Nchi washirika wa Israel zilipigwa kumbo uchumi wake na Covid 19, zikijiandaa kukaa sawa, zikaingia Ukrain kupambana na Urusi. Kwa sasa zimechoka na vita na zilimshauri dogo atulie kwa muda,asiende nje ya Gaza, dogo nunda. Matokeo ndo haya.Macron kashamchana live,hawana msaada zaidi, dogo kwa...