Kuna kijana yupo hapo kituo Cha polisi Chang'ombe temeke, anaitwa Kadoda, yeye si askari ila anashirikiana na maaskari wa hapo kubambikizia watu kesi na wakishindwa kutoa hongo ili waachiwe mwisho wa siku wanaishia jera.
Kwa kifupi huyu kijana alikuwa ni jambazi na alikaa jela kwa miaka...
Mahakama ya Korona Kinondoni Jijini Dar es Salaam, imetoa hukumu hiyo Ijumaa Septemba 22, 2023 imetoa uamuzi wa uchunguzi ilioufanya kuhusu mazingira ya kifo cha Stella Moses ambaye alifariki akiwa mahabusu katika Kituo cha Polisi Mburahati, Desemba 20, 2020, ambapo imesema kifo chake...
Mkuu wa Kituo cha Polisi Kitunda amekimbia baada ya kunusurika kuuawa na wananchi wenye hasira.
Katika tukio hilo la Septemba 18, gari la askari Polisi na Kituo cha polisi kimechomwa moto.
IGP hana habari!
==============
POLISI YAKIRI KUTOKEA KWA TUKIO HILO
Alipoulizwa na JamiiForums kuhusu...
Kwa masikitiko napenda kutoa taarifa kuwa gari inayoonekana pichani imeibwa.
Aina ya gari: Nissan Gloria
No za usajili T887 CKW
Rangi: Nyeusi, iliibwa Tabata Segerea, Dar Es Salaam.
Yeyote atakayeiona atoe taarifa kwa jeshi la polisi.
Ahsante kwa ushirikiano.
Wako
Mmiliki, Bemendazole
Hii ndio Taarifa ya sasa tunayokunong'oneza kutoka kwenye vyanzo vyetu vya Uhakika zinadai Kwamba Balozi Dkt. Wilbrod Slaa ambaye ni miongoni mwa Watetezi wa Bandari za Tanganyika, anasafirishwa Usiku huu kuelekea Mbeya, kwa lengo la kuunganishwa na 'wahaini' wenzake ili wafikishwe Mahakamani ...
Ndugu wanajamvi Habari za muda huu,
Nilifungua kesi polisi Igogo Mwanza na hii ni wiki ya tatu mtuhumiwa wangu hajakamatwa, mtuhumiwa amezidi kunitesa na kuniwinda njiani usiku ninapotoka kazini.
Mtuhumiwa alinitishia kunidhuru ila RB Inasoma Kutoa Lugha chafu, Hii Imekaaje? Na kwanini...
MBUNGE MARTHA MARIKI - SERIKALI IUNGE MKONO JUHUDI ZA WANANCHI UJENZI WA KITUO CHA POLISI KATIKA WILAYA YA TANGANYIKA
Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Katavi, Mhe. Martha Festo Mariki katika kipindi cha maswali na majibu Bungeni ameuliza mpango wa Serikali kuhusu ujenzi wa kituo cha Polisi katika...
Kituo cha Polisi kilichopo Wilaya ya Shinyanga hasa Polisi dawati la jinsia kwa kushirikiana na maafisa ustawi wa jamii wameendelea kuchukua rushwa na kuwanyima wananchi maskini haki zao hasa kwenye makosa ya ulawiti, ubakaji na makosa mengine ya jinai.
Katika sheria kifungu cha 17 kinasema...
Bodaboda Amepigwa Na Polisi Na Kumsababishia Kifo Ndipo Wananchi Wameandamana Na Kuvunja Kituo Cha Polisi inadaiwa Watu Wawili Wamesha Poteza Maisha Kutokana Na Ufyatuaji Wa Risasi Na Mabomu Ya Machozi.
Chanzo cha tukio hili ni mwendesha boda boda aliuziwa betri ya gari kumbe ilikua ya wizi...
Nimeona heading Kwenye gazeti la Nipashe kwamba kuna kifo cha kutatanisha cha Mfugaji aliyefia Mahabusu
Polisi wamedai amejinyonga kwa kutumia Chupi yake
Ngoja nilisake gazeti nilete habari yote!
---
MFUGAJI aliyetambulika kwa jina la Samweli Bulunde, anadaiwa kufariki dunia baada ya...
Kwa nini wasipewe mwili wa rafiki yao kama ndugu hawajatokea?
=======
Siku 12 zimepita huku mwili wa fundi ujenzi Gaston Moshi (25) ukiwa mochwari ya Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Dodoma kutokana na ndugu zake kutojitokeza, huku marafiki wakiiomba hospitali kuwakabidhi wakauzike.
Kifo cha...
IGP Ukitamani uwajibikaji na uwazi kwa jeshi lako we tangaza kwa vyombo vya habari kuruhuri matumizi ta teknolojia yaan Raia waruhusiwe kurekodi matukio ya polisi akiwa katika kazi zake hata ndani ya kituo cha polisi
Na iwe ni sheria na pia marufuku kumkataza raia kurekodi matukio hata ndani...
Kwenye pages mbalimbali za social media nchini Nigeria ziliporushwa video clips za msanii Kiss Daniel akikamatwa na kuingizwa kituo cha Polisi Oysterbay mjadala umekuwa si msanii huyo kukamatwa bali uzuri wa Kituo cha Polisi Oysterbay ambapo Wa Nigeria wengi walionekana kuusifia uzuri wa kituo...
Polisi wa Kituo Kidogo cha Polisi Uchira, Kata ya Kirua Vunjo Kusini, Wilaya ya Moshi, mkoani Kilimanjaro wanachangishana kumlipa shilingi 560,000 mkazi wa eneo hilo kabla ya Agosti 5 mwaka huu baada ya kuibwa vitu vyake vilivyokuwa ndani ya kituo hicho.
Vitu hivyo vilivyoibwa Julai 26, 2022 ni...
Polisi wa Solai Kenya wanamshikilia Dennis Kibet kwa kuwashambulia kituo cha Polisi na Askari Polisi kwa mawe akiwa amelewa.
.
Ambapo baada ya kuhojiwa amesema alitaka kuona akirusha mawe kituo cha Polisi kutatokea kitu gani.
.
Kibet atafikishwa Mahakamani karibuni.
...
Msichana wa miaka 13 anaedaiwa kubakwa na wanaume wanne nchini India ,anadaiwa kubakwa tena na Askari Police wakati alipokwenda kuomba msaada wa police na kuripoti shambulio la kwanza
Mamlaka ya Uttar Pradesh ilithibitisha Kwamba police huyo amekamatwa kutokana na kitendo chake hicho kilichozua...
Muda mfupi baada ya RC wa zamani wa Dar es Salaam, Paul Makonda kuandika mtandaoni kuwa kuna makundi matano yanamuwinda ili kumuua, Jeshi la Polisi limesema kama kweli ana hofu anatakiwa aende kutoa taarifa Kituo cha Polisi.
Akizungumza na Kipindi cha Jahazi cha Clouds FM, Kamanda wa Polisi...
Sitaandika yote kuficha kujulikana Kwasababu za usalama wangu na sitataja Kituo (mojawapo ya vituo vya police DSM) Kwasababu walio nifanyia hayo mateso, wapo na wanaendelea na utumishi wao kuumiza wa Tanzania.
Sitosahau mwaka 2021 mwezi March nilipokea simu ya mtu aliyejitambulisha kuwa ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.