kituo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Papaa Mobimba

    Mamlaka zifanyie matengenezo kituo cha daladala Tabata Segerea

    Miundombinu ya hiki kituo imeharibika kiasi fulani na kutengeneza mashimo makubwa ambayo kwa kipindi hiki cha mvua yanahifadhi maji na kusababisha kero kwa wanaotumia kituo hicho. Kwanza panapitika kwa shida, usipokuwa makini unaogeshwa maji machafu na daladala au bajaji. Pia yale mashimo...
  2. sanalii

    Paving za kituo cha mabasi kibaha kurekebishwa upya, hazina hata miaka 8 ya kutumika

    Baadhi ya maeno ya paving kwenyw kituo cha mabasi kibaha maili moja yanafanyiwa marekebisho, kituo hizi hakijazidi miaka nane tangu kigunguliwe rasmi. Kwa mujibu wa website ya kibaha mji, ujenzi uligharimu 3.3 bilions, na kilianza kutumika October 2018. Stendi Kuu Mpya Kibaha Kuanza Kutumika...
  3. D

    Huu ni mwaka wa uwekezaji-TIC

    Kituo cha Uwekezaji Tanzania,TIC kimezindua kampeni yake maalum ya kuhamasisha uwekezaji nchini. Kampeni hiyo imezinduliwa leo katika mkoa wa Mwanza na Mtendaji Mkuu wa Kituo hicho Bw. Gilead Teri na inalenga kufikia mikoa 15 nchini. Akizungumza katika mahojiano maalum na kituo cha Clouds Tv...
  4. BARD AI

    Kituo cha Runinga cha T.B Joshua (Emmanuel TV) kitazima matangazo yake DSTV Januari 17, 2024

    Just a few hours before the new year, DStv consumers were very alarmed to see a termination notice put up on Emmanuel TV. A christian television channel founded by the former TB Joshua is set to go dark various DStv and GOtv platforms across the country from January 17. Emmanuel TV is currently...
  5. Stephano Mgendanyi

    Bashungwa aongoza harambee ujenzi wa kituo cha Masista, Milioni 237 yakusanywa

    BASHUNGWA AONGOZA HARAMBEE UJENZI WA KITUO CHA MASISTA, MILIONI 237 YAKUSANYWA. Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa ameongoza harambee ya kuchangia ujenzi wa Kituo cha huduma cha Masista wa Shirika la Dada Wadogo kinachotarajiwa kujengwa eneo la Bagamoyo ambapo jumla ya kiasi cha Shilingi...
  6. W

    Plot4Sale Tunauza viwanja maeneno mbalimbali Dar es Salaam

    Kiwanja kwa bei ya OFA ya kufungia mwaka. kiwanja kipo Mbezi Msakuzi kwa Lipelanya Shule ya Makamba. Ukubwa ni 45 kwa 35 metres. Bei ni million 30 tu. Umbali kutoka barabarani ni km 2 Mawasiliano 0715128827
  7. Pdidy

    Wale tuliokula mishikaki ya paka enzi za kituo cha Ubungo na Mwenge tujuane, nini kifanyike tusile tena?

    Hii habari najua itawaumiza wengi sana ila kwangu ilikuwa somo zuri sana, kizuri gharama. Zamani kulikuwa na kituo cha ubungo pale ilipo tanesco na pale mwenge kabla ya kuhamishia makumbusho. Vile vituoo kulikuwa na mishikaki midogo yaa Mia mia, adimu sana kuipata hata uende serena kwa ubora...
  8. Ngongo

    AL JAZEERA ni kituo cha HAMAS

    Utoaji wake wa habari umeegemea upande mmoja wa kupendelea kikundi cha kigaidi cha HAMAS. Al Jazeera ni kituo cha habari cha hovyo.
  9. Stephano Mgendanyi

    Dkt. Dugange aagiza uchunguzi ufanyike ujenzi wa Kituo cha Afya Malengamakali

    DKT. DUGANGE AAGIZA UCHUNGUZI UFANYIKE UJENZI WA KITUO CHA AFYA MALENGAMAKALI Naibu Waziri Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa TAMISEMI anayeshughulikia Afya mhe. Dkt. Festo Dugange ameielekeza ofisi ya mkuu wa mkoa wa Iringa kuunda timu ya uchunguzi kukagua matumizi ya fedha nza...
  10. Idugunde

    Kituo cha basi Magufuli hakijabadiliswa jina. Wafuasi wa CHADEMA walipotosha mitandaoni kwa nia ovu

  11. A

    Nimemsikiliza Mkurugenzi wa kituo cha uwekezaji Tanzania (TIC) na mipango ya kuinua uwekezaji hakika nimefarijika sana

    Leo nilikuwa nafuatilia mahojiano katika channel ya Zamaradi TV kati ya mtangazaji na Mkurugenzi wa kituo cha uwekezaji Tanzania ndg Gilead Teri. Katika mahojiano hayo, Mkurugenzi alijikita zaidi katika kuangazia mageuzi makubwa yanayofanywa na kituo hicho na zaidi namna wanavyotembea kwenye...
  12. Donnie Charlie

