiki. Nitajaribu kuhadithia kwa mafungu mafungu Ili kwa yoyote anaepitia changamoto ya kuumiza moyo sana kiasi cha kuhisi dunia sio yako,amini katika muda. Muda huponya mioyo...
  10. Allen Kilewella

    Maadili tunayoyaamini yanatokana na kitu gani?

    Kwenye jamii zetu unaona kabisa Kuna mifumo mbalimbali inayotumiwa kutunza kitu kinachoitwa maadili. Lakini ili hayo maadili yawe maadili, chanzo chake huwa ni nini hasa. Kwa nini watu washangae mtu kuwa na mahusiano na baba/mama yake au kaka/dada yake? Kwani Baba, mama, kaka au dada, si...
  11. comrade_kipepe

    Tujifunze kitu kwa misiba ya vigogo hawa na idadi ya watoto

    Nipo nacheki hapa msiba wa Ndugulile, kuacha watoto wawili tu, pamoja alikuwa ana uwezo wa kipesa na cheo lakini kaishia kwenye watoto wawili, watoto wawili hawa naona kawakuza na kuwasomesha kwenye shule za gharama inawezekana nje ya nchi maana hata Kiswahili chao ni broken sana wanakuwa kama...
  12. E

    Maana ya hiki kitu ni nini?

    Hivi maana ya hii ni nini? Kustaafishwa kwa maslahi ya utumishi wa umma??
  13. Vanclassic

    Naomba kufahamishwa kuhusu hiki kitu..

    Habari za pilika Na majukum.. Kuna kitu Naomba kufahamu kutoka kwenu wakuu.... Hususan waliosoma chuo cha NIT.. au ambao bado wanasoma.. Nina mdg angu anasoma pale NIT ila hadi leo analalamika hajaingiziwa hela ya boom Wakat kwa madai yake ilitakiw apewe mwez Huu mwanzon (November)...
  14. chinatown

    Wazazi wenzangu embu jifunzeni kitu hapa kwa nilichokiona nikiwa safarini

    Jumapili nilkuwanasafiri na gari kutoka west kilimanjaro to Dar.sitataja gari ya abiria niliyo safiri nayo.bahati nzuri au mbaya gari haikuwa na abiria wengi mpaka tumefika marangu gari ilikuwa na abiria kumi pamoja na mimi.Tulikaa sana pale kama dakika therasini.Tukaanza safari ya DAR...
  15. Magical power

    Unalipi la kuzungumza au ushawai kula hii kitu wapi

    Unalipi la kuzungumza au ushawai kula hii kitu wapi
  16. trojan92

    Ni kosa gani au kitu gani mpenzi wako akifanya lazima umpige chini hata kama unampenda kiasi gani?

    Wakuu habari.... Iko hivi nimelata hiyo maada hapa juu sababu naona huyu mwanamke ana kila dalili ya kutofaa/ sio wife material kabisa. Mimi ndiye niliyemnunulia simu na kumfungulia hizi akaunti za social media kama instagram na Facebook. Sasa huwa sina tabia ya kushika simu yake sababu...
  17. Mtu Asiyejulikana

    Huyu Chama SImba walitubadilishia nini? kuna kitu Yanga hakipo sawa

    inawezekana kuna vitu hatufanyi au vinatuzuia kuwa Yanga ile moto moto. Huyu Chama tulimchukua kwa ajili ya nini? miaka yote tulikuwa tunasema Chama ni konokono tukaja msajili, huyu Baleke Simba waliachana naye pia hawakuona msaada kwake. tukaenda mchukua kama tulivyofanya kwa Okra. Nani...
  18. Lavit

    Uzuri wa nyimbo ni "bridges" kitu ambacho wasanii wengi wa hapa nyumbani kimewashinda!

    Nikiwa kama mdau mkubwa wa muziki wa bongo fleva huwa naona kuna kitu kabisa kinamiss! Hawa wasanii wetu wa kuimba ambao tumekuwa tukiwaita wabana pua namna yao ya uimbaji huwa haishawishi kabisa! Katika uimbaji kuna kitu kinaitwa "bridges" wasanii wengi huwa hawakizingatii kabisa, hata wewe...
  19. Mayala B

    Kitu gani kiliwafanya wazungu wa zamani waweze kuishi Afrika maporini lakin hawa wazungu wa leo hawawezi na wameshindwa?

    Aman iwe kwenu watumishi Wazungu wa zamani tulizoea kuwaona vijijin maporini kabisa wa kifanya kazi Hasa kazi kama utawa, upadre, udakitari, kilimo, na hata uwindaji Hakika waliweza na walifanikiwa Lakin basi kitu gan kimewakumba hawa vijana wa leo wa kizungu kushindwa kumudu kuishi Africa ...
  20. MakinikiA

    Zelenskyy na wenzake kimya hawajarusha tena makombora yao baada ya kitu kizito Oreshnik kutua ukraine kwa dakika 15, umbali km 1000

    JAMAA wamejifungia sehemu wanajadili jinsi walivyoumbuka wakijodanganya eti kilanja wao mkuu ameleta Patriot. Sasa cha kitu kipya Kwa jina oreshnik hili kombora lilipojaribiwa kule Russia west walidharau na kusema eti Putin kawaonyesha video game sasa dude limefyatuliwa bila vichwa vya...
Back
Top Bottom