Wanaukumbi.
⚡️Vyombo vya habari vya Kiebrania:
Hillel Bitton Rosen: Ndani ya bomba la maji taka-hivi ndivyo askari wetu walivyoonekana leo, mara mbili, wakati wa operesheni za kengele katika eneo la kati, kutokana na ukosefu wa nafasi za ulinzi katika msingi mkubwa na wa kati. Makamanda wa...
Kituo cha kujiandikisha kupiga kura kimewekwa nyumbani kwa Mwenyekiti wa kitongoji ambaye naye ni mgombea wa CCM, je hii ni sahihi?
Pia soma: LGE2024 - Uzi Maalum wa Kasoro na Rafu kwenye zoezi zima la Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024
Vyoo vinavyotumiwa na Wanaume katika Kituo cha Mabasi cha Mpemba kilichopo Tunduma vimerekebishwa na sasa vinatumika.
Awali, Mdau wa JamiiForums.com alisema kati ya sehemu 10 zinazotumika kwa haja ndogo ni 3 tu ndio zinatumiwa, nyingine ni mbovu.
MKURUGENZI – TUNDUMA
Akizungumzia suala hilo...
Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Prof. Adolf Mkenda ameendelea na ziara ya kukagua utekelezaji wa Miradi ya Maendeleo Mkoani Njombe, leo Septemba 21, 2024 ikiwa ni siku ya pili.
Prof. Mkenda amezindua Kituo cha Afya Makoga katika Jimbo la Wanging'ombe kilichojengwa na Serikali kwa...
Habari zenu Wana JF?
Poleni na hongereni Kwa majukum ya kulijenga Taifa na uchumi wetu Kwa ujumla.
Leo nipo hapa kuzungumzia jambo Moja tu.
Jambo lenyewe ni kumekuwa na malalamiko ya wamiliki wa vituo vya mafuta.
Kulalamikia mifuniko ya kiSasa ya Tank la mafuta MANUAL COVER inayokaa juu ya...
Bila shaka, kuna baadhi ya maeneo ya Dar es Salaam ambapo watu wamekosa umeme. Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO ) linawataarifu wateja wake kuhusu maboresho yatakayofanyika katika kituo cha kupoza umeme cha Kunduchi. Maboresho haya yana lengo la kuboresha huduma ya umeme kwa wateja wote.
Kwa...
Naam ndugu zangu katika Imaan.
TV yetu pendwà inapitia wakati mgumu katika harakati zake za kusambaza Imaan.
Kituo chote kina watangazaji wachache sana. Yaani imekuwa kawaida kumuona mtangazaji mmoja siku nzima, yaani asubuhi mpaka jioni mtu mmoja anashusha nondo.
Ukiangalia TV Imaan siku...
Picha za hali ya kituo cha Polisi Lulembela wilayani Mbogwe mkoani Geita baada ya jana Jumatano Septemba 11, 2024 kuvamiwa na wananchi huku wakifanya uharibifu wa baadhi ya mali ikiwamo gari.
Msemaji wa Jeshi la Polisi, David Misime katika taarifa yake jana Jumatano kuhusu tukio hilo, alisema...
Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii ikiongozwa na Mwenyekiti, Timotheo Mnzava (Mb) imempongeza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa ajenda yake ya kukuza utalii ikiwemo katika miradi ya ujenzi wa kituo cha utalii kwa gharama ya shilingi...
Sintofahamu imetokea mkoani Njombe na hii ni baada ya moto ambao bado haujafahamika chanzo chake kuwaka na kuteketeza eneo la kituo cha kusambaza umeme mkoani humo.
Mara tu baada ya kudhibiti moto huo, Kaimu meneja wa TANESCO mkoa wa Njombe Mhandisi Lazaro Bartazai alidokeza kuwa hakuna athari...
Jeshi la Israel limeingia Ukingo wa Magharibi (West Bank) kuanza operesheni kubwa kwenye miji inayoshikiliwa na Kundi la Palestine Islamic Jihad.
operesheni hiyo imeweza kubaini msikiti wenye maabara ya mabomu ndani yake.
imekuwa ni kawaida kwa vikundi hivi kuwatumia raia kama ngao kwa...
bank
gaza
hamas
israel
jeshi
jeshi la israel
jihad
kituo
kiwanda
kuanza
kubwa
kundi
kuwasaka
maabara
mabomu
magaidi
magharibi
maisha
makazi
makazi ya watu
msikiti
ndani
operesheni
palestina
raia
vita
Ndugu mwana JF,
Napenda kuzidi kuwakumbusha kuhusu biashara ya mafuta saivi ndio biashara inayoshika hatamu Kwa Kasi sana.
Biashara ambayo inakupa faida Kwa haraka bila mawazo kwani biashara hii ni nzur sana.
Unaweza wekeza kituo 1 Cha mafuta ndani ya mwaka 1 ukawa na uwezo wa kujenga kituo...
Nimekuj kwenu wana jf nisaidieni kunielewesha iwapo huta ripoti kazini(tamisemi) incase ukiwa umepata nafasi kuna changamoto yoyote utaipata mbeleni ukitaka kuomba ajira tena( Tamisemi).
Na kama ni ndio kuna taratibu za kufuata kuepekan na hizo changamoto?
Serikali imesema itaupatia Mji mdogo wa Katoro Mkoa wa Geita Wilaya ya Kipolisi na kuujengea Kituo kipya cha Polisi chenye hadhi ya Wilaya ili kuimarisha Ulinzi na Usalama wa raia na mali zao.
Kauli hiyo imetolewa na Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Daniel Sillo wakati wa ziara ya Katibu...
Hatimaye Kampuni ya Geita Gold Mining Limited (GGML) inaenda kuanza kutumia umeme wa gridi ya Taifa kutokana na Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco) kukamilisha ujenzi wa kituo cha kupokea na kupoza umeme unaofikishwa mgodini hapo
Kituo hicho kilichojengwa kwa gharama ya Sh60.6 bilioni...
Nsikuchoshe na Usinchoshe, Tusichoshane!
Hili ni pendekezo Kwa viongozi wa Serikali,najua wengi wenu mko humu na mtapitia huu Uzi.
Sababu za Kituo hicho Kipya kitakachokuwa kizuri kupita maelezo kupewa jina la UMUGHAKA ni zifuatazo:-
1. UMUGHAKA ni Jasiri,hivyo kituo hicho kitakachojengwa...
Mwana JF Leo nipo hapa kukuoneaha (kukuambia) umuhimu wa kuweka Beam chin kabla kuzika Tank la mafuta.
Ukiweka bim inakusaidia Kwa 90% kuwa na uhakika wa Tank lako kutokupanda juu au kuibuka.
Hakikisha unaweka bm yenye chuma za kuanzia mm16 mpaka mm25 kulingana na ukubwa wa Tank
Kunja huk za...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.