    Ajikuta polisi baada ya kwenda ukweni mikono mitupu

    Awali kabla ya kwenda ukweni kwake walikubaliana na baba wa bibi harusi mtarajiwa kuwa watakwenda na ng’ombe na mbuzi. Lakni aliwasili ukweni bila kuwa na mifugo hiyo. Uganda. Mzee Samuel Maikut (6O) amejikuta mikononi mwa polisi baada ya kwenda kwenye sherehe ya utambulisho na kutoa mahari...
  13. K

    Kituo cha Afya Makuburi wahudumu wenu wa maabara wachunguzwe

    Habari, Niko hapa tangu asubuhi nimemsindikiza mke wangu kufungua kadi ya mama mjamzito. Tangu nimefika muda huo, kwanza wajawazito wanaofungua kadi nao wanachanganywa na wagonjwa wa kawaida kitu ambacho ndiyo kwanza nimekiona leo hapa. Pili nimeandikisha mapokezi tukaelekezwa maabara tukiwa...
  14. Stephano Mgendanyi

    Jimbo la Kaliua: Kituo cha Afya Usinge Chapokea Vifaa Tiba vya Tsh. Milioni 200

    JIMBO LA KALIUA: KITUO CHA AFYA CHA USINGE CHAPOKEA VIFAA TIBA VYENYE THAMANI YA ZAIDI TSH. MILIONI 200 Mganga Mkuu wa Wilaya ya Kaliua, Dkt. Amin Vasomana ameshiriki zoezi la kupokea vifaa Tiba vyenye thamani ya Tsh. 214,253,955.11. Zoezi hilo limeshuhudiwa na viongozi mbali mbali akiwemo...
  15. BARD AI

    Prof. Tibaijuka: Mimi nilikataa Kituo cha Mabasi ya Mwendokasi kujengwa Jangwani, Sikuwa na Madaraka ya Kuzuia

    Prof. Anna Tibaijuka amesema wakati akiwa Waziri wa zamani wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, hakutoa Kibali cha Ujenzi wa Kituo cha Mabasi Yaendayo Kasi katika eneo hilo lakini ulifanyika kwa maamuzi yasiyo sahihi Tibaijuka amesema "Jangwani haina kibali changu kuwa pale. Mimi nilikataa...
  16. Stephano Mgendanyi

    Komredi Shemsha Mohamed Akabidhi Gari la Wagonjwa lililotolewa na Serikali Katika Kituo cha Afya Mwanunda Wilaya ya Itilima, Simiyu.

    Komredi Shemsha Mohamed Akabidhi Gari la Wagonjwa lililotolewa na Serikali litakalotumika Katika Kituo cha Afya Mwanunda Wilaya ya Itilima Mkoa wa Simiyu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Simiyu, Shemsha Mohamed amekabidhi gari la wagonjwa lililotolewa na Serikali ambalo...
  17. A

    DOKEZO Kituo cha Afya Zamzam (Bukoba) kuna huduma mbovu, Watumishi wanatengeneza mazingira ya Rushwa

    Kituo cha Afya Zamzam kilichopo Manispaa ya Bukoba huku Mkoani Kagera kinatoa huduma mbovu sana upande wa afya, hasa kwa Wanawake Wajawazito. Haijalishi kama una kadi ya Bima au la, bado huduma zao ni mbovu hasa upande wa Wodi ya Wajawazito. Watumishi wa Kituo hicho cha Serikali ambacho pia...
  18. Kindeena

    Kituo cha Polisi Musoma kimegharimu milioni 366 na siyo milioni 802

    Mkuu wa Mkoa wa Mara Mhe. Said Mohamed Mtanda leo tarehe 19 Novemba, 2023 amepokea taarifa na kukagua ujenzi wa Kituo Cha Polisi Wilaya ya Butiama kinachoendelea kujengwa katika Wilaya ya Butiama. Akizungumza na Waandishi wa Habari mara baada ya kukagua na kupokea maelezo ya mradi huo, Mhe...
  19. JanguKamaJangu

     Kituo cha Polisi Wilaya ya Butiama chajengwa kwa Tsh. Milioni 802, kukamilika Desemba 2023

    Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi na Mbunge wa Jimbo la Butiama, Jumanne Sagini ameagiza kukamilika kwa wakati Mradi wa Ujenzi wa Kituo cha Polisi Daraja B cha Wilaya ya Butiama Mkoani Mara, ifikapo mwezi Disemba 2023 kama ilivyoelekezwa. Maagizo hayo ameyatoa leo Novemba 18, 2023 wakati...
  20. Stephano Mgendanyi

    Dkt. Dugange Atoa Agizo, Kituo cha Afya Ulembwe Kikamilike Ifikapo Disemba 30, 2023

    Dkt. Dugange Atoa Agizo, Kituo cha Afya Ulembwe Kikamilike Ifikapo Disemba 30, 2023 NAIBU Waziri Ofisi ya Rais-TAMISEMI, Dkt. Festo Dugange amemuagiza Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Wanging'ombe mkoani Njombe kuhakikisha ujenzi wa Kituo cha Afya cha Kata ya Ulembwe unakamilika ifikapo...
Back
Top Bottom