Hizi taasisi za serikali haziko kutatua matatizo ya watanzania, ukitoka Arusha kuelekea Moshi kuna vituo vikubwa km Tengeru, Leganga, Usa-River, Maji ya Chai, Maroroni, Kikatiti. Shida kutoka Maroroni mpk Kikatiti ni zaidi ya kilomita 15 hakuna kituo. Kwanini TANROADS msijenge kituo pale shule...