Mbunge wa Viti Maalum kutoka Mkoa wa Singida Mhe. Jesca Kishoa amekua akipambana sana kuuliza Bungeni kuhusu uboreshaji wa huduma za afya kwenye Wilaya ya Mkalama mkoani Singida na sasa Serikali ya Rais Samia imetekeleza.
Kituo cha Afya cha Gumanga kilichopo Mkalama kwasasa kimeanza kutoa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.